Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
Kuna watu mna vituko, et mwakyembe aliwapa hela mwanza kwa ajil ya meli. Mwakyembe ana pesa za namna hiyo???
Kwa hiyo mulitaka kutumia uwaziri wake kuwafavor ninyi coz ni jimbo lake??? Non sense
Come on Great Thinker!!
Mwakyembe anapaswa kulihudumia kwanza JIMBO lake!Kaingia Bungeni kama MBUNGE wa Kyela aliyetumwa kuisimamia Kyela kwenye mgawanyo wa keki ya Taifa
Kyela ina bandari kama Mwanza lkn yy kama Waziri ali alllocate bajeti Mwanza akiiasha Kyela
Kaimarisha bandari ya Dar akicha bandari ya Kyela
Kanunua meli mpya Mwanza akiicha Kyela
Miaka 10 ya Mwakyembe Kyela ni porojo tu!Hata Wizara ya uchukuzi hapo zaidi ya porojo kafanya nn?Tanzania bado haina ndege hata moja,TZ bado haina shirika lake imara la reli,TZ bado ndiyo ina bandari yenye huduma mbovu kuliko zote duniani!Watumishi wa wizara yake ndiyo wanaolipana nusu milion kama posho per day!
Mkuu ipo siku utatuelewa!Huyu ni mzushi tu.Mwakipesile alituacha pazuri sana kwenye miundo mbinu lkn huyu hata Kyela hafiki kazi ni kununua prime time kwenye media tu na wala Kyela hatujashangaa kuondolewa UCHUKUZI na kuwekwa wizara boya
mwaka huu aende kugombea ama Temeke,au Mwanza au Dodoma ndipo alipo peleka projects zake!Kyela tumeisha mkataa toka uchaguzi uliopita!
Jaribu ku critical thinking