Kila akifika kilele ananing'ata meno

Kila akifika kilele ananing'ata meno

paka aloe vera kifua chote/au shubiri kwa siri akiweka tu mdomo hatarudia tena
 
r.i.p ngwair,langa-habar wana jamvi
nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums

mkuu tafuta vile vikoti vya ngozi vya madreva boda boda ili akingata iwe ngao vile ni vigumu sana ni meno proof ila angalia usimkiss hiyo mida ataondoka na ulimi.
 
du pole xana broo. Labda uji2pie mapilipi, akin'gata atawashwa,hii itasaidia kutunza kumbu kumbu ili next tym asiludie.
 
Aya bana maushauri mengi....mengine hadi ni ya ajabu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Itabidi ubuni ka mbinu ka kijeshi kidogo🙂 Yaani kabla ya kuanza shughuli uwe unavaa ka-vest ambako (ni bite proof) kama ilivyo dezaini ya vile vi bullet proof🙂 walau u save makovu kifuani.

Otherwise, kila demu ana staili yake akifikia kilele kwani wenzio tumeshawahi kuwa na wanaotupiga makofi bwana🙂 Na wengine wakiwa nia wapandisha maruhani🙂 Inabakia kazi kwako kila mmoja lazima ubuni mbinu zako za ki-intelejensia🙂
 
Ha ha thanks faor advice lakini mbna kana tactics za ki intelligensia za ccm?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

uwe unavaa chuma kifuani
 
huyo zombie atakuja kukukata mashine siku moja
 
Wakati wa kudo uwe unavaa kama robert downey jr kwenye iron man
 
jitahidi kuwa na apple au ndizi pembeni ukiona tu anakaribia then unamuwekea tunda mdomoni.
 
kimemnogea hatoki huyo ila mwabie abadilike ni saikolojia tu
 
jitahidi kuwa na apple au ndizi pembeni ukiona tu anakaribia then unamuwekea tunda mdomoni.

Huu nu ushauri mZuri lakini sasa kwa mwezi atamaliza ma apple mangapi?hemb piga mahesabu times 12-mwaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Azima ile bullet proof vest kama wanayovaa viongozi kila uwapo kwenye zoezi hilo.hii itakuhakikishia kuwana kifua kisicho na makovu
 
Back
Top Bottom