Kikwete na Lowassa kunani tena?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,925
2,000
Hivi hiyo picha ni ya leo leo pale uwanja wa Taifa?

Nauliza hivyo, kwa kuwa taarifa zilizokuwa zimesambazwa mitandaoni, tuliambiwa EL, yupo Ujerumani ambako alikuwa amelazwa hospitalini, akiwa katika 'coma' baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa.

Kwa hiyo wenye taarifa 'deeper' (msamiati wa Sefue) tunaomba mtujuze.
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,925
2,000
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
Kwa picha hiyo jinsi inavyoonekana, inaonekana mzee wa mamvi na JK watakuwa 'wamecompromise' ili ampigie debe ili apeperushe tiketi ya CCM kwa nafasi ya Urais mwakani.

Hilo likitimia watanzania tutakuwa tunakumbushwa kauli iliyowahi kutolewa na EL wakati ule wa sakata ya Richmond, pale aliposema kuwa yeye na JK hawajakutana barabarani!

JK naye akamjibu mzee wa mamvi kuwa asiwe na wasiwasi kwani historia itamtendea haki na ipo siku yeye EL atakuwa 'huru' kutokana na skandali hiyo ya Richmond!
 
BG Seme

JF-Expert Member
Oct 29, 2014
360
250
team wama mtalia tu,mzuri ni mzuri tu hatakama amepakwa matope,wanaojua kupenda wata mwogesha na kumtoa matope aliyopakwa na wabaya wake.
 
Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,574
2,000
Ni protocol ipi iliyoandaa kiti pembeni ya Raisi akae pembeni na Lowassa? - Kumbuka ule usemi wa Lowassa MIMI NA KIKWETE HATUJAKUTANA BARABARANI!

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,925
2,000
Tushije kushangaa pia JK akatufanyia surprise ya mwaka, pale atakapomteua mzee wa mamvi kuwa PM mpya, akimreplace mzee wa kutoa machozi!

Ukifuatilia kauli ya Sefue kuwa ripoti ya maazimio ya bunge wameipokea Ikulu, hata hivyo vyombo vya uchunguzi vinaendelea kuchunguza 'deeper'9ili ikibidi kuwaclear baadhi ya watuhumiwa na kuwatumbukiza ndani ya hiyo skandali, wengineo ambao hawakuguswa na maazimio yale manane ya bunge!

Siku 7 zijazo zinaweza kuleta kishindo kikubwa sana cha kisiasa hapa nchini!
 
Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,574
2,000
Tushije kushangaa pia JK akatufanyia surprise ya mwaka, pale atakapomteua mzee wa mamvi kuwa PM mpya, akimreplace mzee wa kutoa machozi!

Ukifuatilia kauli ya Sefue kuwa ripoti ya maazimio ya bunge wameipokea Ikulu, hata hivyo vyombo vya uchunguzi vinaendelea kuchunguza, ili ikibidi kuwaclear baadhi ya watuhumiwa na kuwatumbukiza ndani ya hiyo skandali, wengineo ambao hawakuguswa na maazimio yale manane ya bunge!

Siku 7 zijazo zinaweza kuleta kishindo kikubwa sana cha kisiasa hapa nchini!
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua kwenye utawala wa Kikwete - Hata FaizaFoxy anaweza kuteuliwa kua balozi wa Tanzania nyumba 10/10 nchini China!
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
10,581
2,000
lets it be! hii picha ni ya kweli nani ya leo/ ni sign nzuri kupindukia na "in~short" E.N LOWASSA FOR PRESIDENT 2015 THANK YOU JESUS
 
Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
13,925
2,000
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua kwenye utawala wa Kikwete - Hata FaizaFoxy anaweza kuteuliwa kua balozi wa Tanzania nyumba 10/10 nchini China!
Teheeeeteheeee...... Mkuu hapo umeua...

Yaani nafasi pekee ambayo wewe umeona inamfaa black widow ni ujumbe wa nyumba 10 za magamba?!
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,831
2,000
Naona alimpanga akae nae kumjulia hali baada ya kusikia nae kafanyiwa upasuaji.
 
bdo

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,771
2,000
Ni protocol ipi iliyoandaa kiti pembeni ya Raisi akae pembeni na Lowassa? - Kumbuka ule usemi wa Lowassa MIMI NA KIKWETE HATUJAKUTANA BARABARANI!

Kwa picha hiyo jinsi inavyoonekana, inaonekana mzee wa mamvi na JK watakuwa 'wamecompromise' ili ampigie debe ili apeperushe tiketi ya CCM kwa nafasi ya Urais mwakani.

Hilo likitimia watanzania tutakuwa tunakumbushwa kauli iliyowahi kutolewa na EL wakati ule wa sakata ya Richmond, pale aliposema kuwa yeye na JK hawajakutana barabarani!

JK naye akamjibu mzee wa mamvi kuwa asiwe na wasiwasi kwani historia itamtendea haki na ipo siku yeye EL atakuwa 'huru' kutokana na skandali hiyo ya Richmond!
Hivi hiyo picha ni ya leo leo pale uwanja wa Taifa?

Nauliza hivyo, kwa kuwa taarifa zilizokuwa zimesambazwa mitandaoni, tuliambiwa EL, yupo Ujerumani ambako alikuwa amelazwa hospitalini, akiwa katika 'coma' baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa.

Kwa hiyo wenye taarifa 'deeper' (msamiati wa Sefue) tunaomba mtujuze.
Nilikaa jukwaa kuu leo sherehe inaanza hadi mwisho,hakuna eneo ambalo JK na EL waliweza kusimama karibu hivyo Zaidi ya salamu tu - tena JK alitaka kumpita EL bila kumpa Mkono isipokuwa alifanya kulazimishwa, anyway angalieni hiyo Picha yenu vizuri mbona EL hana miguu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom