Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

Mkuu wewe upo IT Centre ipi? Masaki au Lumumba maana lawama ni nyingi mno hasa centre ya Masaki.

Haha eti bosi wao kipara aliingia 5 bora akaachwa Pinda na Bilal!!!

Sasa ndo tunaona kichwa cha kipara ktk ubora wake!!
 
….currently CCM, chama langu kongwe ni BUSARA-less na CALCULATIONS-less. Walipomkata EL hawaku- calculate madhara (side effects), hawakutumia busara kumdhibiti. Sasa wamepigwa ngumi ndo wanajikinga, sijui hadi mwisho wa mpambano watakuwa wamedundwa ngapi? amkeni men.. acheni kuongea MIPASHO badala ya FACTS…hizi kauri za chandimu, wapumbavu, malofa, wataisoma namba zinawaponza tu. CCM siyo ile ile kama wanvyoimba wasanii wa TOT something is wrong somewhere
 
Nijuavyo huwezi kuhangaika na mtu ambaye humwelewi...

kama ndivyo kwanini CCM haimwachi Sumaye midomoni mwake?

Kwanini kutwa ni kupanga mbinu za kumnyamazisha?

Kwanini mnawaangukia wale mliowapuuza ili wapambane na Sumaye?

Kama hujamwelewa mtu unahangaika naye wanini??

CCM hawawezi kuangahika na mtu ambaye kichwani hana kitu. Wanachokifanya CCM ni siasa!
 
Natumaini kampeni tutafungia Jangwani, siku hiyo Sumaye ndiye atakae ongea mwanzo mwisho na kisha kwa dk chache sana EL atamalizia ya RICHMOND na kuipeleka rasmi CCM kuzimu kwa baba yake Lucifer.
 
Nimesikia kuwa mnywa gongo a.k.a Mzee wa Chandimu Mama yake kampiga biti.

Nakumbuka timu yao ilipotangazwa mbwembwe zilikua nyingi...

Wakashindwa soma upepo na alama za nyakati...

Nasikia wengi wamechoka... wamekata tamaa kabla adui hajabadili mbinu za pambano...

CHANDIMU anaicheza na Maria sasa...
 
CCM hawawezi kuangahika na mtu ambaye kichwani hana kitu. Wanachokifanya CCM ni siasa!

Siasa gani za kununua wale waliowaita viwanda vya uongo?

Siasa gani za kutuhumu hadharani jinai bila kuchukua hatua??

Nimekuuliza kama CCM haijamwelewa Sumaye kwanini hakauki midomoni mwao?
 
Haha eti bosi wao kipara aliingia 5 bora akaachwa Pinda na Bilal!!!

Sasa ndo tunaona kichwa cha kipara ktk ubora wake!!

Mkuu kile si kichwa bali ni dafu tu, unakunywa maji ukimaliza unatupa.
 
Yani hadi sumaye ni lulu kwa UKAWA? Kweli mmeishiwa
 
….currently CCM, chama langu kongwe ni BUSARA-less na CALCULATIONS-less. Walipomkata EL hawaku- calculate madhara (side effects), hawakutumia busara kumdhibiti. Sasa wamepigwa ngumi ndo wanajikinga, sijui hadi mwisho wa mpambano watakuwa wamedundwa ngapi? amkeni men.. acheni kuongea MIPASHO badala ya FACTS…hizi kauri za chandimu, wapumbavu, malofa, wataisoma namba zinawaponza tu. CCM siyo ile ile kama wanvyoimba wasanii wa TOT something is wrong somewhere

Ukweli ni kwamba CCM imefika ukomo wa fikra mpya na busara!!

Ndio maana unaona kundi kubwa na lenye dola limeshindwa kupambana na mtu mmoja tu asiye na dola!!
 
Nawe ni mmojawapo? Mbona unakimbilia kutoa comment kabla hujasoma na kuelewa dhima ya mleta hoja? Siku ukiuelewa ujumbe huu, naamini hutokaa ushabikie usilolielewa na utakuwa umekombolewa kifikra nakushauri rudia kusoma tena na tena ili unufaike na dhima ya mleta hoja.
Kiukweli kiburi cha watawala walio wengi huwaangamiza wale wanaoongozwa. Laiti hawa viongozi wastaafu wangetumika kama think tankers nchi ingekuwa na siasa na uchumi bora kuliko nchi nyingi za Afrika. lakini kitendo cha kuwadharau kitaiangusha ccm ambayo ipo kifamilia zaidi.
Jiulize, familia za watawala zinataka kulinda himaya ipi au siri gani ccm? Na kama hakuna wanachokilinda, ile maana ya ccm kuwa chama cha wakulima na wafanyakazi bado inafanyakazi? Kwanini hainekani kama ipo? Ukipata jibu utakuwa umemwelewa mtoa hoja.
 
Yani hadi sumaye ni lulu kwa UKAWA? Kweli mmeishiwa

Nani kasema lulu?

Au wewe ungewauliza CCM kwanini wanahangaika kuzima upepo wa mtu ambaye hawamwelewi??

Wewe unasema UKAWA imeishiwa wakati wenzako wanabuni mikakati ya kuangamiza waloishiwa?

Kama Sumaye si Lulu kelele zanini toka CCM?

halafu nimeuliza tu kwamba sasa JK amemwelewa Sumaye?

Au nawe ni jiwe?
 
Siasa gani za kununua wale waliowaita viwanda vya uongo?

Siasa gani za kutuhumu hadharani jinai bila kuchukua hatua??

Nimekuuliza kama CCM haijamwelewa Sumaye kwanini hakauki midomoni mwao?

Wanachokifanya CCM ni siasa! Ikiwa huijui michezo ya siasa basi kuwa mpole ni busara kutoendelea kuhoji kwanini CCM wanamtajataja Sumaye?
 
Yani hadi sumaye ni lulu kwa UKAWA? Kweli mmeishiwa
Ona sasa, tatizo una ongelea nyuma ya spika. Huyu anaijua CCM kuliko wewe uliyeko Gezaulole. Alisha waambia kwamba, umuhimu wake mtauona siku akiwa nje ya CCM.
 
Hivi yule mnywa gongo Makongoro kaishia wapi,maana nasubiri nione ile chandimu yake aliyosema ataicheza. Na Bwana Lodilofa pia kaishia wapi?

Mara ya mwisho nimekutananaye bukoba ananunua senene! Sijui ss hv kaishia wapi!- bwana lodilofa huyo!
 
Back
Top Bottom