FREE LUNCH
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 495
- 334
Mambo ya profesa hayo!
Sidhani kama hoja yako ina mashiko. Mikopo ya serikali ipo wazi kama ile ya ujenzi wa bomba la gesi. Tatizo Watanzania tunajitia vipofu
Sorry deni la 1958??? Nani alikopa kwa niaba ya watanganyika?? Je tulipaswa kulipa maana tulikua chini ya mkolon..
Rais Kikwete amesema serikali imelipa deni lilikopwa mwaka 1958 ambalo lilitumika kuijenga Morogoro Road.
Amesisitiza hakuna nongwa yoyote kwa madeni anayoacha kuja kulipwa na mrithi wake.
Amemalizia kuwa duniani kote ili nchi iendelee ni lazima ikope kama ilivyo kwa wafanyabiashara ili kukua lazima utakopa.
Chanzo: ITV habari
Mwaka 1958 kuliwa na Tanganyika. rais kweli tunaye
Ilikuwepo chini ya wakoloni.
Kama lingekuwa ni swali la mtihani basi ungeungana na huyu kwenye shule za kata
[/QUOT
Haya tupe jibu sahihi wewe msomi wa Edinburgh na baadae Oxford Universities.
Sidhani kama hoja yako ina mashiko. Mikopo ya serikali ipo wazi kama ile ya ujenzi wa bomba la gesi. Tatizo Watanzania tunajitia vipofu
Rais Kikwete amesema serikali imelipa deni lilikopwa mwaka 1958 ambalo lilitumika kuijenga Morogoro Road.
Amesisitiza hakuna nongwa yoyote kwa madeni anayoacha kuja kulipwa na mrithi wake.
Amemalizia kuwa duniani kote ili nchi iendelee ni lazima ikope kama ilivyo kwa wafanyabiashara ili kukua lazima utakopa.
Chanzo: ITV habari
matatizo tuliokuwa nao waafrika hatuwezi kusimamia haki zetu, muingereza ametawala kimabavu na kupora Mali afrika halafu tukaacha kudai fidia, halafu deni alilokopa bila ya ridhaa ya waafrika kwa maslahi yake sisi tulipe?mwalimu nyerere alimshauri hata deni ya mabutu Rais kabila asilipe, Leo hii ya mkoloni inatuhusu nini?kama tunarithi deni basi na faida ya Mali walizo pora waturudishie.Rais Kikwete amesema serikali imelipa deni lilikopwa mwaka 1958 ambalo lilitumika kuijenga Morogoro Road.
Amesisitiza hakuna nongwa yoyote kwa madeni anayoacha kuja kulipwa na mrithi wake.
Amemalizia kuwa duniani kote ili nchi iendelee ni lazima ikope kama ilivyo kwa wafanyabiashara ili kukua lazima utakopa.
Chanzo: ITV habari
kopa hlf tuone maendeleo yanayoendana na mkono. Deni la taifa limekuwa maradufu maendeleo hakuna hlf anakuja na kusema nchi zote zinakopa. Hoja mbovu. Utawala wake umeshindwa kabsa watz walikuwa na matumaini makubwa. Aende zake tuu. Hana jpya