umempa mawazo mazuri kwa kuwa si kila mwanaume anaweza mfikisha mtu kileleni, wengi wao hawawezi, hukojoa wao na kumuacha mwenzie solemba na wala hajui ni wakati gani mwanamke anakojoa. na pia wengi wa wanawake huishia kuwadanganya kuwa wamekojoa kumbe ata hajakojoa na kutokana na aibu anashindwa kumwambia ukweli mwenzi wake, wakati huo jamaa linajisifia uku jasho limemtoka bila kujua kama mwenzie kakojoa au la, mradi yeye kakojoa anaona ndo keshakamilisha game. big up kijana unajitihada, akikung'ata jisifie unaweza game ila fuata ushauri ulopewa ili usiendelee kung'atwa na siyo kumuacha, utapata wengine wasanii tu, kikubwa ni uaminifu tu na mapenzi ya kweli yenye kuridhishana.