Ndio hapo ewew utaelewa tofauti ya kufuzu na kushinda.Kisanga ni pale ambapo stars itashinda na lesotho wakashinda hapo ndipo zawadi itakapoonekana upuuzi
Hazina anapewa na Dotto James paymaster msukuma mwipa wa magufuli ni kikosi cha weziHabari wakuu,
Binafsi sina tatizo na huyu RC wa dsm,ila kwa siku za karibuni RC huyu amekuwa anagawa fedha kama njugu moja kuahidi kuwasomesha watoto 100 lakini pia kutoa msaada ya fedha kwa watu mbalimbali lakini Leo pia ameahidi milioni 10 kwa kila mchezaji wa T/stars endapo itashinda kesho inamaana wachezaji 18*10m ambayo ni sawa na milioni 180 jeuri hii ya fedha ameitoa wapi?fedha hizi zinatoka wapi? na kama ni michango mbona hasemi kwa niaba labda ya watu fulani
Mirija ya ufisadi nchi hii bado haijazibwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umesahau swala la Vinywaji kuwa Nusu bei .... Inamaana hiyo nusu atajaziaHabari wakuu,
Binafsi sina tatizo na huyu RC wa dsm,ila kwa siku za karibuni RC huyu amekuwa anagawa fedha kama njugu moja kuahidi kuwasomesha watoto 100 lakini pia kutoa msaada ya fedha kwa watu mbalimbali lakini Leo pia ameahidi milioni 10 kwa kila mchezaji wa T/stars endapo itashinda kesho inamaana wachezaji 18*10m ambayo ni sawa na milioni 180 jeuri hii ya fedha ameitoa wapi?fedha hizi zinatoka wapi? na kama ni michango mbona hasemi kwa niaba labda ya watu fulani
Mirija ya ufisadi nchi hii bado haijazibwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale Lesotho vidwarf hawawezi kumfunga Cape Verde..hata kama Cape Verde hawataqualify..kuna kumaintain FIFA ranking
Dunia ya tandale kwa tumbo2022 tumachukua kombe la dunia
Kuwa Mzalendo kama Muongoza njiaDunia ya tandale kwa tumbo
Mzalendo kweli.. ila sio kwa ndoto iyo mkuuKuwa Mzalendo kama Muongoza njia