Kila akifika kilele ananing'ata meno

Kila akifika kilele ananing'ata meno

R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

rudi tu kwa Muumba wako na yote yatakwisha kwani yeye ndio dawa ya uzima
 
na hili nalo nimrudie muumba?-The intelligence does not lie on faith,ujifunze ku reason kidogo
 
Siku moja na wewe mng'ate mpaka umtoe nyama..alafu ile nyama uikaange uitafune au ule na ugali..?
 
uwe unamfunga mdomo na kamba kama farac, au ukishindwa c unajua mbuzi wa mjini akiwa anapelekwa malishoni hua anawekewa kikopo mdomoni kumzuia kula vitu vya watu. so do it utakua umeepukana na tatizo. gud luck
 
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mgeuze kinyume na maumbile ndio suluhisho tuu? Ili ang'ate godoro.
 
na hili nalo nimrudie muumba?-The intelligence does not lie on faith,ujifunze ku reason kidogo

yeye amesema huyo ni mpenzi wala c mke kwahiyo dawa kubwa ni kurudi kwa Mungu na kama ujaelewa comment ya mtu kuwa kimya tu ndugu yangu.
 
niwe kimya kwenye thread yako au yangu?
 
labda ang'olewe meno yote ya mbele ili abaki na mapengo, akikung'ata mapengo yanateleza!!
 
Kaka pole sana....lakini unapaswa ujue kwamba mwanamke hawezi kufika kileleni mpaka uwe umempatia zilipo hisia zake, na mwanaume inakupasa kujua sasa mwanamke alipofikia au anakoelekea anataka kufika kileleni ...kuna dalili zake mchunguze...wengine wanakaza vidole vya miguu, mwingine ana fumba macho,mwingine anaachama mdomo ila mwisho wa yote kila mwanamke ana ishara tofauti unapompatia na kuelekea kufika kileleni.......sasa kwa kuwa shemeji staili yake ni kung'ata hata ufanye nini huwezi kumbadilisha na akibadilisha staili ya kung'ata ujue hafiki kileleni zaidi ya kukuongopea au mkaishia kuachana........Ushauri wangu kwako unapoona anaelekea kileleni na wewe ubavu wako mdogo wa kumdhibiti asikung'ate na unataka mtu wako aridhike weka taulo karibu akianza kukolea unasogeza taulo...ukiona sasa anaelekea kung'ata tia taulo sehemu anayotaka kung'ata.....hawezi kuacha kung'ata lakini atang'ata taulo hapo utakuwa umesevu mwana......... ukushindwa hilo wafwa.......:rain:
 
umempa mawazo mazuri kwa kuwa si kila mwanaume anaweza mfikisha mtu kileleni, wengi wao hawawezi, hukojoa wao na kumuacha mwenzie solemba na wala hajui ni wakati gani mwanamke anakojoa. na pia wengi wa wanawake huishia kuwadanganya kuwa wamekojoa kumbe ata hajakojoa na kutokana na aibu anashindwa kumwambia ukweli mwenzi wake, wakati huo jamaa linajisifia uku jasho limemtoka bila kujua kama mwenzie kakojoa au la, mradi yeye kakojoa anaona ndo keshakamilisha game. big up kijana unajitihada, akikung'ata jisifie unaweza game ila fuata ushauri ulopewa ili usiendelee kung'atwa na siyo kumuacha, utapata wengine wasanii tu, kikubwa ni uaminifu tu na mapenzi ya kweli yenye kuridhishana.
 
Huenda anadai kwamba anamfikisha kumbe anamuumiza kutokana na hiyo long distance yake haiburudishi bali inakera, kwa kujiokoa anang'ata na kujifanya kafika lakini lengo lake ni kujiokoa na balaa au kero anayokutana nayo......😛ainkiller:
 
sasa kama unang'atwa daily ndugu yangu....
baada ya miaka kadhaa ngozi yako si itakuwa kama kombat ya jeshi?

Hahahahahhaaaha!!!! nini kombati kifua kitakuwa na mabaka baka kama batiki.
 
Jodoki stail ya kukumbatiwa pia inaraha yake bwana.

Hiyo ina raha yake na ndioinabeba hisia kwa sana lakini katika sehemu ya kuepukana na changamoto inabidi abadilishe style while looking utaratibu mwingine wa kuondoa hilo tatizo la kung'atwa
 
yaelekea ndugu kwa maneno ujambo.basi tufanye yameisha tuepushe yasiyo na msingi kuchukua nafasi ndani ya mwezi Mtukufu.Ramadan karim
Ramadhani karimu na shari wapi na wapi wewe ,usiwe vuguvugu

Back
Top Bottom