Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

Status
Not open for further replies.
Ni kweli JK asidhani sisi ni wajinga. Tunakumbuka vizuri kile EL alichomwambia waziwazi kwenye kikao cha NEC ambapo alisema kwamba alitaka kuvunja mkataba lakini yeye akamkataza. Kauli hiyo haijawahi kupingwa na JK mwenyewe, salva Rweyemamu au mtu yeyote kutoka ikulu
 
Atuambie kwanini hajamchulia hatua, na kashfa nyingine nikina nani waliohusika,nakwanini hajawachulia hatua
 
jana kwenye mkutano wa kufunga kampeni za ccm jijini mwanza
kikwete akiwa kama rais wa jamhuri

ametoa maneno ambayo hayana busara kabisa na kama angejua mapema ni bora angekaa kimya
huu si wakati wa kuzungumzia richmond
anasema yeye ausiki sasa kama yeye si mhuska kwa nini mwakyembe alificha mengine ili serikali isianguke?
na pia anaposema yule mwingine ni mgonjwa mbona huyo mgonjwa kamaliza kampeni salama.ikumbukwe kikwete ndie aliongoza kuanguka kwenye majukwaa ya kampeni na watu walimpa kura.
hii sio busara kwa kiongozi wa taifa kuongea mambo yasiyo ya msingi

anapoongelea richmond kwa sasa hata sisi wananchi anatupa mashaka
swali la kujiuliza kwa nini akae kimya muda huo?
hivi ni sahihi kuona taifa linaibiwa na kiongozi wa nchi anakaa kimyaa
hii sio sawa kabisa.
 
Tulikuwa hatuna rais kwa miaka kumi mwaka huu lowasaa atawaonyesha president anatakiwa aweje #foolish government ccm out
 
jana kwenye mkutano wa kufunga kampeni za ccm jijini mwanza
kikwete akiwa kama rais wa jamhuri

ametoa maneno ambayo hayana busara kabisa na kama angejua mapema ni bora angekaa kimya
huu si wakati wa kuzungumzia richmond
anasema yeye ausiki sasa kama yeye si mhuska kwa nini mwakyembe alificha mengine ili serikali isianguke?
na pia anaposema yule mwingine ni mgonjwa mbona huyo mgonjwa kamaliza kampeni salama.ikumbukwe kikwete ndie aliongoza kuanguka kwenye majukwaa ya kampeni na watu walimpa kura.
hii sio busara kwa kiongozi wa taifa kuongea mambo yasiyo ya msingi

anapoongelea richmond kwa sasa hata sisi wananchi anatupa mashaka
swali la kujiuliza kwa nini akae kimya muda huo?
hivi ni sahihi kuona taifa linaibiwa na kiongozi wa nchi anakaa kimyaa
hii sio sawa kabisa.

Sasa kama amekuhuzunisha, ulitaka sisi tukufanye nini? tukubebe au?
 
baba mwanaasha huwa mropokaji tu kma nepiii......richmond n kampuni yke n samwel six hilo liko wazi ingekua sio kampuni yke angevunja huo mkataba mapema mana haukua n madhara yeyote cz kampuni ilikua y kitapeli hata ofisi haina.....hayo maneno akamweleze mkewe n watoto wake
 
Hilo lilikuwa pigo la mwisho kwa lowassa. Siku zote ukiwa unapambana na adui yako lazima uwe na pigo la kummaliza. Alichoongea Kikwete jana, lilikuwa pigo la mwisho kwa fisadi papa. CCM wamejipanga kwelikweli. Hongera sana JK kwa kutolea ufafanuzi swala hilo.#HapaKaziTu
 
EL alimtaarifu kuwa Richmond haifai lakini mkulu akaamrisha iendelee na hata EL alipojiuzuru Mkulu alimsafisha kwa kusema EL ni msafi mchapakazi isipokuwa kapatwa tu na ajali ya kisiasa. Leo anaongea vitu tofauti kabisa. Watanzania si wajinga kiasi hicho jamani, bora asingeongelea hili suala.
 
Tulijua atasema hivyo,but amechelewa tulishafanya maamuzi.

Leo ndo kajibu ili apate kuraa...!??atuambie kule monduli kauli yake ya ajali ya kisiasa alimanisha nn..dah watanzania tunaonekana kama hatuna akili walah

Anasema leo. Kwa nini asingesema kipindi kile. Na wenye kiwira na amben ni nani?? Msidanganyike na hivi habari. Kama rais alitakiwa kuongea miaka hiyo.

Kwa nini aseme leo lala salama, ambapo anajua EL hawezi kumjibu kwa lolote? Hatudanganyiki tumeishafanya maamuzi. VIVA UKAWA.

Hovyo sana huyu mwenyekiti wa chama cha kijani, mbona ENL alinyojiuzulu alimsifia sana..huyu jamaa mnafiki sana.

Kamata weka ndani la sivyo hizo ni porojo na kura yangu kwa lowasa.

Alikuwa wapi kusema hayo kabakiza siku moja ikulu ndiyo anasema atuachie nchi salama.

Anajua watanzania tulio wengi wapumbafu ndio maana anajaribu kutumia njia hii kuongea kabla watu hawajajua ukweli tayari uchaguzi umeisha. Msidanganyike. Kama unapenda ukawa piga kura ukawa kama unataka ccm then sikiliza

Ccm hakuna wenye uwezo tens ni kama kumebaki genge la Majungu tu

Too late Mr V dagama

Huu ni unafik siku zote alikuwa wapi?? Hivi wanadhani ss wajinga???

Kwahiyo inatuhusu nini??

Ampeleke mahakamani.

Hilo lilikuwa pigo la mwisho kwa lowassa. Siku zote ukiwa unapambana na adui yako lazima uwe na pigo la kummaliza. Alichoongea Kikwete jana, lilikuwa pigo la mwisho kwa fisadi papa. CCM wamejipanga kwelikweli. Hongera sana JK kwa kutolea ufafanuzi swala hilo.#HapaKaziTu
 
ikiwa raisi mwenye mamlaka ya nchii hii alishindwa hata kumpeleka mahakamani, iweje sisi raia wakawaida ndio tumchinje? kura yangu ni kwa lowasa tu.
 
Hilo lilikuwa pigo la mwisho kwa lowassa. Siku zote ukiwa unapambana na adui yako lazima uwe na pigo la kummaliza. Alichoongea Kikwete jana, lilikuwa pigo la mwisho kwa fisadi papa. CCM wamejipanga kwelikweli. Hongera sana JK kwa kutolea ufafanuzi swala hilo.#HapaKaziTu

Haisaidii tena
 
Akiongea leo Mwanza kwenye kufunga kampeni za ccm Mh.Jk amesema ni kweli alishiriki kwenye makubaliano ya kutafuta kampuni ya kufua umeme baada ya Mabwawa kukauka nchi, lakini hakushiriki kutafuta kampuni gani ilete umeme, hivyo hahusiki kwa namna yoyote kwa ujio wa Richmond.

Hivyo waziri Mkuu ndio mhusika mkuu wa Richmond!

Lazima na yeye ajitetee, tusitoe hukumu kwa kusikiliza upande mmoja, jk kuhusika 100pacent
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom