Africa one
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 244
- 111
Kwa mawazo yangu hapa Presdaa kunuondoa Dr. Mwakembe hakuwa sahihi bora angeendelea.
Tatizo la mwakyembe ni papara halafu ana ndoto za kufanya biashara. Ni hatari sana kupewa wizara zenye miradi..ni mpigaji kama wengine wala msijidanganye. Huyo hatakiwi hata kuwa waziri abaki kuwa mbunge tu aendelee kupiga kelele
Come on Great Thinker!!
Mwakyembe anapaswa kulihudumia kwanza JIMBO lake!Kaingia Bungeni kama MBUNGE wa Kyela aliyetumwa kuisimamia Kyela kwenye mgawanyo wa keki ya Taifa
Kyela ina bandari kama Mwanza lkn yy kama Waziri ali alllocate bajeti Mwanza akiiasha Kyela
Kaimarisha bandari ya Dar akicha bandari ya Kyela
Kanunua meli mpya Mwanza akiicha Kyela
Miaka 10 ya Mwakyembe Kyela ni porojo tu!Hata Wizara ya uchukuzi hapo zaidi ya porojo kafanya nn?Tanzania bado haina ndege hata moja,TZ bado haina shirika lake imara la reli,TZ bado ndiyo ina bandari yenye huduma mbovu kuliko zote duniani!Watumishi wa wizara yake ndiyo wanaolipana nusu milion kama posho per day!
Mkuu ipo siku utatuelewa!Huyu ni mzushi tu.Mwakipesile alituacha pazuri sana kwenye miundo mbinu lkn huyu hata Kyela hafiki kazi ni kununua prime time kwenye media tu na wala Kyela hatujashangaa kuondolewa UCHUKUZI na kuwekwa wizara boya
ULICHOANDIKA SIO CRITICAL NI UTUMBO MTUPU UBINAFSI UMEKUJAA SANA BASI HAMFAI WATU WA KYLA
Mwakyembe ha-allocate bajeti,halafu bandari ya kyela huwezi ifananisha na mwanzaCome on Great Thinker!!
Mwakyembe anapaswa kulihudumia kwanza JIMBO lake!Kaingia Bungeni kama MBUNGE wa Kyela aliyetumwa kuisimamia Kyela kwenye mgawanyo wa keki ya Taifa
Kyela ina bandari kama Mwanza lkn yy kama Waziri ali alllocate bajeti Mwanza akiiasha Kyela
Kaimarisha bandari ya Dar akicha bandari ya Kyela
Kanunua meli mpya Mwanza akiicha Kyela
Miaka 10 ya Mwakyembe Kyela ni porojo tu!Hata Wizara ya uchukuzi hapo zaidi ya porojo kafanya nn?Tanzania bado haina ndege hata moja,TZ bado haina shirika lake imara la reli,TZ bado ndiyo ina bandari yenye huduma mbovu kuliko zote duniani!Watumishi wa wizara yake ndiyo wanaolipana nusu milion kama posho per day!
Mkuu ipo siku utatuelewa!Huyu ni mzushi tu.Mwakipesile alituacha pazuri sana kwenye miundo mbinu lkn huyu hata Kyela hafiki kazi ni kununua prime time kwenye media tu na wala Kyela hatujashangaa kuondolewa UCHUKUZI na kuwekwa wizara boya
mwaka huu aende kugombea ama Temeke,au Mwanza au Dodoma ndipo alipo peleka projects zake!Kyela tumeisha mkataa toka uchaguzi uliopita!
Jaribu ku critical thinking
Hivi wewe unaakili timamu?hivi unadhani ukipewa ofisi ya serikali unaenda kupendelea kwenu?nchi ina vipau mbele mkuu,huwezi kuanza kupeleka meli kyela ukaacha mwanza au dar kama wote wanahitaji!nyie ndomana huwa watu wanahofia kuwakabidhi nchi hata mkisoma sana kwasababu mnataka kuishi kwa kupendelewa jambo ambalo kimsingi litaiingiza nchi kwenye matatizo mazito.Meli ije kyela kufanya nini badala ya kupelekwa Mwanza au Dar kwanza?Mohamed MbelwaMohamed Mbelwam
Mwakyembe ha-allocate bajeti,halafu bandari ya kyela huwezi ifananisha na mwanza
hahahahaha mkuu umeua!!!!usijali sana atawaletea jumuia ya afrika mashariki huko huko kyela.
Mkuu malafyale hiyo bandari ya Kyela inaunganisha vitongoji gani