Kikwete unamuogopa Mwakyembe

Kikwete unamuogopa Mwakyembe

Kwa hiyo mulitaka atumie kofia yake ya uwaziri kuwaletea ninyi meli bila kuangalia priorities??? Musafirishe nini?? Mawese??? Mchele????

Binafsi nimeona kitu na natambua juuhudi za mwakyembe kuwepo wizara ya uchukuzi na kama ingekuwa amri yangu angebaki huko. Tizama vichwa vipya vya treni vilivyoletwa mwezi jana kama si juzi.

Acheni ubinafsi, waziri kutokea kwenu isiwe nongwa.

Mengineyo, hakuna aliyekamilika. Hata wewe ukipewa utafanya vitu kwa umuhimu na utaratibu uliowekwa.

Inaonekana akija kuwa Rais, mnaweza taka makao makuu ya nchi yaamishiwe Kyela.

Ukiwa WAZIRI ndiyo unajiondolea mwenyewe majukumu ya kulihudumia Jimbo lako sababusasa unafanya kazi za kitaifa?Watu mna miss point muhimu sana hapa!

Dr Mwakyembe hata tumepata mafuriko makubwa Kyela kaja na kakaa masaa tu,anaulizwa mbona unaondoka kabla hata maiti za watu bado hazipatikana na unaondoka bila hata ya kuacha mipango jinsi ya kusaidia akina Mama na watoto waliokosa mahaki pa kukaa yy anajibu"nina kazi nyingi za kitaifa"

Alijisahau kuwa ili awe WAZIRI lzm awe Mbunge!Sasa tunamuondoa ili awe mbunge wa kuteuliwa aendelee na UWAZIRI WAKE
 
Wewe uanashindwa kuona kwamba alihangaika sana na TAZARA sio ndio inakwenda huko kwenu? na Songwe airport havitoshi tu hivi?

Fazili, achana ha huyu jamaa, huu ni ubinafsi uliopitiliza. Kwani Mwakyembe anayo bajeti ya kwake au ni ile ya nchi nzima. Yaani unashangilia wale wanaopendelea maeneo yako kwa gharama ya watanzania wote? Mwakyembe ni "presidential material" hawezi kufanya ujinga kama huo. Ninaamini yeye akiteuliwa na CCM anaweza kushinda kama upinzani ukifanya makosa katika uteuzi wa mgombea wao. Kama sio Mwakyembe, atakayesimamishwa na upinzani atashinda tu, hata kama hana sifa.
 
ULICHOANDIKA SIO CRITICAL NI UTUMBO MTUPU UBINAFSI UMEKUJAA SANA BASI HAMFAI WATU WA KYLA
Si kweli kama watu wa Kyela ni wabinafsi,bali tunacho jaribu kukuambia ni kuwa WAZIRI HAINA MAANA NDIYO USILIHUDUMIE JIMBO LAKO
1.Tumepata mafuriko makubwa yaliyo ua watu wengi na maelfu ya mifugo na kuharibu nyumba lkn Mbunge wetu anakaa Kyela ndani ya masaa tu akiulizwa mbona anaondoka bila kuunda hata timu za uokoaji anatujibu yy ni Waziri ana kazi nyingi za kitaifa
2.Anazuiliwa Kasumulu kwa nn unaondoka bila kutuambia ahadi yako ya kutupa maji anawajibu wapiga kura kuwa 'Maswali ya akijinga siyapendi na kumbukeni mm ni Waziri polisi wote wananitii mkiuliza tena maswali kama haya nawatia jela"

Jamani kuwa Waziri siyo ndiyo utelekeze Jimbo lako,majukumu ya kuhudumia Jimbo yanabaki pale pale
 
Fazili, achana ha huyu jamaa, huu ni ubinafsi uliopitiliza. Kwani Mwakyembe anayo bajeti ya kwake au ni ile ya nchi nzima. Yaani unashangilia wale wanaopendelea maeneo yako kwa gharama ya watanzania wote? Mwakyembe ni "presidential material" hawezi kufanya ujinga kama huo. Ninaamini yeye akiteuliwa na CCM anaweza kushinda kama upinzani ukifanya makosa katika uteuzi wa mgombea wao. Kama sio Mwakyembe, atakayesimamishwa na upinzani atashinda tu, hata kama hana sifa.

Mwakyembe HAWEZI shinda Ubunge Kyela,hata ndani ya CCM kura za maoni hawezi pita

Ya kuwa Rais siwezi sema lolote lkn kwa Ubunge kupitia Kyela asahau
 
Wanampoteza vipi? Ni katika utawala wa JK ndipo Mwakyembe aliacha kuwa mbunge tu na kuanza kuhudumu kama naibu waziri na hatimae waziri! Sasa kama lengo ilikuwa ni kumpoteza, alikuwa na haja gani ya kumteua naibu waziri na hatimae waziri? Tatizo watu mnaichukulia poa Wizara ya EA lakini ile wizara inatakiwa kuwa na watu strong kama Mwakyembe kwavile tumezungukukwa na nchi manyang'au ambao huwa wanataka kusukuma agenda zao! Na kosa atakalofanya rais ajae 2015 ni kuichukulia poa hii wizara na kuweka waziri yoyote... ikitokea hivyo, jua tumekwisha.

Ulichosema ni sahihi kabisa, tushasema sana hapa kuhusu hii Eac, kiuhalisia kabisa, ilihitaji mtu mmpambanaji hasa kama mwakyembe, kwa sbb ya uchokozi na mbinu za hawa wenzetu kwenye jumuia. Sipat mantiki kusema au kuona kuwa huku ni kushushwa cheo, nnachaamini ni kuwa, kaona ugumu wa hii wizara na ndio maana kampeleka huku.
Sitta sina tatizo nae akisimama kwa akili yake, matatizo makubwa ya huyu mzee huwa hawezi kujibeba, ni kama PANYA! Anauma na kupuliza, na akitikiswa sana si ajabu ndo ukawa mwisho wake.
 
Mwakyembe ndo amesaidia uwanja wa ndege wa MBEYA kuanza kazi, mlitaka nn zaidi?
 
Rais wetu hajawahi kuweza kufikiri kimkakati. Ndo maana hawezi kufanya strategic issues na badala yake ameegemea sana kwenye siasa. Mwakyembe ameleta mabadiliko pale wizarani. Kwa sababu wananchi wanaanza kumsifia Rais anaona wivu anasikiliza majungu.

Sitta yeye anataka kulipwa fadhila kwa kusimami Bunge la katiba na kuwapa ushindi watawala. Na ndicho alichofanya JK kwa sababu kule EA hakumkutanishi Sitta na Wanachi. Utaratibu huu hautaliletea Taifa letu Tija yoyote.

Aibu sana

Hapa ndipo ubaya wa nguvu nyingi za Rais unapoonekana, hivi hatuwezi kuweka kipengele kwenye katiba, kiwe kinawapa Wananchi nguvu ya kupinga mabadiliko yasiyo na tija kwa viongozi kama hili?. Huko nyuma tuliona vile Dr Magufuli alivyopelekwa kwenye vitoweo na kwenye barabara tukaweka mtu mwingine, tukamzungusha, baadae tukamrudisha tena ujenzi, hatuoni kwamba tunapoteza mtiririko wa kazi,sababu kila anayekuja, anaanza upya.

Sipingi mabadiliko,ila mengine ni hovyo kabisa, hivi hata huyu aliyepelekwa Ardhi, hivi kweli tuko makini na matatizo yaliyoko kule ardhi mpaka tunapeleka wanasiasa kule?
 
Wanampoteza vipi? Ni katika utawala wa JK ndipo Mwakyembe aliacha kuwa mbunge tu na kuanza kuhudumu kama naibu waziri na hatimae waziri! Sasa kama lengo ilikuwa ni kumpoteza, alikuwa na haja gani ya kumteua naibu waziri na hatimae waziri? Tatizo watu mnaichukulia poa Wizara ya EA lakini ile wizara inatakiwa kuwa na watu strong kama Mwakyembe kwavile tumezungukukwa na nchi manyang'au ambao huwa wanataka kusukuma agenda zao! Na kosa atakalofanya rais ajae 2015 ni kuichukulia poa hii wizara na kuweka waziri yoyote... ikitokea hivyo, jua tumekwisha.

If so, why not tangu mwanzo???!!!
Au manyang'au wamezaliwa 2015
 
Ulichosema ni sahihi kabisa, tushasema sana hapa kuhusu hii Eac, kiuhalisia kabisa, ilihitaji mtu mmpambanaji hasa kama mwakyembe, kwa sbb ya uchokozi na mbinu za hawa wenzetu kwenye jumuia. Sipat mantiki kusema au kuona kuwa huku ni kushushwa cheo, nnachaamini ni kuwa, kaona ugumu wa hii wizara na ndio maana kampeleka huku.
Sitta sina tatizo nae akisimama kwa akili yake, matatizo makubwa ya huyu mzee huwa hawezi kujibeba, ni kama PANYA! Anauma na kupuliza, na akitikiswa sana si ajabu ndo ukawa mwisho wake.

EAC haiendi kwa utashi wa waziri ila state yote kwa umoja wake angalia mifano ya nchi zinazotuzunguka marais wanasukuma zaid movements zao!!!
Angalia vibrancy na caliber ya wawakilishi wao!!!

Tusizunguke mbuyu!!!
 
Mwakyembe ndo amesaidia uwanja wa ndege wa MBEYA kuanza kazi, mlitaka nn zaidi?

Go check ur fact
Songwe International Airport ulipendekezwa hadi uitwe Prof Mwandosya International Airport tuki zithamini juhudi za Mwandosya kupata kiwanja hiki!Dr Mwakyembe has nothing to do with Songwe
 
Dr. Mwakyembe, out-shined his master, he is now paying for that sin!
 
Watu wa kyela hawana utani,
Nakumbuka yaliyomkuta Mwakipesile miaka ile.
 
Mafuriko y 2014 ndiyo mafuriko makubwa kuikumba Kyela yakiizidi hata yale ya mwaka 1952,ni mafuriko yaliyo ua watu wengi na kuharibu nyumba na miundo mbinu LKN Mbunge wetu alifika na kukaa Kyela ndani ya masaa tu akiwatembelea wahanga wa Itope tu!

Wapiga kura walipohoji kwa nn anakaa Kyela ndani ya masaa tu wakati hata maiti nyingi bado hazijapatikana Mwakyembe akajibu kuwa YY NI WAZIRI ANA KAZI NYINGI ZA KITAIFA!

kwahiyo unakubali kuwa alifika? kuna mtu kadanganya kuwa hajafika kyela kwa 100%
 
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,

Wewe sio mtu mwema,na huna nia njema na nchi hii.hivi unaelewa ulichoandika kwenye heading ya hii post yako?halafu bado unasisitiza kwenye comment.kiufupi ni kwamba hilo unalosema halipo siku hizi!HAIWEZEKANI KUPELEKA MELI KYELA KABLA YA MWANZA AU DAR.ZILE NI AHADI ZA RAISI NA MWAKIEMBE ASINGEWEZA KUBADILISHA.HAYA MAWAZO YAKO YAISHIE HUKO HUKO KYELA.
 
Kwanza Kwanini mleta mada ame edit content?mada haikueleza hivi mwanzo,jamaa amebadilisha ndani ila kashindwa kubadili kichwa cha habari kwakua huwa haiwezekani bila msaada wa moderator.
cc;Mohamed Mbelwa,Malafyale
 
Back
Top Bottom