Unaona sasa!! Kwahiyo EAC ndo haiendi kwa utashi wa waziri lakini Uchukuzi ndo inaenda kwa utshi wa waziri (Mwakyembe)? What are you trying to say?EAC haiendi kwa utashi wa waziri ila state yote kwa umoja wake angalia mifano ya nchi zinazotuzunguka marais wanasukuma zaid movements zao!!!
Angalia vibrancy na caliber ya wawakilishi wao!!!
Tusizunguke mbuyu!!!