MwanaHabari
JF-Expert Member
- Nov 9, 2006
- 442
- 13
...nilitegemea kusikia ameonekana kwa wanasayansi waliobobea wa MOI,Muhimbili Au Lugalo...
ukiamini waganga wakienyeji , unategemea jamaa atatembelea sehemu hizo?
...nilitegemea kusikia ameonekana kwa wanasayansi waliobobea wa MOI,Muhimbili Au Lugalo...
muda wote wa masaa 19 hakupumzika? kama kwenye dala dala zetu huwa tuna chapa usingizi..vipi kwenye ndege au angani kuna makorongo...je alienda na ndege yake iliyo nunuliwa kwa mapesa mengi na mkapa, tukaambiwa inaenda kasi balaaaaaajk hakuanguka mwanza alipumzika kwa dakika kadhaa.ubnaposema kila siku ni kukuza jambo na kuleta uongo.amesafiri kwa masaa kama 19 toka marekani.
sasa kama analetaubishia Daktari unataka afanye nini...Kwanini Daktari wake asiwajibishwe? Alikua anafanya nini mpaka Rais ahutubie akiwa amechoka kiasi cha kuhatarisha maisha yake?.
Yeye Kama Daktari inakuaje asiweze kujua kujua afya ya mheshimiwa?
Nadhani huyu Daktari anapaswa kuwa replaced asije kuwa Daktari mzembe kama yule wa Michael Jackson
Mkuu, yaani kwa kumtaja Boris Yeltsin umenifanya nicheke sana, yule kweli alikuwa hana discipline na alikuwa anadondoka kizembe lakini alikuwa ananyanyuka, huyu mheshimiwa wetu naona ana matatizo makubwa, maana anaishiwa nguvu kabisa akidondoka mpaka abebwe...........MGUU SIO KICHWA!!
...HAIINGII AKILINI MTU KUSEMA NDEGE FIRST CLASS INACHOSHA ....na wa economy wasemeje......????marais wengi duniani muda mwingi huutumia kusafiri ...mbona hawaanguki....hata boris yeltsin alikuwa haanguki kizembe kizembe..
muda wote wa masaa 19 hakupumzika? kama kwenye dala dala zetu huwa tuna chapa usingizi..vipi kwenye ndege au angani kuna makorongo...je alienda na ndege yake iliyo nunuliwa kwa mapesa mengi na mkapa, tukaambiwa inaenda kasi balaaaaaa
ile ndege yake aliyokuwa akitumia mkapa kwenda marekani na asia kwa direct flight...jk hapandagi hadi amsikilize mkuu wa kamati ya ufindi ...ndiye humuambia lini apande na lini aikache.....badala ya kumsikiliza rubani mkuu!!
Aisee hawakumwambia kwamba vi amulet vya Bwagamoyo havitakiwi wakati wapendwa wanakemea? Naona vilizidiwa megawatts.
inaonekana rahisi alikuwa anatumia ANALOG
wakati wapendwa walishaanza kutumia DIGITAL
Kazi kweli kweli;....hawa wapendwa wanaitajika sana;inabidi tujue maombi waliotumia ;unajua kuna mambo maombi mengine ukitaja majina husika wanakwenda na maji...mfano halisi majina ya majini yanayovunja ndoa...yaani haya ukiwasha moto kukemea kwa kuyataja na majina weeeeeeeeee akukaliki...sasa mhhh sijui
afadhali RAIS aliwahi kuchapa lapa
kwani pale jangwani palikuwa na maombi siku hiyo?
Isije kuwa anakifafa ? wengi wa kabila lake huwa wanasumbuliwa na ugonjwa kifafa ,na kifafa inakuwa kama ilivyotokea ,kama hukupata wataalamu unakuwa unatoka povu la mdomo ,ila hapa naona wanamuwahi na kumpepea aafu analudi tena uwanjani. Kuna watu wanasafiri na ndege kama wapanda baiskeli na hawapumziki ila hatujasikia hapa ulimwenguni mtu kupanda ndege akapata maradhi ya kuanguka na sikuanguka bali kuishiwa na nguvu na sauti kupotea yaani inakuwa kama unaelekea kufani.
Mimi bado nasubiri ikulu au serikali itoe maelezo ya nini hasa kinachoendelea, iwekwe wazi kama hii ni hadithi tu ya paukwa pakawa au ni kweli rais ali poteza fahamu kwa dakika chache na kwa nini
habari ya uchovu mimi siamini hata siku moja, yaani mtu kaweza kutembea, kusimama jukwaani na kuongea halafu ghafla bin vuup anaanguka kwa uchovu halafu anabebwa akiwa hana fahamu kupelekwa "kupumzika" kwa dk 10 kisha anarudi yuko fit kabisa uchovu fixed, nguvu imerudi kuendelea na kazi...
hata watoto huwa hadanganywi kiivyo...