Fiki kangi mweee, imbombo jhiliku ?ngafu fijo mkamu ghwangu.
Come on Great Thinker!!
Mwakyembe anapaswa kulihudumia kwanza JIMBO lake!Kaingia Bungeni kama MBUNGE wa Kyela aliyetumwa kuisimamia Kyela kwenye mgawanyo wa keki ya Taifa
Kyela ina bandari kama Mwanza lkn yy kama Waziri ali alllocate bajeti Mwanza akiiasha Kyela
Kaimarisha bandari ya Dar akicha bandari ya Kyela
Kanunua meli mpya Mwanza akiicha Kyela
Miaka 10 ya Mwakyembe Kyela ni porojo tu!Hata Wizara ya uchukuzi hapo zaidi ya porojo kafanya nn?Tanzania bado haina ndege hata moja,TZ bado haina shirika lake imara la reli,TZ bado ndiyo ina bandari yenye huduma mbovu kuliko zote duniani!Watumishi wa wizara yake ndiyo wanaolipana nusu milion kama posho per day!
Mkuu ipo siku utatuelewa!Huyu ni mzushi tu.Mwakipesile alituacha pazuri sana kwenye miundo mbinu lkn huyu hata Kyela hafiki kazi ni kununua prime time kwenye media tu na wala Kyela hatujashangaa kuondolewa UCHUKUZI na kuwekwa wizara boya
mwaka huu aende kugombea ama Temeke,au Mwanza au Dodoma ndipo alipo peleka projects zake!Kyela tumeisha mkataa toka uchaguzi uliopita!
Jaribu ku critical thinking
wananchi wa jimbo la kyela tulipata faraja kubwa baada ya kukabidhiwa wizara hii, umeshindwa kuiga kwa mawaziri wenzio,
Am I Missing something?!
Naomba kuelimishwa, hivi Dr. Mwakyembe alikuwa waziri wa uchukuzi wa Kyela au Tanzania?
Tatizo la mwakyembe ni papara halafu ana ndoto za kufanya biashara. Ni hatari sana kupewa wizara zenye miradi..ni mpigaji kama wengine wala msijidanganye. Huyo hatakiwi hata kuwa waziri abaki kuwa mbunge tu aendelee kupiga kelele
Msijidanganye, Mwakyembe kama walivyo ma gamba wengine Ni mpigaji wa kwema mbele.Pale ofisini kwake misululu ya wahindi ilikuwa haiishi! Ni populist nambari one!
Me wizara hizo nyingine siwezi sema mengi lakini hii ya mwakyembe ,nadhani kuna hira ba uvundo ndani yake yaaani kuna vitu mwakyembe haendani na kikwete yeye kama yeye au nawashauri wake wa karbu na pengine wakiwa wanahofia baadhi ya vitu,ukumbuke sita alitupwa huko EAC,baada ya kuwa anaikosoa sana safu ya uongozi wa juu na hasa reaction alizoonesha baada ta kukosa uspeaker.
Sasa basi makyembe amekuwa amejizolea umaarufu na alikuwa amepambana na uozo ulikuwa umejificha hko bandarini na kna watu hadi leo wanapga makofi na yamkini watardushwa tena kwani mwakyembe katoka!!!
Kama huijui Kyela nyamaza tafadhali
Kyela tuna bandari HAJAWAHI igusa hata kwa miundo mbinu kila siku tunaona anaimarisha bandai ya Dar,Mwanza na Tanga
Kyela tuna meli chakavu zinazo zima katikati ya ziwa kila siku lkn ni Mwakyembe aliyeipa Mwanza hela za meli mpya!
Mwakyembe ni mbunge wa hovyo hovyo kupata kutokea ktk Wilaya ya Kyela na hawezi shinda hata kura za maoni
achilia mbali kupambana na CHADEMA
100% hujawahi fika Kyela!
100% hujawahi iona Kyela ya Mbunge Mwakipesile na Mbunge Mwakyembe
100% hujui kama Kyela nayo ina bandari na ina meli mbovu na Mwakyembe kama Mbunge wetu hajawahi hata fika bandarini kuona tatizo wanalopata wapiga kura bandarini hapo
100% wala hujui Mbunge kwanza ahudumie matatizo ya wapiga kura wake kingine ndiyo kinafuatia
Kama mmnampenda Mwakyembe mshaurini agombee kwenye majimbo yenu,huku anajua hapiti hajafanya lolote kwa miaka yake hii 10
Then unapoleta hoja ACHA KUTUMIA LUGHA ZA KUKERA,tumia lugha nyoofu utaeleweka zaidi!Neno una akili wewe sidhani kama hapa ni mahali pale
Hata mimi nimejaribu kuliangalia hili,nimeona kama kuna kupotezeana vile!!!!
Hivi umtoe Mwakyembe wizara ya uchukuzi halafu umlete msanii wa bongo muvi Sitta!!?
Huku si kuwatania watanzania!!?
Msijidanganye, Mwakyembe kama walivyo ma gamba wengine Ni mpigaji wa kwema mbele.Pale ofisini kwake misululu ya wahindi ilikuwa haiishi! Ni populist nambari one!
Kitendo cha kusema 100% hajawahi fika kyela wakati unakumbuka kuwa hata wakati wa janga la mafuriko alikuwepo kyela,hapo umeshanikatisha tamaa kujadili mada.au ulitaka aache ofisi Dar aje kulala kyela?Hata hivyo tunataka mlalamike kwa ubunge wake,sio mnakuja kulalamika eti Mwakiembe hakuifanyia kitu kyela kwa nafasi yake ya uwaziri.je kama hakupata loophole ya kuipendelea kyela?afanye tu?c ndio?
Mimi ninachomlaumu ni ule unafiki wa kukataa Thesis yake mwenyewe, vinginevyo ni mchapakaz
kwa maana hiyo makinda naye apeleke hansad za bunge njombe?
au mlitaka ajenge bandari kwenye ziwa la wamalawi ? acheni utoto!