Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,316
- 677
habari za hawa watu zinaleta kichefu chefu
Naona sasa wakati umefikia wa mimi kubadili jina....maana hii misamiati yenu mnayotumia neno/jina "nyani" saa ingine hunipa shinikizo...
Mbona sikuelewi Ndugu Mwanakijiji !!!! Imekuwaje ukamgeuka braza leo au pesa ya kampeni alikurusha, anyway sijaona jipya kwenye hiyo thread zaidi ya marudio...
Sijui kwanini tunazungushana na kudai watu wote walioatajwa kwenye orodha ya Ufisadi wanastahili isipokuwa Rais Kikwete! Hata viongozi wanaotambua baadhi ya uzito wa tuhuma zilizotolewa na wanaodai kuwa zitiliwe maanani hujikuta wanajing'ata ng'ata kuhusu Rais Kikwete. Baadhi ya watu wamefikia mahali pa kulaumu kina Dr. Slaa kumuweka Kikwete katika kundi hilo kwani JK ni safi! Hata hivyo ushahidi wote uliopo unaonesha kuwa JK siyo safi na yeye ndiyo awe wa kwanza kujibu tuhuma zilizoelekezwa kwake!
a. Mkataba wa IPTL ulisainiwa yeye akiwa Waziri wa Nishati na Madini. Hakuna mkataba mbovu kama huo. Kushindwa kwake kutetea maslahi ya nchi akiwa
Huu ni ukweli Mchungu lkn UKWELI ni lazima tuuseme huyu raisi SIYOintelligent man, hili unaliona kila kuanzia maongezi yake mpaka matendo yake, ana kitu wazungu wanaita cheap politics kama shijui kushiriki misiba, kutembelea wagonjwa mahospitalini, kupeleka wagonjwa nje ya nchi, kutembelea waliopata ajali n.k wakati Kiongozi Intelligent hapaswi kufanya hayo mambo bali kwa mfano kama watu wanakufa na ajali brni anapaswa kuchukua hatua za mara moja ili kupunguza vifo visivyo vya lazima, badala ya kusafirisha wagonjwa nje ya nchi anapaswa kutumia hizo fedha kuleta hiyo huduma hapa nyumbani...

Wewe ambaye ni intelligent umearchieve nini kwenye Life kumzidi Kikwete?