Kila akifika kilele ananing'ata meno

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,834
2,000
Hii kweli mkuu itanisaidia ,thanx


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
actually nina dawa ya hili tatizo na watu kusaidiana,, sasa mlete pale bunju uliza msumeno naaaa umeache kwa wiki tu makovu yote yatahamia kwangu wewe utakuwa safiii kama mwali
 

UmkhontoweSizwe

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,840
2,000
Mkuu, tafuta dilido uwe unamwekea mdomoni anang'ata wakati anakaribia kufika mawenzi, yeye atatidhika maana atadhani anakupa head.
 

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,160
2,000
Mtafutie kipande cha burger ukiona anakaribia kufika kileleni unamuwekea cha mdomo.alafu leta feedba.k
 

nosspass

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
4,763
2,000
Kichwa cha habari kinatofautiana na uzi wenyewe...ananing'ata meno, but niliposoma ndo nimekupata....huyo dawa yake mshikishe ukuta,,,,ukihisi tuu anakaribia,,, uwe smartest and fastest.....yeye angalia kuleeee,,, ang'atege aidha mninga wa kitanda,, au pillow.... hiyo salama yako,,, la sivyo utakuwa kama chujio kwa makovu....pole sana...
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,665
2,000
R.I.P Ngwair,Langa-habar wana jamvi
Nautandika uzi wangu huu hapa kuomba ushauri nifanyaje au dawa yake ni nini katika tatizo hili linalonisibu!
Nina mpenzi wangu niko kwenye mahusiano mwezi wa tisa sasa hivi,tatizo ni pale tunapokuwa ndani ya sita kwa sita huwa ananing'ata .Hii hali humtokea mara nyingi sana hasa hasa kipindi kile ambacho anakuwa anafika orgasm(female),hapa nilipo ukinikagua vizuri kifuani nina makovu kadhaa hadi kuwa chest game inakuwa aibu
Yani inakuwa shida kiasi natakiwa kujihami mara nikiwa namshughulikia hasa pale anapokuwa anakaribia orgasm kwa kutafuta stail ya kujiweka mbali na mdomo wake-lakini kama unavojua kipindi hiki mtu anaongezeka nguvu mara 100 so mara nyingi mimi naishia maumivu,na nimekuwa type ya wanaume ambao na last long in bed (enough stamina) hivo basi katika one shot naweza hata ng'atwa mara 3
Nikimuuliza mwenzangu anasema yeye hua hajitambui anapofanya kitendo hiko(biting) na kuishia kuni promise atajitahidi kujizuia next time lakini wapi -game inaishiaga vilevile.Kwa hali hii mimi naona kero hadi nafikiria kumuacha hali nampenda tena sana,sasa kabla sijafanya hivyo naombeni ushauri nifanyaje au hii hali inatibika na dawa yake nini?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
facts Orgasms is a small death because it take you out of the situation which you are!
 

Benzoic

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
423
225
Kaka naamini ukiwa unapiga mzigo na ukakumbuka ushauri huu mzito uliopewa hapa, itakusaidia sana kumaliza hamu ya tendo.
 

KAMINYINGE

Member
Mar 8, 2013
64
95
Tatizo hilo la kisaikolojia anahitaji ushauri wa mala kwa mala ataacha tu umenikumbusha imewahi kutokea kwa wife lakini aliacha saizi mambo safi.cha msingi ushauri na usisite kumuonyesha makovu mala zote na jins unavyo umia.
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,670
2,000
Tatizo hilo la kisaikolojia anahitaji ushauri wa mala kwa mala ataacha tu umenikumbusha imewahi kutokea kwa wife lakini aliacha saizi mambo safi.cha msingi ushauri na usisite kumuonyesha makovu mala zote na jins unavyo umia.
Asante sana mkuu kwa kunipa moyo and we share experience


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Top Bottom