Taifa stars kubeba milioni 500 ikifuzu fainali AFCON

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
732
475
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 endapo timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) itafuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) mwaka 2024 nchini Ivory Coast.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Machi 20,2023 jijini Dar es Salaam ambapo amesema Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Hamis Mwinjuma ataongoza Watanzania wa hapa nchini na waishio nchini Misri kuishangilia Taifa Stars.

"Nawaomba Watanzania tujitokeze kwa wingi kuishangilia Taifa Stars katika mchezo wa tarehe 24, Machi 2023 dhidi ya Uganda (The Cranes) ambao utakaochezwa katika mji wa Isimailia nchini Misri na mchezo wa marudiano utachezwa Machi 28, 2023 Uwanja wa Benjamini Mkapa" amesema Mhe. Chana.

Aidha, amewataka wadau wa mchezo huo ikiwemo Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na mashabiki kumuunga mkono Kocha wa Timu hiyo Bw. Adel Amrouche, huku akiwasistiza wachezaji wajitume ili waweze kufanya vizuri katika mashindano hayo.

IMG-20230320-WA0154.jpg
 
View attachment 2559173
Ahadi ni deni!,siku imefika.Tuanzie hapa,tuweke na mikakati ya huko tuendako!
 
Ndio tushafuxu hivyo. Mimi mganga wa timu na mwenyekiti wa kamati ya tunguri za ushindi mnanipa shilingi ngapi?
 
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali itatoa kiasi cha Shilingi Milioni 500 endapo timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) itafuzu kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) mwaka 2024 nchini Ivory Coast.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Machi 20,2023 jijini Dar es Salaam ambapo amesema Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Hamis Mwinjuma ataongoza Watanzania wa hapa nchini na waishio nchini Misri kuishangilia Taifa Stars.

"Nawaomba Watanzania tujitokeze kwa wingi kuishangilia Taifa Stars katika mchezo wa tarehe 24, Machi 2023 dhidi ya Uganda (The Cranes) ambao utakaochezwa katika mji wa Isimailia nchini Misri na mchezo wa marudiano utachezwa Machi 28, 2023 Uwanja wa Benjamini Mkapa" amesema Mhe. Chana.

Aidha, amewataka wadau wa mchezo huo ikiwemo Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) pamoja na mashabiki kumuunga mkono Kocha wa Timu hiyo Bw. Adel Amrouche, huku akiwasistiza wachezaji wajitume ili waweze kufanya vizuri katika mashindano hayo.

View attachment 2559173
Hii inabidi iwekwe sawa: Milioni 500 inapewa Taifa Stars au Milioni 500 wanapewa wachezaji wa Taifa Stars kama pongezi kwao?? Tofauti yake ni kama mbingu zilivyo tofauiti na kuzimu, au nuru ilivyo tofauti na giza!! Naomba wahusika mliweke sawa hili maana inaweza kuwa chanzo cha kuondoa amani kwenye timu?

Wakipewa Taifa stars matumizi yake yatajumuisha gharama za kambi na vifaa, lakini wakipewa wachezaji matumizi yake ni wachezaji na viongozi wake kuzigawana kila mtu nakazifurahie kuvyake!!

Angalizo: Zawadi hutimiza malengo yake ya kutia moyo na kuhamasisha kama ikitolewa mara tu baada ya tukio!! Huo mzigo utoke leo au kesho!! Zaidi ya hapo itavunja moyo!!
 
Hizi pesa wapewe kwa usawa wachezaji wote waliowahi kuitumikia timu ya taifa kwa mechi zote 6 toka mashindano haya ya kufuzu kwenda Ivory Coast yalipoanza kinyume cha hapo ni udhulumati maana hatujafuzu kwa kupata point 1 bali 8.
 
Watapewa wote
 
Vita imeshaanza tayari!! mchango wa mchezaji mmoja mmoja hauwezi kulingana!!
 
Hii inabidi iwekwe sawa: Milioni 500 inapewa Taifa Stars au Milioni 500 wanapewa wachezaji wa Taifa Stars kama pongezi kwao?? Tofauti yake ni kama mbingu zilivyo tofauiti na kuzimu, au nuru ilivyo tofauti na giza!! Naomba wahusika mliweke sawa hili maana inaweza kuwa chanzo cha kuondoa amani kwenye timu?

Wakipewa Taifa stars matumizi yake yatajumuisha gharama za kambi na vifaa, lakini wakipewa wachezaji matumizi yake ni wachezaji na viongozi wake kuzigawana kila mtu nakazifurahie kuvyake!!

Angalizo: Zawadi hutimiza malengo yake ya kutia moyo na kuhamasisha kama ikitolewa mara tu baada ya tukio!! Huo mzigo utoke leo au kesho!! Zaidi ya hapo itavunja moyo!!
Na wakipewa wachezaji itajumuisha wale wote walioshiriki hadi ikafuzu au?
 
Hii inabidi iwekwe sawa: Milioni 500 inapewa Taifa Stars au Milioni 500 wanapewa wachezaji wa Taifa Stars kama pongezi kwao?? Tofauti yake ni kama mbingu zilivyo tofauiti na kuzimu, au nuru ilivyo tofauti na giza!! Naomba wahusika mliweke sawa hili maana inaweza kuwa chanzo cha kuondoa amani kwenye timu?

Wakipewa Taifa stars matumizi yake yatajumuisha gharama za kambi na vifaa, lakini wakipewa wachezaji matumizi yake ni wachezaji na viongozi wake kuzigawana kila mtu nakazifurahie kuvyake!!

Angalizo: Zawadi hutimiza malengo yake ya kutia moyo na kuhamasisha kama ikitolewa mara tu baada ya tukio!! Huo mzigo utoke leo au kesho!! Zaidi ya hapo itavunja moyo!!
Acha kufundisha wahasibu kazi
 
Hii vita itakuwa kubwa na kwa jinsi nchi hii ninavyoijua wachezaji wengi watadhulumiwa. Kila mchezaji aliyewahi kuitwa katika mechi hizo 6 ana haki sawa katika huo mgao
Ni kweli kila mchezaji aliyewahi kuitwa ana sehemu yake katika hiyo zawadi. Japo ukigawa sawa kwa sawa pia haitakuwa haki. Ni vizuri wakaja na kanuni itakayozingatia uhalisia wa ushiriki wa kila mchezaji aliyewahi kuitwa! Hii si kazi ngumu kuifanya!
 
Kuna wachezaji wamekuwa wanaingizwa dakika za nyongeza ili kuwahakikishia maokoto kama haya.

Ili mambo yasiwe mengi, chukua 500M gawa kwa 6 hiyo itakupa pesa yote ya kugawa kwa kila mechi. Angalia wachezaji waliokuwepo katika mechi husika, gawa kwa idadi yote ya wachezaji walioitwa katika mechi hiyo unapata pesa ya kumpa kila mchezaji kwa mechi hiyo. Fanya hivyo kwa kila mechi.

Ukisema uangalie aliyecheza na ambaye hajacheza itabidi uangalie pia dakika walizocheza, mambo yanakuwa mengi.
 
Back
Top Bottom