GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Kila mwaka tunapoteza mabilioni kwa sherehe za Uhuru wa Tanganyika, mapinduzi ya zanzibar, sherehe za muungano? Kwanini sherehe hizi zisifanyike kila baada ya miaka 5 au kumi ili ku save pesa za watoa jasho na kuingizwa katika maendeleo? Umasikini tulionao watanganyika na wazanzibari kwa upumbavu huu kila siku?