Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.
Ukiambiwa jambo la kipuuzi hakuna reputation nzuri kama kukaa kimya ili kutojishusha kulingana na aliye ku undermine!
 
Kabla sijasoma uzi wote ila kikwete mjanja sana ameongelea tuhuma hii siku ya mwisho kabisa ya kampeni ambapo alijua Ukawa hawatapata nafasi ya kulijibu hili maana keeho yake ndio uchaguzi so kma unahisi alikuwa na hoja nzito zenye ushahidi wa yeye kikwete kutohusika basi ni kwanni asiliseme hili mapema kwenye kampeni ili kina tundu lisu walitolee ufafanuzi kabla ya kampeni kufungwa???

Anyway ngoja nisome yote nichangie

Duh kwa hiyo unataka kusema EL alizidiwa kete na JK.?

Lakini sitaki kuamini hili, Kwani nakumbuka EL siku ya mwisho aliendesha kipindi cha kusumarize yote yaliyokuwamo katika kampeni yake. Na kipindi hiki kilikuwa usiku, huku JK alirusha tuhuma hizo mchana, so bado naamini kabisa angeweza kujibu hilo katika kipindi hicho kilichorushwa live na ITV.
 
Mada ya hovyo imekaa ki buku7 buku 7 mbona kuna mahakama zote na imeongezwa mahakama ya mafisadi wametwambia hakuna watuhumiwa?.haya wamekuona unahusika na buku7 na bando
 
Ukiambiwa jambo la kipuuzi hakuna reputation nzuri kama kukaa kimya ili kutojishusha kulingana na aliye ku undermine!

Mkuu siyo katika hili, Hili swala lilikuwa ni game changer kabisa. Yaani kama ni katika soka tungeita super sub. Kwa maana kujibu kwake kungemuongezea chance ya yeye kuingia ikulu kwa kiwango kikubwa. Na yeye alikuwa anataka kuingia ikulu. Inakuwaje mtu unataka kwenda mbinguni na huku unaogopa kufa hapa duniani.? Huko mbinguni utaendaje.?
 
Mada ya hovyo imekaa ki buku7 buku 7 mbona kuna mahakama zote na imeongezwa mahakama ya mafisadi wametwambia hakuna watuhumiwa?.haya wamekuona unahusika na buku7 na bando

hahahaaa, Mkuu umejibu kiwepesi sana hii hoja.? iwe buku 20 ama buku 1000 haijalishi. Hoja hapa ni kuwa, kwa nini EL hakutumia chance hiyo ambayo ingeweza kumpeleka ikulu kwa ustadi na umaridadi na badala yake akamuachia mpinzani wake aitumie kwa kujinafasi.? Ama ndo kusema EL hakuwa akitamani kwenda ikulu ila alikuwa amekuja kuondoa ushiriki wa Slaa katika uchaguzi wa 2015.?
 
Mkuu siyo katika hili, Hili swala lilikuwa ni game changer kabisa. Yaani kama ni katika soka tungeita super sub. Kwa maana kujibu kwake kungemuongezea chance ya yeye kuingia ikulu kwa kiwango kikubwa. Na yeye alikuwa anataka kuingia ikulu. Inakuwaje mtu unataka kwenda mbinguni na huku unaogopa kufa hapa duniani.? Huko mbinguni utaendaje.?

Toa Pendekezo akamatwe na kufungwa mara moja maana hakuna hata haja ya kumpeleka mahakamani..inaweza kuwasaidia!
 
Duh kwa hiyo unataka kusema EL alizidiwa kete na JK.?

Lakini sitaki kuamini hili, Kwani nakumbuka EL siku ya mwisho aliendesha kipindi cha kusumarize yote yaliyokuwamo katika kampeni yake. Na kipindi hiki kilikuwa usiku, huku JK alirusha tuhuma hizo mchana, so bado naamini kabisa angeweza kujibu hilo katika kipindi hicho kilichorushwa live na ITV.
Sasa mkuu kwa akili zako wwe toka kikwete anadai lowassa alianzisha kamati ina maana kikwete hakujua uwepo wa kamati na kuwa imekiuka sheria za manunuzi??? Na kma kikwete alijua sasa ilikuwaje alikaa kimya hadi issue ilipokuja kubumbulika kwanni asitumbue kabisa ila anamruka baada ya issue kuvuja eti "bwana mkubwa hapa ilipofikia ni bora ujiuzuru tu"
Nyie kama mnaona kikwete hahusiki mfungulieni kesi lowassa ndio tutayajua yote huko mahakamani ila huwezi sema lowasa kahusika afu rais ukamuacha never its impossible ni kma escrow huwezi sema pesa zilvyogawiwa kikwete alikuwa hajui eti ndio kumtimua muhongo baada ya issue kuvuja??? Msitufanye watoto wadogo bhana
 
hahahaaa, Mkuu umejibu kiwepesi sana hii hoja.? iwe buku 20 ama buku 1000 haijalishi. Hoja hapa ni kuwa, kwa nini EL hakutumia chance hiyo ambayo ingeweza kumpeleka ikulu kwa ustadi na umaridadi na badala yake akamuachia mpinzani wake aitumie kwa kujinafasi.? Ama ndo kusema EL hakuwa akitamani kwenda ikulu ila alikuwa amekuja kuondoa ushiriki wa Slaa katika uchaguzi wa 2015.?
Mkuu hilo Jk alilisema siku ya kufunga kampeni yani alilisema jioni kesho yake uchaguzi Lowasa na Ukawa wasingeweza kupata muda wa kumjibu.ila pambana pia ile nafasi ya Ukuu wa Wilaya ya Uyui inatafuta mtu
 
Mkuu hilo swala sina uwezo nalo.
Kumtuhumu mtu kwa jambo usilokuwa na hakika nalo hutambui ni kosa kisheria? Ama kwa kuwa unayemtuhumu na kumvunjia heshima si wa upande unaoushabikia? kwani hakuna namna nyingine ya kistaarabu kuonesha mahaba kwa chama unachokipenda?
 
Kelele za chura????? Kwa nn msiende mahakamani? Bureeee kabisa.
 
Kumtuhumu mtu kwa jambo usilokuwa na hakika nalo hutambui ni kosa kisheria? Ama kwa kuwa unayemtuhumu na kumvunjia heshima si wa upande unaoushabikia? kwani hakuna namna nyingine ya kistaarabu kuonesha mahaba kwa chama unachokipenda?

Boss, Ni wapi mimi nimemtuhumu.? umeangalia hiyo video niliyoambatanisha.? Nilichokifanya ni kufanya reference ya aliyekuwa boss wake wakati sakata hilo likitokea. Tuhuma zangu zi wapi.? Isitoshe nimeleta hoja kwa njia ya swali ikimaanisha hata mimi pia nauliza juu ya hili jambo.
 
Wakuu nawashangaa sana Lowaasa halisha malizia inshu iyo tena akasema ivi mwenye ushaidi kua yy anausika basi haende mahakamani bila shaka serikali ya hawamu ya tano imefungua mahakama ya ufisadi sasa mbona hatujaona Lowaasa akipelekwa kwa doc tunakalia kubwabwaja kwenye mtandao aisaidii Lowaasa kutwa atiani

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Yeye wala ukawa wake hawajawahi kumjibu jk kwa hoja ktk hilo.
Lakini wafuasi bado hawaambiliki wamejizuia kufikiri
Hayo ya richmond alishaeleza lisu siku kibao na akasema mwenye richmond ni kikwete na alilisema akiwa kwenye moja ya mikutano ya kampeni.

Kikwete kauliza hili swali siku moja kabla ya uchaguzi sasa ukawa wangejibu wapi?? Kikwete kaliongelea kwenye mkutano wa hadhara sasa baada ya uchaguzi mikutano ya hadhara mkaifunga sasa ulitaka chadema wajibie wapi??

Haya mambo ya richmond yaana dead end na mwakyembe analijua hilo hta escrow hushangai kwanni waliochukuwa pesa stanbic hawatajwi?? Then mseme kikwete hahusiki au hajui waliochukuwa hela???

Mkuu madili yalikuwa mengi hata bandarini umeona alipokuja magufuli na kuyaweka wazi kwa watanzania.....unafkiri yangeibuliwa bungeni kikwete asingetumbua bandarini kule?? Si naye angedai sio YANGU ni ya hao wakuu wa bandari..........Ila kwa kuwa hayakuvuja yaliachwa tu maana kikwete ana mkono wake kule hta hayo ya richmond kma isingebumbulika unafkiri kikwete angemtumbua lowasa???

Madili mengi sana walifanya outside richmond kwahyo ndo maana anaishia kwenye majukwaa ya kisiasa tu ila siku mkimfungulia lowasa mashtaka naona ndio mengi yatawekwa wazi maana na yeye lowasa atamwaga mboga coz hatakuwa na lakupoteza tena.

Time will tell
 
Kikwete nimempa kura yangu awamu zite. Lakini siku aliyoongea huu ujinga nilimdiscredit vbaya sana. Kwanza hii ni aibu. Yani eti raisi wa nchi anakuja kwenye majukwaa ya kisiasa kumshitaki fisadi kwa wananchi. Yeye ndye alikuwa na mamlaka miaka yote kumchukulia hatua. Ila alikaa kimya. Kwenye uchaguzi walipoona amewashika pabya ndyo akaanza nyokonyoko.

Niliapa kutoipigia cccm kura kuanzia apo maana haina maana kama unachagua kiongozi kufanya majukumu yake yeye majukumu kama ya kuchukulia hatua mafisadi anayeleta kwa wananchi. Kama yeye alishindwa kumpeleka mahkaman sasa alikuja msemea kwetu ili tumfanye nini sasa.
 
Mkuu hilo Jk alilisema siku ya kufunga kampeni yani alilisema jioni kesho yake uchaguzi Lowasa na Ukawa wasingeweza kupata muda wa kumjibu.ila pambana pia ile nafasi ya Ukuu wa Wilaya ya Uyui inatafuta mtu

asingeweza kumjibu vipi wakati alinunua airtime ya lisaa lizima ITV.? Tena kipindi kilikuwa saa tatu za usiku na kama sikosei kilikuwa akihutubia live, Where was versatility of the so called Master Planner wa siasa za TZ.? Muda gani zaidi ya huu alikuwa anautaka.? Was this man (EL) serious enough kwa alichokuwa anakitaka(urais).?, Aliacha kwa makusudi.? Ama alikuwa anatupotezea muda tuu na hakuwa in need ya hiyo nafasi.?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom