Kikwete, Je hawa ndiyo majangili?

Ni majangili iweje wakamatwe kama si majangili walikamatwajeee na ushahidi upo wazi hv jangili anajulikana usoni? usione pua kubwa ukadhani kamasi zinatoka debe

Siku wakiitwa wanadamu weye wala usijisumbue kwenda kwani weye ni mnyama kabisa. Unathubutu kuwa tetea hawa wauaji? Mbona wasituoneshe hayo meno ya tembo hapo? Wngekuwa wanarushwa kichura kuzunguka meno ya tembo au nyama za wanyama pori. Wangerushwa kichura wakizunguka bunduki moja au gobore.
ICC mko wapi??? We Mwanamke uliyechaguliwa kuwaleta hukumuni wauaji na watesaji uko wapi? We Bi Kijo Bisimba uko wapi? Au umesha nunuliwa kagari ka ufahari na Ki.na.na ukaufunga mdomo?
Watawala, mwatumaliza Watz lakini mwisho wa siku, mtaangamizana wenyewe. Serekali hii sio ya kungojea 2015. Let us stand up and say NO NO NO to any oppression.
Mh. saana Pinda, funika uso uondoke kuibomoa hii serekali katili hivi
 
Ahsante sana Mkuu kwa kuiweka hii kitu hapa jamvini. Nilikuwa naitafuta sana ili niiweke hapa, ubarikiwe sana Mkuu.


Tusipoitoa CCM madarakani kwa sanduku la kura kutokana na wizi wao basi itabidi tutafute njia nyingine huu ****** hakubaliki kamwe, niko tayari kuingia hata msituni kutetea wanyonge...
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli wasio na sauti wala uwezo wa kipato hudhulumiwa haki zao na mafedhuli kwa malengo yao
 
kwa hiyo kubaka na kuwaingizia chupa sehemu za siri ni njia za CCM ili wawa taje maboss wao na wakimtaja Kinana mna wauwa...pata picha angeingiziwa mama yako angeandika ulicho kiandika...
Ilipasa kuwa operation maalum ya kijeshi likiwemo jw baada ya njia ya kawaida kushindwa. Inaelekea wengi mmeingia mkenge wa majangili kwa jinsi walivyozuia zoezi la kuwadhibiti kwa kisingizio cha uvunjaji haki za binaadamu. Madai mengi ya haki za binaadam ni propaganda iliyofanikiwa kupitia wabunge kuhujumu zoezi la operation uhai.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa Kaya karudi leo. Tunamwomba aiangalie hiyo video iliyopelekwa bungeni, aamue mwenyewe tu. Ninacho uliza, ICC wako wapi? Huyo Mh. Jaji mwanamke aliyewekwa na UN mbona anamwona Rutto tu anawaacha hawa wauaji, watesaji, wabakaji wa just innocent women and children in Tz?? Weye Hellen Kijo Bisimba umekuwa Bikakondoo? Mbona kiimya, weye Ananilea Nkya ndiyo umeingia mitini? Au mmeshapewa kagari ka ufahari na Ki.na.na sasa kiimyaaa.
Poleni. Corrupt people love not. A day will come when each and every stone will be turned and this filthy is going to come into the open. Uovu haufichiki. Ni muda tu
 
kwa hiyo kubaka na kuwaingizia chupa sehemu za siri ni njia za CCM ili wawa taje maboss wao na wakimtaja Kinana mna wauwa...pata picha angeingiziwa mama yako angeandika ulicho kiandika...


msiende mbali sana. je, huyo mtetea wauaji yeye akiingizwa chupa m.a.k.a.l.i.o.n.i mwake ataona burudani? au akiambiwa achore chatu pajani mwake atafurahi? mwambie huyo jamaa aache USENGEnyaji!
 
Last edited by a moderator:
Jangili wako ngazi tofauti inategemea mbinu iliyotumika na operation. Inaelekea walianza na washukiwa ngazi ya chini mfano wavamizi wa hifadhi na wakazi pembezoni mwa hifadhi na kuwatia kibano kutaja mabosi ngazi ya juu na kadhalika. Kwa kua nchi yetu watu ni hodari wa kupiga siasa na kula rushwa tu, operation uhai imetupiliwa mbali huku fedha nyingi imetumika bila ufanisi wowote wa maana.

sijakuelewa. kwa hiyo mbinu ya kuingiza chupa kwenye xuma za kina mama ndiyo mbinu sahihi ya kusaka majangili? unajua wewe unantia hasira?
 
sijakuelewa. kwa hiyo mbinu ya kuingiza chupa kwenye xuma za kina mama ndiyo mbinu sahihi ya kusaka majangili? unajua wewe unantia hasira?
Mtu gani amefanya hivyo kama sio propaganda! Wekeni video ya hiyo basi ili tuamini. Point hapa majangili wameshinda operation tokomeza majangili imekufa. Are you happy.
 
Ilipasa kuwa operation maalum ya kijeshi likiwemo jw baada ya njia ya kawaida kushindwa. Inaelekea wengi mmeingia mkenge wa majangili kwa jinsi walivyozuia zoezi la kuwadhibiti kwa kisingizio cha uvunjaji haki za binaadamu. Madai mengi ya haki za binaadam ni propaganda iliyofanikiwa kupitia wabunge kuhujumu zoezi la operation uhai.

mkuu unafikiri kwa ku2mia nini? ina maana wabunge ndio walianika huu ushahidi ili kukwamisha operesheni tokomeza? wewe ulitaka habari hizi za kuteswa kwa wananchi zifichwe ili wananchi waendelee kuuawa, kubakwa, kuingizwa chupa kwa kisingizio cha kulinda tembo? you're such a notorious twit!
 
Back
Top Bottom