Kila akifika kilele ananing'ata meno

We benzoic usinivunje mbavu.....
Kwamb shem wetu amekua Suarez?!!!!

Huyu ndg ye2 awache mamb ya ajab mbn styl zpo nyng au ndo kazoea kifo cha mende tu...
hamna mara nyingi ninapopiga staili ya kifo cha mende ndo anang'ata meno
 
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tatizo la kutumia style moja tu ya Kifo cha Mende!
Kuwa mbunifu kabla hajang'ang'ania na kuondoka na mbavu, kuzuia hisia zake ni ngumu!
 
Tatizo la kutumia style moja tu ya Kifo cha Mende!
Kuwa mbunifu kabla hajang'ang'ania na kuondoka na mbavu, kuzuia hisia zake ni ngumu!
Aya bana mkuu lakn cha mende ndo staili mama

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kuna vile vidude watoto huwa wanawekewa mdomoni wasilie,ukiona anakaribia muwekee hicho mdomoni ukipake na asali atapata utamu mara 2
 
Hii post imeleta mfadhaiko na ugomvi kwenye familia yangu ati wife anasema mimi ndio nimexpose mambo ya ndani kwa jf,kwakweli nilimlamba kofi akaenda kukojoa kwa kutaka kuharibu hadh yangu mbele ya jamii
 
kuna vile vidude watoto huwa wanawekewa mdomoni wasilie,ukiona anakaribia muwekee hicho mdomoni ukipake na asali atapata utamu mara 2
Ha ha ha ha nmeipenda hii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hii post imeleta mfadhaiko na ugomvi kwenye familia yangu ati wife anasema mimi ndio nimexpose mambo ya ndani kwa jf,kwakweli nilimlamba kofi akaenda kukojoa kwa kutaka kuharibu hadh yangu mbele ya jamii
Ha ha ha na yeye huwa anang'ata meno pole mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom