MTUSIASA
Senior Member
- Apr 15, 2015
- 179
- 49
Sidhani kama hoja yako ina mashiko. Mikopo ya serikali ipo wazi kama ile ya ujenzi wa bomba la gesi. Tatizo Watanzania tunajitia vipofu
Wewe Lizabon kwa unavojijua. Huniwezi darasani, maisha, wala siasa tambua hilo. Maana kama Raisi anajisifia kulipa deni wakati hapo hapo uchumi umeyumba. Si kilaza huyo Raisi. Chukulia mfano mzuri tu kwamba wewe ni mfanya biashara umechukua mkopo wenye masharti nafuu wakati huo biashara umeyumba, Je utalipa deni au utatumia kwanza hiyo hela kama Mtaji??
Sitak jibu kama la Kikwete hapa