Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,475
- 34,354
HIPC !Ni ajabu kudai umelipa deni lisilokuwepo, huu ni mwendelezo tu wa wizi. Kabla waropokaji hawajaanza kutoa kauli za ajabu ajabu, naomba mjue kuwa upo wakati madeni yote yalisamehewa tukaanza upya on a clean slate!
Paris club, mzee CD Msuya anaweza kutueleza mengi