Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.
Ni kweli mheshimiwa hakupaswa kusema hayo maneno, kwa kiasi alimuharibia kipenzi wetu Magufuli. Kwa sasa mimi niko busy nasoma Biblia agano la zamani Daniel 5 :25 hadi 28.
 
Haitasaidia kitu ,kusema mmiliki saa hivi alishaulizwa siku nyingi aseme akasema hamjui leo ndio anamfahamu? na ni hatua gani alimchukulia?asitupoteze kwe malengo yetu ya mabadiliko.aende zake na porojo zake.
 
jana kwenye mkutano wa kufunga kampeni za ccm jijini mwanza
kikwete akiwa kama rais wa jamhuri

ametoa maneno ambayo hayana busara kabisa na kama angejua mapema ni bora angekaa kimya
huu si wakati wa kuzungumzia richmond
anasema yeye ausiki sasa kama yeye si mhuska kwa nini mwakyembe alificha mengine ili serikali isianguke?
na pia anaposema yule mwingine ni mgonjwa mbona huyo mgonjwa kamaliza kampeni salama.ikumbukwe kikwete ndie aliongoza kuanguka kwenye majukwaa ya kampeni na watu walimpa kura.
hii sio busara kwa kiongozi wa taifa kuongea mambo yasiyo ya msingi

anapoongelea richmond kwa sasa hata sisi wananchi anatupa mashaka
swali la kujiuliza kwa nini akae kimya muda huo?
hivi ni sahihi kuona taifa linaibiwa na kiongozi wa nchi anakaa kimyaa
hii sio sawa kabisa.

hatukuwa na rais ktk miaka kumi iliyopita,huyu mkwere mshamba na mpumbavu akili zake zilijaa madafu,bora angekufa alivyoanguka
 
Atwambie na zile fedha za ESCROW zilizobebwa kwenye vilibota zilikuwa za nani tumuamini,vinginevyo ni majungu Rais gani ana majungu hivyo?
 
Sasa kama amekuhuzunisha, ulitaka sisi tukufanye nini? tukubebe au?

jana kwenye mkutano wa kufunga kampeni za ccm jijini mwanza
kikwete akiwa kama rais wa jamhuri

ametoa maneno ambayo hayana busara kabisa na kama angejua mapema ni bora angekaa kimya
huu si wakati wa kuzungumzia richmond
anasema yeye ausiki sasa kama yeye si mhuska kwa nini mwakyembe alificha mengine ili serikali isianguke?
na pia anaposema yule mwingine ni mgonjwa mbona huyo mgonjwa kamaliza kampeni salama.ikumbukwe kikwete ndie aliongoza kuanguka kwenye majukwaa ya kampeni na watu walimpa kura.
hii sio busara kwa kiongozi wa taifa kuongea mambo yasiyo ya msingi

anapoongelea richmond kwa sasa hata sisi wananchi anatupa mashaka
swali la kujiuliza kwa nini akae kimya muda huo?
hivi ni sahihi kuona taifa linaibiwa na kiongozi wa nchi anakaa kimyaa
hii sio sawa kabisa.

sIJUI WAPI TUKOSEA WATANZANIA??? ILA SI MBAYA TULIKOSEA 2005...2010, MWAKA HUU,LEO, TUNASAHIHISHA MAKOSA YETU!!!! MABADILIKO HAYAKWEPEKI!!
 
JK kijiba cha mwiba kimemkaba..eti walipitia afya za wagombea wakaona wengine hawafai,..lol nyani jike haoni mashimo yake...lowassa wakimbize
 
Hilo lilikuwa pigo la mwisho kwa lowassa. Siku zote ukiwa unapambana na adui yako lazima uwe na pigo la kummaliza. Alichoongea Kikwete jana, lilikuwa pigo la mwisho kwa fisadi papa. CCM wamejipanga kwelikweli. Hongera sana JK kwa kutolea ufafanuzi swala hilo.#HapaKaziTu

mbuzi kweli ww
 
Nimejiuliza sana kuhusu kauli ya kikwete kuhusu Richmond eti muhusika ni LOWASSA, sasa nini mana ya amiri Jeshi alivyokuwa anajinadi. Au na yeye alikuwa analalamika kama sisi wananchi tunavyolalamika kumtafuta mmiliki wa Richmond, au si aagize mamlaka zinazohusika zimkamate lowasa maana yeye ni amiri Jeshi mkuu
 
Katika pitapita yangu nimekutana na video ya kampeni katika uchaguzi wa mwaka juzi (2015) ambapo aliyekuwa akimaliza muda wake ndugu JK alisema pasipo kumung'unya maneno kwamba mwenye richmond si mwengine ila ni Bwana Lowassa.

Yawezekana kwa wakati ule tulikuwa na mihemuko ya vyama na joto la uchaguzi na kupelekea kwa namna moja ama nyingine watu kutopata wasaa wa kusikia hilo (Binafsi sikupata kusikia hotuba hii hapo kabla). Lakini leo tunaweza jadiliana kwa kina juu ya hili jambo.

Inakuwaje kitengo cha kampeni cha wakati huo cha CHADEMA hawakupata kujibu tuhuma hizo jukwaani kama ambavyo bwana JK alizitoa Jukwaani.? Kwa maana wengi walikuwa wanasuburi ama walidhani Lowassa angejibu ama kutoa maelezo iwapo tuu angeanza kushambuliwa.

CHADEMA wasitake kutuambia kwamba hawakusikia hizo tuhuma, kwani katika ushindani wa wakati ule naamini kabisa ni lazima kulikuwa na mtu/watu mahususi kwa ajili ya kufuatilia yanayofanywa na wapinzani wao (CCM) na isitoshe tuhuma zilitolewa public katika utambulisho wa kumnadi JPM,

Kwa hiyo naamini kabisa viongozi wa juu wa CHADEMA pamoja na Lowassa mwenyewe walisikia kupitia vyombo vya habari. Na pia wasije na hoja kwamba Bw. Lowassa alikuwa akilinda kiapo cha kutotoa siri alichokula wakati akiwa katika baraza la mawaziri, kwani kama ni kulinda kiapo hicho JK angekuwa wa kwanza na wala asingeanza kuyatamka hayo mambo ya Richmond katika jukwaa la kisiasa.

Tena JK hakuishia kutamka tuu, bali alitamka kwa lengo la kuvunja nguvu ya upinzani uliokuwa mbele yao na kujivunia wafuasi toka upande wa pili pamoja na kujipa nguvu upande wao.

Pia CHADEMA msije na majibu ya kuwa kama EL ni mtuhumiwa wa Richmond, basi apelekwe mahakamani ama ashitakiwe. Hii itakuwa si utetezi yakinifu, kwani yawezekana upande wa pili hawaoni sababu ya kumpeleka mahakamani either wanaona kwa kumpeleka mahakamani wataibua madudu yao yaliyojificha ama wameona kwa kumpeleka mahakamani watampa nguvu ya kisisa ama vyovyote vile.

Najua wengi mtakuja kwa kusema nimetumwa na CCM, Kwanza tuu niweke wazi kuwa mimi si mwanachama wa CCM wala CHADEMA (kwa maana sina kadi ya chama chochote kati ya hivyo). Ila tuu nimepata kuwa mkereketwa wa upinzani. So juu ya hili sijatumwa na mtu yeyote yule.

Nimeambatanisha video hiyo, Tuhuma hizo zimeanza kutolewa kuanzia dakika ya 5:10 na kuendelea.

Yeye wala ukawa wake hawajawahi kumjibu jk kwa hoja ktk hilo.
Lakini wafuasi bado hawaambiliki wamejizuia kufikiri
 
katika pitapita yangu nimekutana na video ya kampeni katika uchaguzi wa mwaka juzi (2015) ambapo aliyekuwa akimaliza muda wake ndugu JK alisema pasipo kumung'unya maneno kwamba mwenye richmond si mwengine ila ni Bwana Lowassa. Yawezekana kwa wakati ule tulikuwa na mihemuko ya vyama na joto la uchaguzi na kupelekea kwa namna moja ama nyingine watu kutopata wasaa wa kusikia hilo (Binafsi sikupata kusikia hotuba hii hapo kabla). Lakini leo tunaweza jadiliana kwa kina juu ya hili jambo. Inakuwaje kitengo cha kampeni cha wakati huo cha CHADEMA hawakupata kujibu tuhuma hizo jukwaani kama ambavyo bwana JK alizitoa Jukwaani.? Kwa maana wengi walikuwa wanasuburi ama walidhani Lowassa angejibu ama kutoa maelezo iwapo tuu angeanza kushambuliwa.

CHADEMA wasitake kutuambia kwamba hawakusikia hizo tuhuma, kwani katika ushindani wa wakati ule naamini kabisa ni lazima kulikuwa na mtu/watu mahususi kwa ajili ya kufuatilia yanayofanywa na wapinzani wao (CCM) na isitoshe tuhuma zilitolewa public katika utambulisho wa kumnadi JPM, kwa hiyo naamini kabisa viongozi wa juu wa CHADEMA pamoja na Lowassa mwenyewe walisikia kupitia vyombo vya habari. Na pia wasije na hoja kwamba Bw. Lowassa alikuwa akilinda kiapo cha kutotoa siri alichokula wakati akiwa katika baraza la mawaziri, kwani kama ni kulinda kiapo hicho JK angekuwa wa kwanza na wala asingeanza kuyatamka hayo mambo ya Richmond katika jukwaa la kisiasa. Tena JK hakuishia kutamka tuu, bali alitamka kwa lengo la kuvunja nguvu ya upinzani uliokuwa mbele yao na kujivunia wafuasi toka upande wa pili pamoja na kujipa nguvu upande wao.

Pia CHADEMA msije na majibu ya kuwa kama EL ni mtuhumiwa wa Richmond, basi apelekwe mahakamani ama ashitakiwe. Hii itakuwa si utetezi yakinifu, kwani yawezekana upande wa pili hawaoni sababu ya kumpeleka mahakamani either wanaona kwa kumpeleka mahakamani wataibua madudu yao yaliyojificha ama wameona kwa kumpeleka mahakamani watampa nguvu ya kisisa ama vyovyote vile.

Najua wengi mtakuja kwa kusema nimetumwa na CCM, Kwanza tuu niweke wazi kuwa mimi si mwanachama wa CCM wala CHADEMA (kwa maana sina kadi ya chama chochote kati ya hivyo). Ila tuu nimepata kuwa mkereketwa wa upinzani. So juu ya hili sijatumwa na mtu yeyote yule.

Nimeambatanisha video hiyo, Tuhuma hizo zimeanza kutolewa kuanzia dakika ya 5:10 na kuendelea.

Kabla sijasoma uzi wote ila kikwete mjanja sana ameongelea tuhuma hii siku ya mwisho kabisa ya kampeni ambapo alijua Ukawa hawatapata nafasi ya kulijibu hili maana keeho yake ndio uchaguzi so kma unahisi alikuwa na hoja nzito zenye ushahidi wa yeye kikwete kutohusika basi ni kwanni asiliseme hili mapema kwenye kampeni ili kina tundu lisu walitolee ufafanuzi kabla ya kampeni kufungwa???

Anyway ngoja nisome yote nichangie
 
Yeye wala ukawa wake hawajawahi kumjibu jk kwa hoja ktk hilo.
Lakini wafuasi bado hawaambiliki wamejizuia kufikiri

mkuu nashangaa sana hili swala. Iweje tuhuma kama hiyo hawakutumia nafasi yao kuijibu. Naamini kabisa kuwa angijibu na kama yeye si muhusika, ingekuwa ndo mwanzo wa kusambaratika serikali iliyopita. Na hivyo angeweza ingia ikulu kiulainiii. Lakini kuendelea kukaa kimya kunazidisha mashaka juu yake.
 
Naamini tumeshapigwa sana tu let's say enough is enough.never too late tuanze upya jamani mark time zimetuchosha zimetuumiza zimeua watu wetu na mengi mabaya. Tunataka maendeleo tuanze sasa kuwa raia wanaowajibika ili tupate viongozi wanaowajibika. Kwa namna moja au nyingine hatuko hapa kwa bahati mbaya tumeshiriki kwa kujua au kutokujua kujifikisha katika hali hii..titafunga wangapi? Tubadilike.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom