Kila akifika kilele ananing'ata meno


mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,102
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,102 2,000
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,102
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,102 2,000
Ukimuona anakaribia kileleni kimbia kasimame mlangoni.....
pole sana kwa kuumizwa.
Si atakuwa anaishia njiani sasa!!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Toria

Toria

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Messages
1,178
Points
0
Toria

Toria

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2012
1,178 0
Uwe unavaa tu ngao ndugu yangu azawaisi utakua makovu chest nzima
 
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
6,028
Points
2,000
denoo49

denoo49

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
6,028 2,000
Jitahidi sana utafute bulet proof na huwe unaivaa kabla ya tendo. Zinasaidiaga sana hizi sio kwenye risasi tu hata na matumizi mengine kama hayo.
 
M

mbweta

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
600
Points
195
M

mbweta

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
600 195
Mfunge mdomo au mwekee mto ndo awe anaung'ata pia badilisha style ya kusex tumia sana mbuz kagoma kung'atwa hapa itakuwa shda
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,102
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,102 2,000
sasa kama unang'atwa daily ndugu yangu....
baada ya miaka kadhaa ngozi yako si itakuwa kama kombat ya jeshi?
Dah we acha tu,sasa ndo unisaidie kwa ushauri na dawa yake if possible

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
I

interlacs

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
201
Points
250
I

interlacs

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
201 250
kwa nini uendelee kuteseka kwa ni lazima kufanya mapenzi!
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,102
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,102 2,000
Mfunge mdomo au mwekee mto ndo awe anaung'ata pia badilisha style ya kusex tumia sana mbuz kagoma kung'atwa hapa itakuwa shda
Hii kweli mkuu itanisaidia ,thanx


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,910
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,910 2,000
Kuna zile kitu mbwa wanavalishwa ili wasingate tumia hiyo au uwe wamfunga mdomo kwa towel
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
21,102
Points
2,000
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
21,102 2,000
Kuna possibilities 2 hapa:
1. Shem wetu ni vampire
2. Au anamuiga Suarez
Ushauri wa kuvaa bullet proof au kama wachina wameshaleta tooth proof tafuta.
Lol...yamekua hayo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,022
Points
1,195
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,022 1,195
Kuna possibilities 2 hapa:
1. Shem wetu ni vampire
2. Au anamuiga Suarez
Ushauri wa kuvaa bullet proof au kama wachina wameshaleta tooth proof tafuta.
we utakuwa chelsea mwenzangu
 
Izz

Izz

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
735
Points
195
Izz

Izz

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
735 195
Kaka vumilia tu, akizoea ataacha kwani bado "samri" imemjaa sana kiunoni na ikiwa inatoka inasisimua sana ndio maana anakung'ata!

Kwa wanawake wanaotaka kupata msisimko kama huo kila wakati wani-pm niwape darsa!
 

Forum statistics

Threads 1,283,639
Members 493,763
Posts 30,795,236
Top