Kila mchezaji wa Taifa Stars kupata Tsh milioni 10 iwapo timu itafuzu kucheza AFCON

Pesa hatoi makonda mfukoni mwake msiwe kama watu wenye allegy na makonda + baba jesca

Msisahau kuna vingilio vya uwanjani ndo kazi zake hizo, na pia ikifuzu afcon kuna pesa inatolewa kwenye mashindano kwa kila timu.

Captopril
 
Habari wakuu,
Binafsi sina tatizo na huyu RC wa dsm,ila kwa siku za karibuni RC huyu amekuwa anagawa fedha kama njugu moja kuahidi kuwasomesha watoto 100 lakini pia kutoa msaada ya fedha kwa watu mbalimbali lakini Leo pia ameahidi milioni 10 kwa kila mchezaji wa T/stars endapo itashinda kesho inamaana wachezaji 18*10m ambayo ni sawa na milioni 180 jeuri hii ya fedha ameitoa wapi?fedha hizi zinatoka wapi? na kama ni michango mbona hasemi kwa niaba labda ya watu fulani
Mirija ya ufisadi nchi hii bado haijazibwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazina anapewa na Dotto James paymaster msukuma mwipa wa magufuli ni kikosi cha wezi
 
Habari wakuu,
Binafsi sina tatizo na huyu RC wa dsm,ila kwa siku za karibuni RC huyu amekuwa anagawa fedha kama njugu moja kuahidi kuwasomesha watoto 100 lakini pia kutoa msaada ya fedha kwa watu mbalimbali lakini Leo pia ameahidi milioni 10 kwa kila mchezaji wa T/stars endapo itashinda kesho inamaana wachezaji 18*10m ambayo ni sawa na milioni 180 jeuri hii ya fedha ameitoa wapi?fedha hizi zinatoka wapi? na kama ni michango mbona hasemi kwa niaba labda ya watu fulani
Mirija ya ufisadi nchi hii bado haijazibwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umesahau swala la Vinywaji kuwa Nusu bei .... Inamaana hiyo nusu atajazia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Connect dot
IMG_20190319_112430.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamati iko sawa ila imechelewa sana... Tunapaswa kuanza na kumaliza sio kumalizia tu.
Inapishana nini na unafiki?
 
Back
Top Bottom