Kikwete: Nimelipa deni la taifa la 1958

Kikwete: Nimelipa deni la taifa la 1958

Najaribu kuelewa, ninavyofahamu Mwingereza hakuwa mkoloni, hakukutawala kama mjerumani.Yeye alikuwa mwangalizi tu, labda ndomana akaamua madeni yote alipe Tanganyika
 
My question remains unanswered! Kikwete is the Fourth Pres of URT, before then, there were three major phases of leadership. Y does this president fee obligated to pay a debt that all three predecessors felt unnecessary?

na isitoshe wakati anaingia Mkapa alikuwa kasamehewa madeni yote, sasa hili la 1958 limetokea wapi leo?
 
Huyu baba anahangaika nini jamani? mbona hatulii kila siku ni kauli za kutapa tapa tu naona wapambe wake washamtupa wako busy na breadwinner ajaye amebaki peke yake akihangaika!!!
 
Hivi mwaka huo1958 iliyokopa ni serikali ya Tanganyika huru au kikoloni?Badala ya kujisieu,angejifunza kwanini watangulizi wake hawakulilipa(kama lilikuwepo)
 
Kupaa ndege alikuwa Lowasa bana hacha kuzingua watu wee....
Naam mkuu,

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa ni wakati wa sera Ben Mkapa ya UBINAFSISHAJI. Ilifikia kipindi wakati Mr Clean akijiandaa kustaafu kwa majigambo makuu akasema "Ndege ya uchumi wa Tanzania iko kwenye runway tayari kwa kupaa"..!!! Maweeeeeeeeee.... Laiti angejua mtu anayemfuata.....

BACK TANGANYIKA
 
Kikwete ni bora apimwe akili....
Hivi kweli kiongozi wa nchi unajisifu kumlipa mkoloni deni lililoachwa na mkoloni mwenyewe..??
Cha ajabu Watanzania wengi watachukulia poa tu kubebeshwa mizigo ya madeni!!

Yaani wakope....wafanye yao...alafu tufurai kulipa sisi..!?!?
 
Kuna Uwezekano mkubwa wa huyu mzee kuchanganikiwa,
Au bado ni muendelezo wa vioja vyake,
Other wise ametudharau watanzania kwa kiwango cha kutisha, acha kila mtu agombee urais
 
Kukopa na kulipa mbona ni kitu cha kawaida sana. Ungetuambia kuwa umepunguza deni la taifa kutoka asilimia fulani mpaka asilimia fulani hapo tungekuelewa. Kulipa deni la 1958 halafu wewe ukaongeza deni la taifa sasa hapo ch kujidaia ni nini?
Btw, hivi wakati mkulu anaingia ofisini deni la taifa lilikuwa kiasi gani na sasa ni kiasi gani?
 
Mwaka 1958 kuliwa na Tanganyika. rais kweli tunaye
Siamini kuwa kweli mwaka 1958 Mwingereza alikopa kujenga eti kutujengea Morogoro road. Iwapo reli ya kati yenyewe haikukopwa iweje Morogoro road? Sina data kwa hiyo nitanashangaa ntu.
 
Najaribu kuelewa, ninavyofahamu Mwingereza hakuwa mkoloni, hakukutawala kama mjerumani.Yeye alikuwa mwangalizi tu, labda ndomana akaamua madeni yote alipe Tanganyika

Hata kama, Lakini kumbuka Tanganyika ilikuwa teritory ya Uingereza chini ya Queen Liz kama Head of State. Makusanyo yote ya Kodi ya Tanganyika yalikuwa part ya mapato ya Uingereza which means hapa Dar hakukuwepo na Hazina. Kwahiyo, kimahesabu huwezi kukubali kuchukua kodi halafu useme madeni siyo yako. Nyerere aliwaambia Waingereza kuwa madeni yote yalikopwa kabla ya Tanganyika huru hayatalipwa na Mtanganyika bali Mwingereza. Full Stop.. Maweeee!!!!!
 
Umeshindwa kuiona hoja ya mchangiaji kutokana na kushindwa kupanua fikra.

Ujinga wa serikali tuliyo nayo ni kukazana kukopa wakati pesa yetu tukiitumia kwa anasa kama vile utalii wa Rais wetu usio na msaada wowote kwa Taifa letu.

Rais wetu angepunguza uzururaji tungeweza kupunguza ukopaji kwa kiasi fulani maana pesa anayoitumia katika safari zake ingeweza kusaidia kutekeleza baadhi ya miradi bila ya mikopo.

Sidhani kama hoja yako ina mashiko. Mikopo ya serikali ipo wazi kama ile ya ujenzi wa bomba la gesi. Tatizo Watanzania tunajitia vipofu
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Ni aibu,ujinga na upumbavu mkubwa sana,yaani wazungu wa kikoloni wakakopa kuiendesha serikali yao leo mtu anakuja kuwalipia deni,mwaka 1958 si tulikuwa chini ya mkoloni? ama kweli Kikwete ni zaidi,anyway aliambiwa km asipoyalipa asikanyage majuu kaamua kulilipa ila AIBU KUBWA
 
Kikwete ni bora apimwe akili....
Hivi kweli kiongozi wa nchi unajisifu kumlipa mkoloni deni lililoachwa na mkoloni mwenyewe..??
Cha ajabu Watanzania wengi watachukulia poa tu kubebeshwa mizigo ya madeni!!

Yaani wakope....wafanye yao...alafu tufurai kulipa sisi..!?!?

Upuuzi mkubwa huu,watanzania 2po km mambulula vile,2na laana
 
AN OPEN LETTER TO THE UK AMBASSADOR TO TANZANIA

Honorable Ambassador

Your Majesty Madam.
I am a born Citizen of Tanzania. I am appalled by the information from our president that with all UK took from our grandfathers during colonialism yet there were massive debt left behind for the exploited grandchildren of slaves to pay?

To this generation, this is the highest degree of insult we have lived to witness as a nation. The lives and resources lost to slavery are irreplaceable and was extremely brutal, yet we have to pay for this brutality.

Please make me believe there was no debt and the president did not mean to mention the year 1958. I'm grieved and sharply angered by this report, however, I hold ur office with the highest degree of integrity and you will without fear or favor put the facts on the table.

Sincerely
Grieved Citizen of the URT
 
Huenda kuna madeni mengine ya kulipa yaliyoachwa na hao waingereza na watangulizi wao wajeruman. Huenda zanzibar pia kuna mikopo ya kulipa waliyoacha waarabu na waingereza
 
Wakandarasi leo hii wanadai serikalini karibia Trilioni moja.
Na kuna habari kunawaliopoteza maisha kutokana na madeni wanayodaiwa.
Leo unasikia u.pup.u huu!
 
Mkopo 1958??!! Alikopaga nani? Maana serikali huru ilikuwepo madarakani 1961. Nyerere hakuwa Rais. Alikopa nani. Wataalam msaada jamani
 
Nilikuwepo mkutanoni alipoongea hili. Hajalipa bali awamu yake imemalizia deni. Kwenye schedule of payment, deni lilikuwa liishie awamu hii.
 
Wakati mwingine ni aibu hata kunsikiliza huyu mzee..1958 kukikuwa na Serikali ya Tanganyika huru? Hawa watu wawe wanapimwa akili jamani
 
Back
Top Bottom