Kila January huwa napata ajali

Kila January huwa napata ajali

Sijui shida ni nini..
Mimi mke wangu alipojifungua mtoto wa kwanza, baada ya wiki 2 hivi nikapiga zinga la haja
Na huyu mtoto mwingine nae hivyo hivyo siku hiyo natoka home na hisia za ajali kabisa, nikaenda kupata ajali, ila zote nilitoka salama
😥😥🥺🥺
Pole rafiki 🫂
 
Wakati naanguka nikawa nacheka tu nikijua tayari
😀😀😀😀😀 na mimi nimejikuta nacheka tu kwa kweli. Mkuu ikifika january usitumie chombo cha moto tulia hadi January iishe. Simple
 
😀😀😀😀😀 na mimi nimejikuta nacheka tu kwa kweli. Mkuu ikifika january usitumie chombo cha moto tulia hadi January iishe. Simple
Kweli hili limenifikirisha. Ni ngumu kulingana na mazoea. Muhimu kuongeza maombi na umakini
 
Hii imenishangaza sana. Ni miaka minne mfukulizo. Pengine inaweza kuwa zaidi kwa kuwa sikufuatilia kabla. Natumia usafiri wa pikipiki. Sasa nikishapata ajali au kuanguka na pikipiki, basi sipati tena ajali mwaka wote. Au kuanguka.

Sasa mwaka ulivyoanza hii hali au kumbukumbu ikanijia. Na mara nyingi huwa ni kati ya tar 1 hadi 10. Sasa nikiwa njiani nakumbuka na najitahidi sana kuwa makini, ila ikipangwa imepangwa tu.

Leo imetokea. Bajaj aliyekuwa anatoka kwenye foleni bila umakini aliiingiza njia ya upande wa kulia nikajikuta namparamia. Nilidondoka vibaya nikaumia sehemu kadhaa. Ajali hiyo ilisababisha pkpk nyingine iliyokuwa inakuja mbele yangu kuharibika taa ya mbele.

Wakati naanguka nikawa nacheka tu nikijua tayari January imejibu. Pamija na kwamba niliumia, sikutaka kuhangaishana na bajaj. Nilichukua chombo changu na kuondoka nikimuacha kabananishwa na aliyeharibiwa taa. Nilijua ya January yametimia hivyo sikuwa na sababu ya kulumbana.
Hofu yangu ni kuwa hii trend itanijenge hofu ya January
January hii kaa mwali, ukitoka wakucheze mwez wa pili
 
Back
Top Bottom