Kwamba ukiwa umelala usiku afya inatetereka vipi ilhal ulilala ukiwa mzima?Sababu ni afya
Kwamba ukiwa umelala usiku afya inatetereka vipi ilhal ulilala ukiwa mzima?Sababu ni afya
Biology inasemaje? What is Biology? Au ulitaga?Kwamba ukiwa umelala usiku afya inatetereka vipi ilhal ulilala ukiwa mzima?
WAkati WEWE ukisoma biology,Biology inasemaje? What is Biology? Au ulitaga?
Ngumu kweli ndugu yangu. Nitapingana na hiyo roho.ya mauti kwa silaha zote za kiMunguAcha kutumia Pikipiki mwezi January.. jibu unalo
Nipe maarifa kutambua ni kwa vipi pando la mwovu?Mimi pia nilikuwa naugua mafua Kila msimu wa mvua unapoisha kwenda kiangazi na pale kiangazi kinapoisha kwenda masika,
Nilidhani ni vumbi la kawaida,
Nilipokuja kustuka ni pando la mwovu, nikaikataa Hali hiyo ya kuugua mafua kwa kujirudia majira.
Saizi Nina miaka mitatu nadhani hakuna kitu hiyo.
Usiku watu walalapo, waovu hupanda magonjwa.
Stuka.
Sio kweli unajipaisha utakuaje Mwalimu na hujui suala dogo km hilo?WAkati WEWE ukisoma biology,
Mimi ni mwalimu.
Anyway ipo siku utajua.
Kuwa makini we ndiyo 🎯Sijui kwa kweli maana taarifa za mke wangu kujifungua huwa zinasambaa ngumu sana kuwaza wapi waliopqta taarifa na watu gani hawakupata
Anza kufuatilia ndoto unazoota,Nipe maarifa kutambua ni kwa vipi pando la mwovu?
Ampake wapi?Nenda kwa mwamposa akupake mafuta 😎
MwiliniAmpake wapi?
Naamini mungu ananilinda, siku akitaka yanikute, yatanifika tu.Kuwa makini we ndiyo 🎯
Dogo unazingua 😹hahaa from vibuyu worldwide.