Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
Richmond si alishawajibika lowasa,mnataka awajibike mara ngapi?,
na ile ilikuwa irregularity tu ya process za kukamata tenda na wala si ufisadi,
kosa la lowasa katika kipindi kile cha mgao mkali wa umeme ilikuwa kutaka kufasttrack process ili watu wapate umeme,
richmond sio ufisadi