Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 5,885
- 13,263
Timu ya Taifa ya wanawake netball (Taifa Qeens), imejiondoa kwenda Bostwana kwenye michuano ya kimataifa kwa kukosa mil 20 na tickets za ndege isiyozidi wachezaji 15.
Lakini huku timu za ligi kuu zinazoshiriki kimataifa goli la mama sh mil 10, Wanasiasa ni watu wabaya sana pale kwenye mashabiki wengi wanajiingiza wakiona haina manufaa kwao hawana msaada, hii timu ingekuwa na mdhamini halafu ishinde au ichukue kombe wangeitwa hadi Ikulu na bungeni kupeleka tuzo.
Kumbukeni timu ya under 17 ya wanaume kuna mwaka hawajulikani wakashinda kombe walipokuwa wanarudi ndo wanasiasa wanaanza kujitokeza.
Pia soma