Kikwete bado ana ulinzi mkubwa licha ya kutoka madarakani miaka 7 iliyopita

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,911
6,002
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72.

Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama.

Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
7F525CDF-FA00-4EF1-B4EC-FD0F74A1C3EA.jpeg
 
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72.

Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama.

Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.View attachment 2380416
Huyo alikuwa commander in chief, anajua Siri nyingi za nchi, hebu fikiria akiamua kuuza hizo Siri kwa nchi jirani au majasusi wa nchi jirani wakimteka, kumuua!

Kama walivyouliwa mawakili watetezi wa watuhumiwa wa genocide ya Rwanda, Prof Mwaikyusa na wengine, lazima alindwe hao wote ni TISS na wapo kwenye payroll ya Serikali.
 
Huyo alikuwa commander in chief,anajua Siri nyingi za nchi,hebu fikiria akiamua kuuza hizo Siri kwa nchi jirani,au majasusi wa nchi jirani wakimteka ,kumuua!kama walivyouliwa mawakili watetezi wa watuhumiwa wa genocide ya Rwanda,Prof Mwaikyusa na wengine,lazima alindwe hao wote ni TISS,na wapo kwenye payroll ya serikali
Sasa nani apoteze muda wake kutafuta siri za bongo
 
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72.

Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama.

Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.View attachment 2380416
Hamna walinzi hapo hivi unajua greenade🤔
 
Back
Top Bottom