Kila January huwa napata ajali

Kila January huwa napata ajali

Inaonekana mkuu hata kufa utakuja kufa mwezi january ya mwaka wowote!, hapo cha msingi badili ratiba zako january yote uwe unajifungia ndani uanze kusafiri mwezi february.
Hapo umemaliza mkuu.. Na pikipiki asiipaki ndani kwake mwezi mzima, akaiweke yard hukooo mbali, maana nahisi kwenye tarehe 23-30 ya january pikipiki ikiona haijaendeshwa inaweza ikajiwashe yenyewe ikamfata ndani na kumgonga.
 
🤣🤣🤣
 
hahahah! Mkuu.
 
The issue is simple aliwazalo mjinga ndilo humpata, sikiliza mkuu ukizidhania mamlaka za juu negativity pekee tena kwa muda maalumu basi unafanyiwa kama unavyofikiria, that's why tumekuwa insisted always tudhanie na tujiombee na kujisemea mema na sio mabaya na matatizo, ndo maana pia tumekatazwa kuwaita watoto shida, matatizo, tabu n.k.

Next time ikifika January nyingine jiombee mazuri na uondoe hofu ya kupata matatizo.
 
Kuna watu wamekushauri usiendeshe pikipiki January, ebu fanya hivyo tuone hlf panapo majaliwa ulete mrejesho
 
Sio poa bwashee,,,,halafu kuna ile episod wanajulikana nani atakufa baada ya nani ule mzigo wa kibabe sana
Picha linaanza kwenye Ile meli , yule mdada alipo ona future na kubadili matukio ila mwisho wa siku kika umana😅

Napenda movie za hatari hatari sijui kwanini😅😅
 
Mimi humu JF kwenye mada nyingi hua najikuta comment yangu inakua comment namba 11 na wala sio kwamba hua na target,hua inatokea tu!
Mimi najikuta kila nikipata demu , anaishiwa gesi , nywele zinafumuka , mama yake anaumwa na mjomba wake anameza panga
 
Picha linaanza kwenye Ile meli , yule mdada alipo ona future na kubadili matukio ila mwisho wa siku kika umana😅

Napenda movie za hatari hatari sijui kwanini😅😅
yap ziko poa sana yani haziboi unakuwa roho juu kusikilizia nini kinafuata,ila ile movie inafundisha kilichopangwa lazima kitokee kama mwenetu na boda yake hahaha
 
Back
Top Bottom