Kikwete, Je hawa ndiyo majangili?

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
Kwa mjibu wa serikali ya kikwete hawa ndiyo majangili wa tembo wetu
Mwananchi akipatiwa kibano na wanajeshi huku majangili kama Kinana wakipatia ulinzi na seriikali ya CCM.
masikini angalia watanzania wanavyo teswa nchi mwao halafu tunaambiwa nchi hii ni ya amani
Poleni watanzania bila shaka mwaka 2015 tukisema CCM iondoke madarakani tutakuwa na kali moja....

http://www.youtube.com/watch?v=kwGnkTqVDhI
 
LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,037
2,000
Halafu hana aibu anaweza akasema hao ndiyo majangili.

Mwaka 2015 tutajua mbivu na mbichi kudadeki!
 
delusions

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
5,007
2,000
Ni majangili iweje wakamatwe kama si majangili walikamatwajeee na ushahidi upo wazi hv jangili anajulikana usoni? usione pua kubwa ukadhani kamasi zinatoka debe
 
Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,502
2,000
Pinda Nje
mwamumyange Nje
said mwema naye nje!
NA waliotekeleze mahakamani faster
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
11,719
2,000
Jangili gani kachoka hvyo yan maskini wakati bei y pembe n nyara zingine ziko juu, waache usanii w kuchoma nyumba z wanakijiji moto n kuwatesa.

Jangili n wachina ambao kila kona y tz wapo toka wamekuja ndio tembo wanatoweka kwa kasi.hawa wachina wengi n wafungwa walio maliza kifungo so serikali yao inawaleta hku kurudisha gharama, mbna kimya ujangili kushnei cz ukikamatwa n risasi tu hawana mchezo cz utalii unaincome kubwa sana kwao
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
Ni majangili iweje wakamatwe kama si majangili walikamatwajeee na ushahidi upo wazi hv jangili anajulikana usoni? usione pua kubwa ukadhani kamasi zinatoka debe

Ung'ekuwa ni mama yako aliye bakwa kisha kuingiziwa chupa sehemu za siri usingekuwa unaongea upumbavu hapa...
 
  • Thanks
Reactions: BAK

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,090
0
Ni majangili iweje wakamatwe kama si majangili walikamatwajeee na ushahidi upo wazi hv jangili anajulikana usoni? usione pua kubwa ukadhani kamasi zinatoka debe

una kichwa kikubwa lakini pia akili zako ni za makamasi,wewe ni jangili,pili wewe ni ccm, wewe ni muuaji na mchumia tumbo la mafisadi!,unajifanya eti unashabikia mauaji huku ukichekelea,hakika laana ya damu za watanzania mliowaua bila hatia mtazilipa!ulaaniwe na ufe kifo kibaya!(sihukumu)
 
Ngonepi

JF-Expert Member
Jun 2, 2013
1,723
2,000
Ni majangili iweje wakamatwe kama si majangili walikamatwajeee na ushahidi upo wazi hv jangili anajulikana usoni? usione pua kubwa ukadhani kamasi zinatoka debe

Ukiwa ccm ni lazima uwe chizi kidogo, huwezi ukawa mwanachama wa ccm na ukabaki na akili zako!
Mwanaccm mmoja tena Waziri alishawahi kusema kuwa Tanzania ni muungano kati ya Tanganyika na Zimbabwe, tena akiwa mbele anahutubia kwenye kikao cha kimataifa.

Ni lazma uwe punguani kushabikia au kuwa mwanachama wa Ccm.!
 
nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,819
2,000
kwa mjibu wa serikali ya kikwete hawa ndiyo majangili wa tembo wetu
mwananchi akipatiwa kibano na wanajeshi huku majangili kama kinana wakipatia ulinzi na seriikali ya ccm.
masikini angalia watanzania wanavyo teswa nchi mwao halafu tunaambiwa nchi hii ni ya amani
poleni watanzania bila shaka mwaka 2015 tukisema ccm iondoke madarakani tutakuwa na kali moja....

kuna mauaji ...tena ya watoto........ Yalifanyika ....kisa kuficha ushahidi wa maaskari waliouwa wanakijiji wakidai ni majangili....... Majangili......!!!!!!!majangili wanamiliki ndege na wanajulikana ..........yale yaleee ''serikali corrupt inakimbizana na watu wadogo'' .........
 
Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,338
2,000
halafu ukiwatukana unapigwa BAN!! Hebu mods tuachen tuziachie kidogo hasira zetu kwenye uzi huu,
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:

kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,216
2,000
Jangili wako ngazi tofauti inategemea mbinu iliyotumika na operation. Inaelekea walianza na washukiwa ngazi ya chini mfano wavamizi wa hifadhi na wakazi pembezoni mwa hifadhi na kuwatia kibano kutaja mabosi ngazi ya juu na kadhalika. Kwa kua nchi yetu watu ni hodari wa kupiga siasa na kula rushwa tu, operation uhai imetupiliwa mbali huku fedha nyingi imetumika bila ufanisi wowote wa maana.
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
Tusipoitoa CCM madarakani kwa sanduku la kura kutokana na wizi wao basi itabidi tutafute njia nyingine huu ****** hakubaliki kamwe, niko tayari kuingia hata msituni kutetea wanyonge...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,220
2,000
Jangili wako ngazi tofauti inategemea mbinu iliyotumika na operation. Inaelekea walianza na washukiwa ngazi ya chini mfano wavamizi wa hifadhi na wakazi pembezoni mwa hifadhi na kuwatia kibano kutaja mabosi ngazi ya juu na kadhalika. Kwa kua nchi yetu watu ni hodari wa kupiga siasa na kula rushwa tu, operation uhai imetupiliwa mbali huku fedha nyingi imetumika bila ufanisi wowote wa maana.
kwa hiyo kubaka na kuwaingizia chupa sehemu za siri ni njia za CCM ili wawa taje maboss wao na wakimtaja Kinana mna wauwa...pata picha angeingiziwa mama yako angeandika ulicho kiandika...
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom