Kikwete na Lowassa kunani tena?

Kikwete na Lowassa kunani tena?

Acheni kijifariji kwa upuuzi, hii picha ni wakati EL akiwa bado PM. Kwa akili ya kawaida tu protocol hairuhusu mtu baki akae between amiri jeshi mkuu na mkuu wa majeshi katika shughuli rasmi ya nchi inayohusisha vikosi vya jeshi. Watanzania tumepata katabia cha uzushi na kuact, kushabikia kwenye uzushi.

Hiv mbona mkuu wa polisi na magereza hawakuwepo pembeni ya rais
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪☝☝☝☝

🏃🏃🏃 Go Lowassa gooo 2015...Go Daddy 🏃🏃🏃

CCM 2015 Lowassa....team Membe got heart attack..!!!

EL has a very accurate calculated political move....!!!!

Watu wanahaha....na bado...!!!!!
 
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
attachment.php

Haaaa haha hii picha mbona Lowasa yuko mbali sana na Kikwete,,kutokana na hii picha Lowasa yuko safu ya pili,poteza muda kuiangalia fizuri hii picha
 
chinga one hiyo ni tafsiri yako tu lakini sisi tunatambua kuwa viti jukwaa kuu huwekwa kwa mpangilio na Lowasa jana alipangiwa akae pale alipokaa tena nyuma ya viti vya mbele. sasa kutaka kutuzuga kuwa unajua kubashiri nadhani unatudanganya...
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
attachment.php
 
Lowasa ni kiboko yenu kweli. Nafikiri wengi mnataka kujua hata siku Edward Lowassa anakwenda kuwajulia hali wakwe zake. Lowassa my message to you is you must be proud for in this country you both famous and popular. I have tried to measure the number of times your surname Lowassa appears in JF and other media it is closed to 13000 KM in length. We thank your weak political opponents for making you known
 
Ndugu wana JF,

Nimekuwa nikitafari tangu jana yote na magazeti ya leo na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii na sasa nimeamini kwamba LOWASA ni jembe na sio utani,mzee wa tezi dume jana ilibidi akae nae karibu kwani mwakati wakati wa sherehe za uhuru ni LOWASSA ndo atakaye kuwa anapigiwa mizinga 21,kukagua gwaride la heshima etc,sasa kwanini nimefunguka hivyo ni kwasababu jamaa EL alishasema akifungiwa mlango wa mbele hata wa uwani atautumia hii ina maana gani,jamaa ni chaguo la watanzania wengi na wengi wamebaki kuwa na imani naye sana,lakini pia kama chama chake hakitampitisha jamaa atatafuta pa kutokea so in short Mzee wa tezi dume ameshacompromise na jamaa atapeperusha bendera ya CCM
So ndo hali ilivyo kwa kifupi
 
Nilikaa jukwaa kuu leo sherehe inaanza hadi mwisho,hakuna eneo ambalo JK na EL waliweza kusimama karibu hivyo Zaidi ya salamu tu - tena JK alitaka kumpita EL bila kumpa Mkono isipokuwa alifanya kulazimishwa, anyway angalieni hiyo Picha yenu vizuri mbona EL hana miguu?
Duh..... na kweli, nami nimeitazama kwa makini hiyo picha, nimejitahidi kuitafuta miguu ya EL kwenye hiyo picha, lakini sijafanikiwa kuiona!

Inawezekana hiyo picha ya 'kuchonga' itakuwa 'imetengenezwa' na campaign team ya mzee wa mamvi, ili kuwapa 'matumbo ya kuharisha' wale wote waliotangaza nia ya kugombea upresidaa mwakani, kwa tiketi ya magamba.
 
Tanzania ni nchi ambayo hata ukichukua ZUZU,BOGA au JIWE Ukalipia BONGE LA KAMPENI UONGO,RUSHWA JUU LINAKUWA RAIS.NO NEW
 
Lowassa NDIO CHAGUO LA WATANZANIA KWA WAKATI HUU....

Lowassa ni CHAGUO LA WALIMU WOOTEE...

,, ,, ,, ,, BODA BODA WOOTEE

,, ,, ,, ,, WAFANYAKAZI WA SEKTA ZOTE

,, ,, ,, ,, MADHEHEBU YOTEEEEE

,, ,, ,, ,, Wapaganii wotee muulize Kingunge

,, ,, ,, ,, UVCCM WOTEEEEE

,, ,, ,, ,, WAZEE WA CCM WOTEE, Mwinyi,
Mkapa, Karume, Malecela, Sumaye
Kingunge ( best frnds haswa) etcl
,, ,, ,, ,, WAFANYA BIASHARA WAKUBWA
kwa wadogo woteeee

,, ,, ,, ,, Wakulima na Wafugaji woteeeee

,, ,, ,, ,, UWT ukimgusa EL watakumaliza

So tunaona kwa undani kabisa kwann EL NI TISHIO HADI KWA UKAWA....sbb ni kuwa MAKUNDI YOOOTEEE

YOTEEEEE....WANAMKUBALI 1000% sorry 10000% oops...sorry 100% ...

CCM haiwezi muacha mtu anayeweza KIBEBA CHAMA....

CCM WANAJUA NA WANANCHI wanajua....EL is the NEXT PREZIDAA 2015.....!!!!

👏👏👏👏👏👏👏👏🏃🏃🏃🏃🏃
 
This shows even TV u don't hv it...!!!! Jana ulikuwa wapi...!!? Hata magazeti leo hujasoma au ukiwa hata nje just read news papers ya leo

Game over, EL is the Next President...!!!

Duh..... na kweli, nami nimeitazama kwa makini hiyo picha, nimejitahidi kuitafuta miguu ya EL kwenye hiyo picha, lakini sijafanikiwa kuiona!

Inawezekana hiyo picha ya 'kuchonga' itakuwa 'imetengenezwa' na campaign team ya mzee wa mamvi, ili kuwapa 'matumbo ya kuharisha' wale wote waliotangaza nia ya kugombea upresidaa mwakani, kwa tiketi ya magamba.
 
Tanzania ni nchi ambayo hata ukichukua ZUZU,BOGA au JIWE Ukalipia BONGE LA KAMPENI UONGO,RUSHWA JUU LINAKUWA RAIS.NO NEW

Watanzania wengi ni washabiki,leo hii lowasa kawa kipenzi chao,inamaana hata bado . Hajachaguliwa tayari watu wanaanza kujichekesha,hapo ndio wanapofurahia wanasiasa kwa maana mtu anaye mshabikia mwanasiasa hata kabla hajapitishwa na chama chake huwezi kufuatilia sera zake na ahadi zake na kuhoji inapobid kwa sababu tayari moyoni mwako umeshampitisha hata kabla hajakuomba kura,ni sumu kubwa sana kumpa uhakika wa kura yako mwanasiasa,lowasa wa richmond leo watu wanatumia muda wao kumpamba na wala akili zao haziulizi na wala kuhoji ilikuwaje richmond? Wengine watasema ile ilikuwa ni issue ya ccm yote!! Sasa yeye anataka kuwa dereva kwenye gari lilelile lililomwangusha?richmondi ilikuwa ni mpango wa ccm yote kwa hiyo itakapo bidi pesa itafutwe kwa style ile ya richmond na epa kwa ajiri ya chama sidhani kama kutakuwa na resistance kutoka kwa kiongozi yeyote kwani hapo ndio kunapatikana pesa za kofia,tshart,khanga n.k!!
 
Kikwete ni mnafiki tu. Siku zote mlikuwa hamjamjua?
Huyu jamaa haaminiki wala hafananii rais kabisa!
 
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
attachment.php

Naangalia "posture" ya waliomo kwenye picha. Inajieleza kwa aliye kikakamavu na tofauti na hiyo. Slouched and a bit of belly protrusion oddly as if struggling to acknowledge the salute! Kuna mtu kati yao who has weakened considerably. It is not an age issue but that of a malady of sorts! Too bad
 
Mbona inaonekana mstari wa Mbele mkuu wa majeshi kufuatiwa na Raisi, halafu Raisi wa Znz , Halafu Mke wa Raisi , nyuma Yao Ndio anaonekana Lowassa na wengineo
Upo sahihi mkuu. Ila kwa kuwa 'jicho likipenda chongo huwa kengeza' mie niliona EL akiwa mstari wa pili tena hata profesa alipokuwa akiondoka alimuaga mzee Msekwa. Kupenda kubaya sana kwani 'uongo hugeuzwa kuwa ukweli' ndio hao wasemao uhuru wa Tanzania bara. Shame on them.
 
Aliye andikiwa kaandikiwa tu, kanywe sumu ya panya..

Or go & search JACOB ZUMA...then compare with EL..

Richmond UNAIJUA ww..!!? stop diffusing on public area....!!!

A great man, is KNOWN WHEN HE FALLS DOWN and REBOUNDS BACK TO A HIGHEST LEVEL....!!! Hapo ndio utajua tht is a man to be a LEADER...!!!

EL proved all tht beyond dought...!!!

2015 EL CCM...!!!! byee byeeee

Watanzania wengi ni washabiki,leo hii lowasa kawa kipenzi chao,inamaana hata bado . Hajachaguliwa tayari watu wanaanza kujichekesha,hapo ndio wanapofurahia wanasiasa kwa maana mtu anaye mshabikia mwanasiasa hata kabla hajapitishwa na chama chake huwezi kufuatilia sera zake na ahadi zake na kuhoji inapobid kwa sababu tayari moyoni mwako umeshampitisha hata kabla hajakuomba kura,ni sumu kubwa sana kumpa uhakika wa kura yako mwanasiasa,lowasa wa richmond leo watu wanatumia muda wao kumpamba na wala akili zao haziulizi na wala kuhoji ilikuwaje richmond? Wengine watasema ile ilikuwa ni issue ya ccm yote!! Sasa yeye anataka kuwa dereva kwenye gari lilelile lililomwangusha?richmondi ilikuwa ni mpango wa ccm yote kwa hiyo itakapo bidi pesa itafutwe kwa style ile ya richmond na epa kwa ajiri ya chama sidhani kama kutakuwa na resistance kutoka kwa kiongozi yeyote kwani hapo ndio kunapatikana pesa za kofia,tshart,khanga n.k!!
 
Wivu ni kidonda na mtaumia sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama imepangwa na mungu wenye majungu hamwoni ndani.
 
Back
Top Bottom