Kila mmoja wetu ana kashetani kake

Kila mmoja wetu ana kashetani kake

Screenshot_20220221-080645.jpg
 
Sawa Unaweza kuelewa Tabia za Shetani pasupo kujua Shetani ninani, Shetani ni nani na ilikuaje akawa Shetani, unaweza kunipa majibu ya kunitosha pasipo kutumia maandiko, Unapozungumza Mwanadamu na Tabia zake uwezieleweka kirahisi pasipo kurudi ktk historia ya maandiko matakatifu, mfano nikuliize tabia zote za kishetani ndani mwanadamu ni Ubinafsi kujiinua, Je mwanadamu aliumbwa na Ubinafsi?
Hilo tulifanye ni mada nyingine
 
View attachment 324225vishetani vyetu tumevibatiza jina la ugonjwa utamsikia mtu akikwambia mimi ugonjwa wangu ni mwanamke mwenye makalio makubwa(lakini hakwambii tiba yake wala atapona lini)
Vishetani viko vingi vingine ni vizuri vingine havisomeki na vingine vinatisha... .shetani ni roho yenye nguvu sana na ushawishi wa aina ya kipekee kabisa wengi wetu tumekamatika huko na hatuna uwezo wala nguvu za kujitoa kwakuwa hicho kitu ndio shetani wako unayemwabuduView attachment 324226
Imagine mtu yuko tayari kukosa kwenda kuabudu kuliko kwenda kwenye mpira...mtu yuko tayari kukosa kipindi cha dini kwenye tv kuliko bongo movie, mtu yuko tayari kufuta video yenye kufundisha mambo mema ili tu aweke video ya matusi....hii ni laana..!!!
Jichunguze kishetani chako ni kipi kisha tafakari...kupenda JF ni hobby kupenda mambo ya kishirikina ni maarifa sio ushetani...usichanganye mada
Sijaelewa io picha ya kwanza maana yake nn na inahusikaje kwenye huu uzi
 
Na wengine wameenda mbali kidogo wanasema kila binaadamu ana asilimia kadhaa za uchizi alaf tunazidiana uwezo wa kuhumudu huo uchizi kwenye vichwa vyetu.. unakuta unafanya jambo la ajabu either kumtukana mtu unayemuheshimu au kuua au kuiba na mengine mengi baada ya mda unajilaumu mwenyewe imekuaje palee nimefanya vilee.. kumbe zilee asilimia zako za uchizi kichwani ndio zilifanya kazi ipasavyo sasa ukiweza kuzimudu zilee asilimia ndio unaepukana na matukio ya ovyo..
 
vishetani vyetu tumevibatiza jina la ugonjwa utamsikia mtu akikwambia mimi ugonjwa wangu ni mwanamke mwenye makalio makubwa(lakini hakwambii tiba yake wala atapona lini)
Vishetani viko vingi vingine ni vizuri vingine havisomeki na vingine vinatisha... .shetani ni roho yenye nguvu sana na ushawishi wa aina ya kipekee kabisa wengi wetu tumekamatika huko na hatuna uwezo wala nguvu za kujitoa kwakuwa hicho kitu ndio shetani wako unayemwabuduView attachment 324226
Imagine mtu yuko tayari kukosa kwenda kuabudu kuliko kwenda kwenye mpira...mtu yuko tayari kukosa kipindi cha dini kwenye tv kuliko bongo movie, mtu yuko tayari kufuta video yenye kufundisha mambo mema ili tu aweke video ya matusi....hii ni laana..!!!
Jichunguze kishetani chako ni kipi kisha tafakari...kupenda JF ni hobby kupenda mambo ya kishirikina ni maarifa sio ushetani...usichanganye mada
Mimi shetani wangu wanawake wembamba, hua Najiuliza hii minene mizembe watu wanaipendea nini?
Kitu poteboo.
 
Kashetani kangu ni "seringeti moja au mbili " nashindwa kununua lita moja ya maziwa ili familia yangu ipate chai nzito ya maziwa.
 
kupenda JF ni hobby kupenda mambo ya kishirikina ni maarifa sio ushetani...usichanganye mada,,,
brother fafanua hapa ko kishirikina ni maarifa kumbe sio ushetan?... hebu tuanze na ww kashetan kako ni kap?...
 
Back
Top Bottom