Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arafat hii inaitwa twanga kote kote!unajua Impact ya kauli hii upande wa upinzani na upande wa ccm? Unajua kwanini kauli hii imepewa "uzito" na Zitto? Hizi ndio siasa za kiafrika ambazo hata vijana wa kileo wanarudia makosa yale yale! Tuendelee kukubaliana tusiyokubaliana!Mhmm, Ngoja kwanza nitafute umri wa Mwinyi maana labda ana mlenga huyo?! CCM nani kijana anataka kugombe? Lakini nakumbuka moja ya agenda kubwa waliyotumia wanamtandao ni kurubuni watu kuwa Kikwete ni Kijana?!
kwa hio Dr slaa mzee wa kukurupuka akae pembeni kule chadema na kumuachia kijana Zitto
tena unathubutu kujiita mzalendo.unakurupuka tu,ina kizebuzebu sana na mzee wa watu.chadema hatukurupuki kama wewe,mtu atakayechaguliwa na chadema hatuchaguliwi rais na kikwete.peleka hulo wazo huko kwa wauza sura wenzenu
Rais Kikwete hajakosea,na pia jukumu la kuchagua viongozi au jukumu la kujua ni kiongozi gani anahitajika linabaki kwa wapiga kura.Suala pia si la kijana tu,kijana mwenye uwezo ili tusijetukaburuzwa na ride ya ujana au jinsia tu kama ilivyokuwa 2005,people voted for "beauty" not for "Duty",ha ha ha! loh
Ila sasa anaposema msikubali anamaanisha nini?inaonekana sasa yeye atatumia udikteta ndani ya chama chake kukataza mtu asigombee? Kwenye hoja ya ujana hajakosea,ni wazo zuri
It will be unfair to deny /ask somebody not to contest and will be infringing on his constitutional right. It is a right given to him by the Constitution which he has a sole discretion to exercise.
Tanzanians at this stage should be talking of credible elections and free participation. Credible people should be allowed to participate in the election
Again,It would be unfair for anyone to ask anymember of a political party not to run for presidency on the basis of an unconstitutional arrangement by a political party.
Mh Zitto ni muumini na rafiki wa karibu wa JK kuliko wanaCCM wengi.Na Zitto tangu lini akayaona mapendekezo ya Kikwete kuwa ya maana?
Umenifurahisha mkuu,hata mm sijui tangu lini ila najua "anamkubali" ile mbaya! Hapo chacha!Na Zitto tangu lini akayaona mapendekezo ya Kikwete kuwa ya maana?
Think outside the box, what abt huyo Malima, Ngeleja wanaotuzngua kila siku nao wamezeeka au?naam ukweli uwe wazi viongozi kama dr slaa amekuwa mzee na uwezo wake wa kuchukua maamuzi umepungua na ndio maana, mameya wa arusha wanamshtumu kwa kuchelewa kuchukua maamuzi kwa jambo ambalo walimshauri
mwambieni huyo zto asikurupuke huko kwa wauza sura FB akajua yy ndio katabiriwa mshaurini vzr, magamba tangu lini wakawatakia heri CDMKarume alinukiuliwa akisema hakuna ubaya kw Raisi kutoka Pemba. Watu wakajua analengwa Maalim Seif kumbe ni Shein. Sasa huyo kijana anayezungumzwa yupo CCM humo humo. Jidanganyeni tu wakina Zito.
naam ukweli uwe wazi viongozi kama dr slaa amekuwa mzee na uwezo wake wa kuchukua maamuzi umepungua na ndio maana, mameya wa arusha wanamshtumu kwa kuchelewa kuchukua maamuzi kwa jambo ambalo walimshauri