Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

Both Zitto na Kafulila walishakumbwa na kashfa za 'kula huku na huko' na madhara yake yameonekana hasa kupitia CHADEMA maana Kafulila alikuwa CHADEMA. Kama kweli Rais atakuwa amesema hayo ni vigumu kuamini kuwa anataka mmojawapo awe Rais kwa sababu tu ya ujana wao! There is more to this story. Mwaka 2005 tuliambiwa tumchague Rais kijana, tena chaguo la mungu, where are we now as a nation?
 
Ben,Naona umeandika kijanja kweli...sisi tulioko ndani tunajua ni kwa nini umetoa comment kama hii hapa chini.endeleeni tu na huo mtandao wenukwanza ni kwa nini amesemea kwa zitto?ningeshangaa sana kama usingetoa msimamo tata kwenye thread kama hii.
Yeah, Ben ameandika kiujanja sana, ila its gud sbb ni kijana anayeweza kuexpress hisia zake openly, ila hili la huo mtandao wao kama ni la kweli litamtafuna kabla hajafikia ambitions zake....kuna post moja ansugest umri wa kugombea urais uanzie miaka 35, may be ili Zitto aruhusiwe....nasema Ben kama mimi kama mtanzania yyte ana uhuru wa kuelezea hisia zake, ila kwa kijana kama huyu ambaye ni potential kwenye siasa za upinzani akianza kuwa kwenye hii mitandao(kama ni kweli) ni hatari political ambitions zake.Zitto nafikiri anabidi asubiri by 2020, he will be the leader of the party and the only potential presidential candidate from CDM
 
Ben,

Acha spinning na upotoshaji kwa maslahi yenu.Acheni kuwachanganya watu,acheni kuwapotosha watu.Lugha uliyotumia hapa inaonyesha dhahiri unampigia Zitto kampeni na pengine kubadilisha mtazamo wa Jukwaa hili la Jamii forums juu ya Zitto.Sijui ni ajenda gani ya siri mliyo nayo.msitumie taaluma zenu kushawishi watu waamini kuendana na matakwa yenu.jeuri yenu itawagharimu.ninyi mna ligi yenu ya waroho wa madaraka.huo mtandao wenu tutauona,nilishakushauri sana kama unakumbuka uachane na kambi ya akina Zitto itakupotezea kipaji chako ulicho nacho na taaluma yako.kumbuka unaaminika sana.Hata ile siku ya uchaguzi ulishauriwa uachane na kundi loote litakalokufanya uwe upande wa wasaliti wa chama hukusikia.Jeuri yako itakuponza.nimekushauri tu kama dada yako mwenye matumaini makubwa na wewe siku za usoni.now it is up to you uamue kusuka ama kunyoa.


Hawa ni wasaliti walishamtanguliza kafulila.Chadema itafanya uamuzi mzuri tu msijali.siku hizi mwenzetu amepata makundi mbalimbali yanayomuunga mkono ndiyo maana unawaona hata watu kama akina Ben Saanane wanatumia kila fursa inayotokea kujenga mtandao wao.chadema haiogopi kumfukuza mwanachama yeyote,hakuna mtu maarufu kuliko chama ndiyo maana shibuda atakiona cha moto soon.sisi tunajua jinsi ya kuchukua uamuzi tofauti na magamba na rais wao.Ni bora watoke mapema ndani ya chama wasitubabaishe bwana

mh. hawa watu wana mbinu nyingi lakini mbinu zao zinaishia kwenye keyboard au vyombo vya habari tu, mbinu zao hazitaweza kubadilisha mioyo yetu. wameshashindwa tayari.
 
Yeah, Ben ameandika kiujanja sana, ila its gud sbb ni kijana anayeweza kuexpress hisia zake openly, ila hili la huo mtandao wao kama ni la kweli litamtafuna kabla hajafikia ambitions zake....kuna post moja ansugest umri wa kugombea urais uanzie miaka 35, may be ili Zitto aruhusiwe....nasema Ben kama mimi kama mtanzania yyte ana uhuru wa kuelezea hisia zake, ila kwa kijana kama huyu ambaye ni potential kwenye siasa za upinzani akianza kuwa kwenye hii mitandao(kama ni kweli) ni hatari political ambitions zake.Zitto nafikiri anabidi asubiri by 2020, he will be the leader of the party and the only potential presidential candidate from CDM

Ben,

Kama ni kweli na hata huku Kahama tulishanusiwa, please acheni huo ujinga maana tujifunza kwa JK.
 
Ben,

Watu kama wewe wapo wengi Tanzania, i think including myself but we are missing something of which is very important. You know what? MBINU ZA KUPAMBANA MAZINGIRA ULIONAYO. Tumebakia kukopi tu, e.g. ukiona Politic inalipa just jump in, not jump out.

Wakati tunasoma secondary i was good in History but my teacher recommended to PCB simply i know maths and chem. ndo mwanzo wa kifo cha uzalendo wetu. sasa tubakia kuletewa tu and will continue to be like that unless CCM is out and we get in someone knows in person the source of our problems.


Mkuu Selous a.k.a kekule(Benzene) ha ha ha,
Tumeandaliwa kuogopa ....na sisi tunakubali kutokuthubutu!

Kumbe mkuu ulisoma PCB? hata sisi wengine tulipita hapo kwa kulazimika tu lakini huko juu ilibidi turudi kwenye kile tulichokitaka kwa kubeba Risk.

Ila tukirudi kwenye mjadala,ni hatari sana watu kuingia kwenye fani kwa majaribio.Siasa si kitu cha majaribio.Hata hivyo naamini kabisa tukiwa wengi tutaweza kubadili mtazamo na kulipigania taiafa letu kwa moyo wote hadi tone la Mwisho ilimradi watanzania wapate kile wanachostahili.Huwa naona wivu na kusikitika sana nikiangalaia jinsi wenzetu wanavyosonga mbele,sisi tunajiandaa kujenga taifa la waoga.We have all what it takes to make Tanzania a great nation in Africa kuanzia ngwe hii ya pili baada ya miaka 50 ya uhuru.Second liberation struggle needs visionary,courageous and vibrant people to spearhead this grand mission
Kkiwete ana CREDIBILITY zipi za kuajua nani anafaa kuwa raisi wa nchi hii?
hapo anawachonganisha vijana na wazee ili MWINYI ashinde kirahisi,
sidhani kama kikwete ana nia ya kuona kafulila au zitto wakiwa maraisi
labda aseme ana maana ya MAKAMBA na wenye magamba wengini.

ZITTO kaishabikia hii kauli kwa misingi ipi?
lini amekuwa mwana CCM?
Ni kweli ila Sidhani kama kuna mwanasiasa atakayeshabikia kauli kama hii blindly,ni lazima mtu utafakari.Mkuu chadema hakuna mwanasiasa wa hovyo kiasi hiki.
 
Yeah, Ben ameandika kiujanja sana, ila its gud sbb ni kijana anayeweza kuexpress hisia zake openly, ila hili la huo mtandao wao kama ni la kweli litamtafuna kabla hajafikia ambitions zake....kuna post moja ansugest umri wa kugombea urais uanzie miaka 35, may be ili Zitto aruhusiwe....nasema Ben kama mimi kama mtanzania yyte ana uhuru wa kuelezea hisia zake, ila kwa kijana kama huyu ambaye ni potential kwenye siasa za upinzani akianza kuwa kwenye hii mitandao(kama ni kweli) ni hatari political ambitions zake.Zitto nafikiri anabidi asubiri by 2020, he will be the leader of the party and the only potential presidential candidate from CDM

T.K,

Thanks alot for your valuable opinion.Nashindwa kuelewa huyo mtu anyesizitiza mitandao kaitoa wapi.Sina mtandao,siko kwenye mtandao,sijui mtandao wowote ndani ya chama changu.Mtandao nilio nao moyoni ni wa maslahi ya watanzania,ni mtandao wa haki,ni mtandao wa fursa sawa,ni mtandao wa kutetea maslahi ya kizazi hiki na kijacho,ni mtandao wa Chadema dhidi ya chama tawala na ni mtandao wa kambi yenye uaminifu kwa taifa ya upinzani dhidi ya utawala mbovu,dhuluma na kambi ya ufisadi.ni mtanado wa kuijenga upya Tanzania baada ya miaka 50 ya uhuru.ni mtandao wa kupigania ukombozi wa pili wa taifa letu


Ben,

Kama ni kweli na hata huku Kahama tulishanusiwa, please acheni huo ujinga maana tujifunza kwa JK.

Mkuu,nimekujibu hapo juu...huo mtandao mwingine siujui.Asante
 
  • Thanks
Reactions: T.K
IKULU SI MAHALA PA KUKIMBILIA...Unless wanataka kuifanya ikulu pango la walanguzi....namwomba zito na wengine wanaoutamaniiiii uraisi waweke jukwaani agenda zao binafsi tuzipime mapema kama walivyotangaza nia zao mapema.
 
user-online.png
Ben

Ni kweli ila Sidhani kama kuna mwanasiasa atakayeshabikia kauli kama hii blindly,ni lazima mtu utafakari.Mkuu chadema hakuna mwanasiasa wa hovyo kiasi hiki

---Leo tunaweza kumkubali kikwete kwa kauli zake za ujanja bila kufikilia natega nini?
kikwete kwa sasa anawinda kupa mrithi anayekubaliana na mambo yake, sasa ZITTO ana FIT katika hili kundi?
kwa nini anaona RAISI anayetaka kumrithi awe kijana kuliko yeye hali mawaizi wake ni wazee na vijana waliowekwa humo ni kulipana fadhila
Msingi ni kwamba KIKWETE hana uzalendo kama anafikia kusema anataka vijana wamrithi basi ni hakika kwamba anajua nyufa/udhaifu wa hao vijana wa upinzani kuliko wazee.

TAIFA ili litajengwa na wenye moyo bila kujali umri na kamwe uraisi wa kishabiki tutaishia kupata KIKWETE mwingine.
ili kosa alipashwikurudiwa . Zitto na kafulila bado hawajafikia kiwango cha kuongoza nchi hii yenye uozo kiasi hiki.
hii nchi inaitaji mtu ambaye amshaonja maisha na kuyachoka ili awe na udhubutu.
sio hao tu hakuna kijana anayeweka , mwenye ubavu wa kungoa visiki tulivyonavyo sasa,
wakuu utu uzima dawa
 
Ciao wana JF!!!
mimi nafikiri, it is completely un-productive to discusss who is going to be the next president before opening a national agenda/DEBATE regarding what are the difficulties we're facing as a national and what are eventual solutions of those problems - then tukae tujadili nani tunafikiri anaweza kutuongoza katika kutatua haya matatizo yetu. Nitatoa mfano ninamaanisha nini : US kabla ya kuanza a long nomination process huwa wanadebate as a nation "what should be the priorities of the next POTUS" - mfano last time (even this time!!) ilikuwa ni UCHUMI - ilivyofika wakati wa kupiga kura wakamchagua ambaye walidhani alikuwa na better solutions za kuufufua uchumi wao uliokuwa unazidi kuporomoka - HAWAKUSEMA THIS TIME TUNAHITAJI RAIS MWENYE ASILI YA AFRICA!!!
Kabla ya hapo walimchagua G.W.Bush kwasababu waliweka national security at the top of their agenda baadaye wakaona BUSH was tough enough to deal with that agenda, so tatizo sio rais Mzee Vs Kijana, Mme Vs Mke, Christian Vs Muslim, Kaskazini Vs Kusini!!!
If we don't learn as a nation to have a "list" of our priorities then we will never "learn" to vote for proper candidates. SWALI LA MSINGI NI: TUNAWACHAGUA ILI WAENDE KUFANYA NINI??? TUSIRUDIE MAKOSA YALEYALE YALIYOFANYIKA WAKATI WAKUMCHAGUA KIKWETE NAFIKIRI MLIKUWA MKIMUITA BOYZ II MEN - MMEONA MATOKEO YAKE!!!
 
Kama tutaweza kumshawishi Mzee Mwanakijiji atuwekee press conf. aliyofanya Mwalimu(R.I.P.)na wahariri wa vyombo vya habari pale Karimjee nafikiri 1995 basi tutapata sifa za Rais tunayemtaka - zipo zote ktk ile press conf - Mzee Mwanakijiji pls help!!!
 
Zitto hana hata tone la haiba ya uraisi zaidi ya kuwa chanzo cha migogoro ndani ya Chadema.
 
Ben,

Naona umeandika kijanja kweli...sisi tulioko ndani tunajua ni kwa nini umetoa comment kama hii hapa chini.endeleeni tu na huo mtandao wenu
kwanza ni kwa nini amesemea kwa zitto?ningeshangaa sana kama usingetoa msimamo tata kwenye thread kama hii.
Unam-mind kwa ajili ya hoja ya posho nini?
 
Riz one kwanini asimteue kuwa mgombea wa urais au ndiyo kampeni za kumtaka mwanaye awe rais,kazikazi kweli.
 
Zitto hana hata tone la haiba ya uraisi zaidi ya kuwa chanzo cha migogoro ndani ya Chadema.
Duh, hapa Mkuu naona humtendei haki Zitto. Sidhani kama ni wakati wa kuendeleza mambo ambayo Zitto, Mbowe na Dr.Slaa wote kwa nyakati tofauti wamekanusha kuwepo kwa mgogoro wowote. Of course kutakuwa na differences lakini kuendelea kushambuliana kwa mambo yasiyo na kichwa si kujenga bali ni kukibomoa Chadema. Ni mtazamo wangu tu
 
Back
Top Bottom