Kila akifika kilele ananing'ata meno

Kila akifika kilele ananing'ata meno

R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QUOT

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ushauri wako kiboko
 
:A S-fire1:badilisha staili kula tigo halafu awe ameinama au paka sumu ya panya kifuani ili ukimaliza tu muanze mazishi sh****zy type
 
Wew inaonekana bado una2mia stail za zaman.2mia stail ya chuma mboga,njia ya msalama au pisha njia nipite.iyo ndo dawa
 
Mi naisi ukitaka kumla vitu uwe unamuekea tu tambara mdomoni!
 
Je kama hii ndo style pekee inayomfikisha mwenzake kileleni?

Kuna style nyingi za kuhit g-spot na kumdikiaha mwanamke kileleni... Sio kukariri kuwa hiyo ni style pekee, bali ni kujaribu style tofauti tofauti,utundu na ubunifu tofauti....... Atapata aina nyingine ya kumfikisha kileleni mradi atwange vizuri...

Anyway hivi kama mkeo/ mpenzi wako anafika kileleni kwa style ya kifo cha mende mwaka mzima style hiyo hiyo hambadili kwa kuwa tu ndo inayomfikisha kilele??
 
Utam unageuka uchungu
'
Mambo ya ndani bana kazi kweli kweli
'
Tafuta mti,akionesha dalili za kufika kilele unamuwekea katikati ya meno . . . . .Lol!
'
Hebu jaribu kutafuta namna nyingine ya kumfanya afikie kilele kwa style nyingine,halafu inaonekana unapenda sana style ya "kifo cha mende"
'
Badili,hebu jaribu woman on top au dogy uone atang'ata nini!
 
Sawa mkuu,umeeleweka!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mfunge matambala mdomoni.
 
Back
Top Bottom