Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
- Thread starter
- #61
Kabda nikupeleke wewe tu ndugu yetuMaombi ya mungu gani, hata hivo inaonekana umekosea masharti hizo ajari wanakukumbusha upeleke kambuzi keupe mkuu
Kabda nikupeleke wewe tu ndugu yetuMaombi ya mungu gani, hata hivo inaonekana umekosea masharti hizo ajari wanakukumbusha upeleke kambuzi keupe mkuu
Sina Imani na kitu uchawi au miujizaHapa nawaona walokole na wanga wanajizoa zoa kuja kukushauri
Dah!!!!! Unataka ukanitoe kafara?Kabda nikupeleke wewe tu ndugu yetu
Aende kwa tapeli?Nenda kwa mwamposa akupake mafuta 😎
Nyumba inaweza ungua moto, au pumzi ikabana tuInaonekana mkuu hata kufa utakuja kufa mwezi january ya mwaka wowote!, hapo cha msingi badili ratiba zako january yote uwe unajifungia ndani uanze kusafiri mwezi february.
hahaa from vibuyu worldwide.Kweli min nimeacha ugomvi wa kishamba, sasa hivi nadili na machawa tu!! 😹😹
hiyo ni kweli adui anakutafuta ufe, hawataki uoe/uwe na familia. Je! Kila baada ya kujifungua mke wako watu wa kwanza kuwapa taarifa ni akina nani?Sijui shida ni nini..
Mimi mke wangu alipojifungua mtoto wa kwanza, baada ya wiki 2 hivi nikapiga zinga la haja
Na huyu mtoto mwingine nae hivyo hivyo siku hiyo natoka home na hisia za ajali kabisa, nikaenda kupata ajali, ila zote nilitoka salama
Hii imenishangaza sana. Ni miaka minne mfukulizo. Pengine inaweza kuwa zaidi kwa kuwa sikufuatilia kabla. Natumia usafiri wa pikipiki. Sasa nikishapata ajali au kuanguka na pikipiki, basi sipati tena ajali mwaka wote. Au kuanguka.
Sasa mwaka ulivyoanza hii hali au kumbukumbu ikanijia. Na mara nyingi huwa ni kati ya tar 1 hadi 10. Sasa nikiwa njiani nakumbuka na najitahidi sana kuwa makini, ila ikipangwa imepangwa tu.
Leo imetokea. Bajaj aliyekuwa anatoka kwenye foleni bila umakini aliiingiza njia ya upande wa kulia nikajikuta namparamia. Nilidondoka vibaya nikaumia sehemu kadhaa. Ajali hiyo ilisababisha pkpk nyingine iliyokuwa inakuja mbele yangu kuharibika taa ya mbele.
Wakati naanguka nikawa nacheka tu nikijua tayari January imejibu. Pamija na kwamba niliumia, sikutaka kuhangaishana na bajaj. Nilichukua chombo changu na kuondoka nikimuacha kabananishwa na aliyeharibiwa taa. Nilijua ya January yametimia hivyo sikuwa na sababu ya kulumbana.
Hofu yangu ni kuwa hii trend itanijenge hofu ya January
hapo sasa mkuu iyo ni changamoto nyingine hamna namna.Nyumba inaweza ungua moto, au pumzi ikabana tu
Meji nitakuja onekana mbaguzi, au nikaonekana nawapa laana 😂Kwanini shem?
Atajua akifika hukoAende kwa tapeli?
Sijui kwa kweli maana taarifa za mke wangu kujifungua huwa zinasambaa ngumu sana kuwaza wapi waliopqta taarifa na watu gani hawakupatahiyo ni kweli adui anakutafuta ufe, hawataki uoe/uwe na familia. Je! Kila baada ya kujifungua mke wako watu wa kwanza kuwapa taarifa ni akina nani?
Acha kutumia Pikipiki mwezi January.. jibu unaloHofu yangu ni kuwa hii trend itanijenge hofu ya January
SI solution hiyo,Acha kutumia Pikipiki mwezi January.. jibu unalo
January ajipe likizo asipande wala kusogelea Pikipiki.. aangalie February vipi yatajirudia asitupange.. mfano mimi hua naugua mafua makali kila mwaka mwezi wa 9 kwenda wa 10 na mwezi wa 12 mpaka hua nahisi hio hali ndivyo nilivyo tu ila mwaka jana mwezi wa 12 na mwezi wa 9 kwenda wa 10 nimeshangaa sijaugua mafua kabisa nimekuja kuugua mafua hii January ndio hali ya mafua kunibana imeanza.. hapo pia unasemaje?SI solution hiyo,
Pkpk itamfuata hata nyumbani imgonge.
Hizo mambo huwa zimekuwa set, ni kama kutega alarm ikuamshe sasa Saba usiku,
Unadhani ukifika muda huo itaacha?
Muhimu ni atafute chanzo Kisha akiondoe ndipo kujirudia huko Kutakoma.
Mimi pia nilikuwa naugua mafua Kila msimu wa mvua unapoisha kwenda kiangazi na pale kiangazi kinapoisha kwenda masika,January ajipe likizo asipande wala kusogelea Pikipiki.. aangalie February vipi yatajirudia asitupange.. mfano mimi hua naugua mafua makali kila mwaka mwezi wa 9 kwenda wa 10 na mwezi wa 12 mpaka hua nahisi hio hali ndivyo nilivyo tu ila mwaka jana mwezi wa 12 na mwezi wa 9 kwenda wa 10 nimeshangaa sijaugua mafua kabisa nimekuja kuugua mafua hii January ndio hali ya mafua kunibana imeanza.. hapo pia unasemaje?
SijakuelewaMimi pia nilikuwa naugua mafua Kila msimu wa mvua unapoisha kwenda kiangazi na pale kiangazi kinapoisha kwenda masika,
Nilidhani ni vumbi la kawaida,
Nilipokuja kustuka ni pando la mwovu, nikaikataa Hali hiyo ya kuugua mafua kwa kujirudia majira.
Saizi Nina miaka mitatu nadhani hakuna kitu hiyo.
Usiku watu walalapo, waovu hupanda magonjwa.
Stuka.
Uliwahi kulala ukiwa nzima wa afya,Sijakuelewa
Sababu ni afyaUliwahi kulala ukiwa nzima wa afya,
Asubuhi ukaamka unaumwa?
Kama jibu ni ndio, unadhani sababu ni Nini?