Kikwete na Lowassa kunani tena?

Kikwete na Lowassa kunani tena?

Nimecheka kuna thread imeletwa kwaajili ya hiyo picha nikashangaa Lowassa anaweza vipi kukaa safu ya mbelee na kuwaaacha akina Pinda,Makinda na.......
Walitaka kujifurahisha Mkuu. Upuuzi huu umeanzia Michuzi Blog ndiko walikochakachua ndo ukaenea humu
 
Ni haramu mkuu kwani hastahili. Yeye alilazimishwa ajiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi. Sasa atakaaje karibu na Rais wetu? Yeye ataishia kumchungulia tu kwa mbali
Hhahahaha Mkuu salama lakini?......Naona saizi mumempa mafunzo huyu kibaraka wenu Nyangeta Marwa baada ya chambruma na Hot lady stori za Apson kuwaishia.....
 
Hhahahaha Mkuu salama lakini?......Naona saizi mumempa mafunzo huyu kibaraka wenu Nyangeta Marwa baada ya chambruma na Hot lady stori za Apson kuwaishia.....
Hahahahahaaaaaaaa! Mkuu, hao akina Chabruma na Hot Lady waache wapumzike maana wamefanya kazi kubwa sana. Vipi lakini mzee wa mamvi kapona Kongosho? Au kajivuta tu ili aonekane kuwa yupo fit.
 
Angalieni tai walizovaa, hiyo ilikuwa presidential code! Hahahahaha! Wengine walivaa blue tie! Kwi kwi kwi! Lowassa anakuwa rais asubuhi sana!
 
picha tu inawauma hivi mbona bado sana jamani badala ulete hoja kama Sukari kama Bomba la gesi Guzo za Umeme watanzania wanatakujua hatma wezi wa Escrow si picha za Lowasa
Mkuu, kwa jinsi ilivyochukuliwa ile picha hakika ilikaa vibaya sana
 
Angalieni tai walizovaa, hiyo ilikuwa presidential code! Hahahahaha! Wengine walivaa blue tie! Kwi kwi kwi! Lowassa anakuwa rais asubuhi sana!
Hahahahahaaaaaaaaaa! Labda awaongoze nyie vibaraka wake
 
umetumwa na uzalendo au ni ufuasi wako kwa lowasa ?
Ni uzalendo Mkuu.... Inauma sana walimu wenye kipato cha chini kuchangishwa fedha za maabara, inauma sana zahanati kote nchini kukosa madawa, inauma sana wakandarasi wako site na hawajalipwa, inauma sana watumishi kudai mishahara zaidi ya miezi miwili sasa, inauma sana wabunge wametoka bungeni hawakulipwa posho za wiki mbili, inauma sana wanafunzi zaidi ya 7800 wamekosa mikopo then Mheshimiwa Pinda kavuta zaidi ya Billion 5...........Mke wake billion 2.....Na yule mke wa mtumishi wa Ikulu pale naye kafuta kitu......Hizo fedha zingeweza kuwalipia wanafunzi 7342 kwa miaka mitatu mfululizo
 
Ukimwangalia JK na EL ,JK Bado anadai saana, pamoja na operesheni ya tezi dme lakini anaonekana yuko fit huyo Huyo Rais wenu wa karne ijayo hata mkimpamba kwa marashi kajichokea zake.
 
Baada ya kuchakachua picha za mazoezi, sasa wamechakachua picha ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru, Duuuh. .....Urais huu utawaua
attachment.php


Ukweli ni kwamba jukwaa hili sasa linapoteza muelekeo. Jana Lowasa alikuwa uwanjani,na alikaa nyuma ya Mwamunyange......hiyo picha uliyoiita feki ndio orijino sasa. Lakini pia,tuache ushabiki wa kitoto,hivi nani kasema Rais atachaguliwa kwakukimbia au kusimama karibu na rais anayemaliza muda wake?,au kuishi karibu na Ikulu?.

Rais atachaguliwa kwa wasifu wake,sera zake yeye na chama chake,uwezo wake nk. Na rais safi hatatoka nje ya TANZANIA,regardless ni wa UKAWA/CCM.
 
Mie niliangalia A-Z na kwa waliotizama watakuwa mashahidi hawa jamaa ni paka na panya kwa sahivi kila mmoja anamwangalia mwenzie kwenye kwapa na hata wakati wa rais kuondoka amewaaga kwa kuwashika mikono lakini hakushikana mkono na jamaa yake ..hii picha imepigwa toka pembeni lakini ukweli ni kwamba jamaa alikuwa mstari wa nyuma ya rais na alikaa nyuma ya jenerali
 
Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.
attachment.php

Ukimwangalia JK na EL ,JK Bado anadai saana, pamoja na operesheni ya tezi dume lakini anaonekana yuko fit huyo Huyo Rais wenu wa karne ijayo hata mkimpamba kwa marashi kajichokea zake.
 
Baada ya kuchakachua picha za mazoezi, sasa wamechakachua picha ya maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru, Duuuh. .....Urais huu utawaua
attachment.php

Lowassa yupo Ujerumani amelazwa, nyie mnaojaribu kudanganya umma ipo siku mtaumbuka....juzi wameleta picha eti Lowassa kamtembelea askofu ktk hosp ya TMJ kumbe picha yenyewe ilipigwa mwaka uliopita.
 
Hahahahahaaaaaaaa! Mkuu, hao akina Chabruma na Hot Lady waache wapumzike maana wamefanya kazi kubwa sana. Vipi lakini mzee wa mamvi kapona Kongosho? Au kajivuta tu ili aonekane kuwa yupo fit.
Yuko salama kabisa......Pinda vipi alipata suti ya kumtosha kwa Sheria Ngowi?
 
Back
Top Bottom