Ndio vipo vimumgu vingi pia vinavyoabudiwa na wengi almaarufu kama miunguMkuu Mshana Jr, umeniacha kidogo uliposema vishetani viko vingi. Mimi nilidhani kuna shetani mmoja tu anaejidhihirisha katika matendo mbalimbali mabaya na pia Mungu mmoja tu anaejidhihirisha katika matendo mbalimbali mema. Kwa vile kwa upande wa shetani umesema kuna vishetani vingi ina maana na kwa upande wa Mungu nako kuna vimungu vingi? Naomba kueleweshwa hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] HARUFU hadi nimekuonea hurumaEee Mola naomba unisamehe kwa yote ninayokukosea.
Kama ujuavyo mimi kwako wewe ni kiumbe dhaifu.
Najitahihidi kwa kadri niwezavyo ila kuna vitu vingine inakuwa ni mtihani zaidi
Eee Mola naomba unisamehe
![]()
Anavutia hisia mechi ya watu then anacheza yake na mkonoNa kikopo cha rays mfukoni [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hatari sana hizi chuchuWallah hapa usipotoa udenda....[emoji15] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
Na kikopo cha rays mfukoni [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Oooh. Basi mimi nikajua hivi vimungu au miungu wapo upande wa shetani tu.Ndio vipo vimumgu vingi pia vinavyoabudiwa na wengi almaarufu kama miungu
Wala Mgirik sio defence kwakuwa kwenye ushirikina unajifunza mambo anuwai na kuendelea kupata kitu fulani kipya lakini kwenye mpira ni nguvu mbili zinazopingana yani ni kama aina fulani ya ibada yenye mzuka wa dakika 90 au zaidi kidogo na mwishowe kuna matokeo matatu sare kushinda au kushindwaWw jamaa kiboko, naona umejiwekea defence eti ushirikina ni maarifa na kuingia jf ni hoby ila kuangalia mpira na bongo filipino ni kashetan hahahaaaaa