Kikwete na Lowassa kunani tena?

Kikwete na Lowassa kunani tena?

Ni protocol ipi iliyoandaa kiti pembeni ya Raisi akae pembeni na Lowassa? - Kumbuka ule usemi wa Lowassa MIMI NA KIKWETE HATUJAKUTANA BARABARANI!
U
IMG_7973.jpg

Hakuwa pembeni,alikuwa nyuma....its good though
 
Poa makonda atajificha wapi?

Kikwete kwa macho yangu nilishihudia wakati anaingia uwanjani akimruka Lowassa katika kuwapa mikono ya salamu...after few seconds ndo akamrudia kumpa mkono...kuna kitu nyuma ya Pazia
 
Mnaosema kuwa alikaa pale kama wazir mkuu mstaafu nakubaliana na nyie, lakini alikuwa na kitu cha ziada, mawazir wakuu walivaa blue tie, rais ajaye aka match na marais wenzake! Hiyo inaitwa dressing code!
 
Membe jana hakuhudhuria sherehe za uhuru kisa perdiem.......Kweli Nyerere angekuwepo humu jamaa leo leo angefutwa kazi, nakumbuka Sir George Kahama alirudisha fasta fasta kutoka ziarani ili tu aje kuhudhuria sherehe za uhuru. Ni uhuni mkubwa na aibu kubwa sana kwa viongozi kukwepa hizi sherehe, Huyu Membe yuko Kenya alishindwa nini kuja Dar?
 
Lowasa yupo mstari wa nyuma wa Kikwete hakukaa pembeni ya kikwete hebu angalieni vizuri amekaaa na mawaziri wakuu wa wastaafu wengine

IMG_7973.jpg
[/QUOTE]
wengi hawajaliona hili, ni kweli kuwa Lowasa amekaa line ya pili, nyuma ya mkuu wa majeshi, hata ukiangalia image focusing, image ya lowasa haipo perpendicular na image ya mkuu wa majeshi na kikwete.
 
Nilikaa jukwaa kuu leo sherehe inaanza hadi mwisho,hakuna eneo ambalo JK na EL waliweza kusimama karibu hivyo Zaidi ya salamu tu - tena JK alitaka kumpita EL bila kumpa Mkono isipokuwa alifanya kulazimishwa, anyway angalieni hiyo Picha yenu vizuri mbona EL hana miguu?

WanaJF hiyo ni editing iliyofanywa na wapambe wa EL uliona wapi wawe karibu hivyo na Mwamunyage? Mkuu wa Majeshi??? halafu wagusana kama kwenye daladala??? Hauna protocol yanamna hiyo duniani. WAPAMBE MTAKULA MAVI YEN!!!
 
Nilikaa jukwaa kuu leo sherehe inaanza hadi mwisho,hakuna eneo ambalo JK na EL waliweza kusimama karibu hivyo Zaidi ya salamu tu - tena JK alitaka kumpita EL bila kumpa Mkono isipokuwa alifanya kulazimishwa, anyway angalieni hiyo Picha yenu vizuri mbona EL hana miguu?

EL alikuwepo? Kwenye hii picha mbona EL hayupo!
Cc: Pasco, China One , Mystery & Ndallo
 

Attachments

  • 1418194113400.jpg
    1418194113400.jpg
    49 KB · Views: 146
  • Thanks
Reactions: bdo
Hapa naona Kikwete keshajihakikishia ulinzi wa mali zake akitoka madarakani
 
Popote pale anakoweza kuwa alikaa, bado swali letu ni kwa wale waliotueleza kuwa Edo yuko Ujeruman anafanyiwa upasuaj, waje sasa watujuze kama aliahirsha ili aje kushirik sherehe za uhuru ama ni nn kilitokea hadi jana aonekane na afya njema kiasi hicho! Miujiza aiishi Tanzania!
 
Ni protocol ipi iliyoandaa kiti pembeni ya Raisi akae pembeni na Lowassa? - Kumbuka ule usemi wa Lowassa MIMI NA KIKWETE HATUJAKUTANA BARABARANI!

IMG_7973.jpg
Protocol walichemsha kama ni PM wapi alikokuwa mtoto wa mkulima au VP?
 
ni kweli niliangalia wakati wanasalimiana Jk alitaka kumpita EL na EL alikaaa nyuma na Mh.Piuse Msekwa
 
...Lowasa atakuwa Rais utabiri wa nabii TB JOSHUA utimie

Tb Joshua hajawahi kuongea kitu km hicho....uzushi tu.
Google hapo El alivyokuwa huko utaona.

Km atakuwa rais itakuwa ni muda wake tu umefika bt sio tb joshua kaongea
 
Back
Top Bottom