Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

wala hayakuwa mapepo, hii mara ya 3 kudondoka, anasumbuliwa tu na kaugonjwa, tena ugonjwa anao toka kipindi yupo waziri wa mambo ya nje ila sema ndio hivyo tena madaraka matamu, hataki kuachia.
 
JF, was my comments too heavy to bear? I suggested Ikulu yote iwekewe mikono na kupakwa mafuta na kuitishiwa moto kutoka mbinguni. Did u take those out?
 
Uzushi tu hii ipeleke kwa Shigongo..kwenye udaku.
 
wala hayakuwa mapepo, hii mara ya 3 kudondoka, anasumbuliwa tu na kaugonjwa, tena ugonjwa anao toka kipindi yupo waziri wa mambo ya nje ila sema ndio hivyo tena madaraka matamu, hataki kuachia.

Tuwekane wazi ktk hili. Kaugonjwa gani hako?
 
wala hayakuwa mapepo, hii mara ya 3 kudondoka, anasumbuliwa tu na kaugonjwa, tena ugonjwa anao toka kipindi yupo waziri wa mambo ya nje ila sema ndio hivyo tena madaraka matamu, hataki kuachia.

Kaugonjwa gani huo?
 
Kikwete hatogombea mwakani; tulilidokeza hili a while ago. Tunamuombea afikie uamuzi huu mapema zaidi ili apate muda wa kushughulikia afya yake.

Kwanini asigombee? Watu kufanya kazi na vigonjwa vidogovidogo ni kawaida yetu ili mkono uende kinywani unless ugonjwa huo ni hatari kwake binafisi na kwa wengine, hata hivyo ni nani bora sasa hivi kuliko JK kutoka CCM? Tafadhali mkuu CCM ina probability kubwa ya kushinda uchaguzi wa 2010 wasije wakaibuka na mtu kama EL, Membe etc etc.. na akashinda hapo tutakuwa tumeongeza maumivu ya miaka 10 mbele ya mafisadi,...but is it not absence seizures ?
 
Kwanini Daktari wake asiwajibishwe? Alikua anafanya nini mpaka Rais ahutubie akiwa amechoka kiasi cha kuhatarisha maisha yake?.
Yeye Kama Daktari inakuaje asiweze kujua kujua afya ya mheshimiwa?
Nadhani huyu Daktari anapaswa kuwa replaced asije kuwa Daktari mzembe kama yule wa Michael Jackson
 
the guy is tired kwa kuzurura tuuuu.

Raisi ni binadam kama wewe japo afya yake hupewa nafasi kubwa ktk uangalizi mkubwa sana.
Mbona juzi kuna mwananchi alidondoka huko bandarini na kufariki hapo hapo?
Kuhutubia mda mrefu jumuisha na safari humfanya mtu yoyote sukari kushuka au presha.
Pia kuna dalili maafisa wa afya wanaomzunguka Raisi wetu ni vihiyo.
Ni aibu kama kabla ya kuhutubia Dr hawampimi mweshimiwa!!!
Tuombe mungu azidi mpatia afya njema
 
JF, was my comments too heavy to bear? I suggested Ikulu yote iwekewe mikono na kupakwa mafuta na kuitishiwa moto kutoka mbinguni. Did u take those out?

ikiitishiwa moto seriously, inaweza ikaungua live...
 
Nadhani ni makusudi ya mungu katika kujaribu kuwakomboa watanzania katika janga kama alivyo wakomboa wana wa Israel.

Mungu hutumia ishara ktk kuwakilisha ujumbe wake kwa wanadamu ,Kama tunakumbuka Mungu alimuonyesha Musa moto ikiwa ni ishara ya kwamba mahali alipokuwa amesimama Musa ni mahali patakatifu.

Hii nayo ni Ishara ya Mungu kujaribu kutuonyesha Watanzania dereva Jk hana uwezo wa kuliendesha Taifa kwa kumdondosha mbele za watu.

Sasa kazi ni kwetu watanzania..Kukubali kuwa na dereva mwenye kuanguka na kukosa fahamu wakati gari/ Taifa likiwa katika mwendo/mteremko mkali ?

Au kuchagua dereva kwenye kuhimili misuko suko ya mashimo na kona za barabara pasipo kukosa nguvu na kuzimia.

Jingine JK amekiri kwamba yeye ni Mbishi na mtu Mbishi siku zote si katika jambo moja bali huwa mbishi hata pale kwenye haki. Mfano mzuri ni maswala ya ufisadi...Kwasababu ya Ubishi wake hakubaliani na watanzania walio wengi kuyashughulikia mambo ya Ufisadi na badala yake anaendeleza UBISHI WAKE::::
 
pole sana rais wetu, sasa uangalie kwa undani watumishi wako nini maana ya likizo na ikiwezekana iwe kitu cha lazima, kwa kuwa sasa unajua umuhimu wa mtu kupumzika
 
Msaidizi wake mmoja anayefuatana naye ni mganga wa kienyeji, ndiye anayempa msaada mambo yanapoharibika.

Lakini akumbuke jukwaa alilopanda UKUU WA MUNGU ulitanda kila eneo, nguvu za ngiza zikapigwa mweleka. Maaskofu walishindwa kutimiza wajibu wao wa kutimua mapepo, afya yake ingeimarika na angerudi jukwaani na nguvu ya ajabu.

USHAURI WA BURE KWA MHESHIMIWA RAISI JK

Tunaomba ruhusa yako utupe nafasi ya nusu saa tu ofisi au nyumbani kwako. Mungu atairudisha afya yako katika hali itakayoshangaza wengi.
 
Feel good therapy, I don't believe in anything supernatural.
 
Msaidizi wake mmoja anayefuatana naye ni mganga wa kienyeji, ndiye anayempa msaada mambo yanapoharibika.

Lakini akumbuke jukwaa alilopanda UKUU WA MUNGU ulitanda kila eneo, nguvu za ngiza zikapigwa mweleka. Maaskofu walishindwa kutimiza wajibu wao wa kutimua mapepo, afya yake ingeimarika na angerudi jukwaani na nguvu ya ajabu.

USHAURI WA BURE KWA MHESHIMIWA RAISI JK

Tunaomba ruhusa yako utupe nafasi ya nusu saa tu ofisi au nyumbani kwako. Mungu atairudisha afya yako katika hali itakayoshangaza wengi.

WATU BWANA!!

NAskia mkuu alipanda na mihirizi yake pale mara nguvu za mungu zikawa kubwa sana mwisho ikabidi wamtoe kidogo ili ashushe yale matunguli ndio akarejea kwenye hali ya kawaida... kama ni kweli basi kasheshe
 
Duh!, Mheshimiwa wewe si nimwanajeshi?? mbona kuanguka anguka(kuzidiwa) kwingi?
Uchovu gani hou bwanaaaa!!?? kwani kwenye ndege kuna jembe la mkono na watu wanalima? Mimi naona watu wa ikulu wanaona Raisi ni wa kwao peke yao, matatizo yake hawataki watanzania wajue, waseme mpendwa wetu ana matatizo gani? Kama hayuko fiti waTZ kibao wenye uwezo wa kungoza nchi vizuri wapo, apumzike kazi ya nchi......
 
...labda ana HIV, na cocktail ya dawa zake zina sideffects kali for some. ...Labda
 
Back
Top Bottom