Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

Baija Bolobi said:
Joka Kuu
Navua kofia na kuinama kwa kumbukumbu zako.
Ugonjwa wa JK unajulikana mpaka kwao Bagamoyo.
Hospitali moja Ujerumani iko njiani kuthibitisha pia, baada ya JK kukaidi ushauri wao mara mbili.
Washauri wake wa afya sasa wako hoi kwa litakalotokea endapo hali itakuwa mbaya zaidi maana ushauri wa waganga wa jadi umekuwa ukiwazidi nguvu.

Baija Bolobi,

..binafsi sina uhakika kama matatizo yake ya kiafya yanaathiri utendaji wake wa kazi.

..kumbuka kwamba JK alipitia hata chuo cha maafisa wa kijeshi Monduli. ninavyoelewa ukiwa na afya legelege henya-henya za Monduli zinaweza kukutoa uhai.

..tatizo ni kwamba watanzania tumechagua mtu asiyekuwa na uwezo na madaraka ya Uraisi.

..kwenye lile toleo maalum la gazeti la uhuru waliandika kuhusu hali ya maisha na kiuchumi ya wananchi wa lilokuwa jimbo la uchaguzi la JK. jimbo lilikuwa halina maendeleo ya aina yoyote ile.

..ukweli ni kwamba kazi ya ubunge ilikuwa imemshinda JK, sasa kitu cha ajabu kabisa wa-Tanzania kwa "werevu" wetu tukam-promote kuwa Raisi.

..kwa kuwa alikuwa ameshindwa kushirikiana na wananchi wa jimbo lake ktk kuwaletea maendeleo na ahueni za kimaisha, utaona kabisa kwamba kushiriki kwa JK ktk siasa kumetokana na ubinafsi[it is always about him], na siyo uchungu wa kutaka kuleta mabadiliko ya kijamii na kiuchumi kwa wapiga kura wake.

..tutalaumu sana washauri wa Raisi. tunashindwa kuelewa kazi ngumu inayowakabili of making/transforming JK into what he is not.

..kwa mfano: inawezekana vipi mtu aliyeusaka Uraisi tangu miaka ya 90 asishiriki ktk kuandaa ilani ya uchaguzi wa chama chake ambapo yeye ni mgombea Uraisi?

..kwa mtizamo wangu JK hana uwezo na wa kuongoza Tanzania, hiyo ya kusema ana matatizo ya kiafya ni kumtafutia visingizio tu. hata akiwa mzima buheri wa afya hatufai.
 
Ikulu ya Tanzania imetangaza sehemu yoyote hili jambo?
 
Kwenye bold (emph is mine) nimeipenda sana.

KIkwete alikuwa hana mafanikio yoyote yale kiutendaji ili kujustfy kupewa the highest office on land. Haya yote ni matokeo ya changa la macho na kampeni ya nguvu sana iliyofanywa na vyombo vya habari kwa nguvu kubwa (na pesa) toka kwa Rostam Azizi.

Afikie hatua tu akubali kuwa hawezi kazi na kuwaachia wengine kwa manufaa yetu wote.
 
we acha tu, watu wanasahau alitoka ukatibu wilaya wa chama akapewa unaibu waziri...(nishati for that matter), IPTL, Mohamed enterprises, na uchafu mwingi wooote huyu jamaa is behind...tabu tupu...ni vizuri wale waliyompa benefit of the doubt in the beginning wanaona ukweli wa huyu jamaa. I blame mwinyi kwa yote haya, ndiye alikuwa kijana wake
 
Mimi nitamlaumu kwa nguvu zoooote Mkapa! "Alimwachiaje" kiongozi dhaifu asiye na historia ya utendaji kama huyu atumie fedha kuingia ikulu? Usalama wa taifa ulikuwa wapi? Watu wanasema (sijui kama kuna ukweli) eti Mkapa alienda Dodoma (wakati wa uchaguzi wa mgombea wa CCM 2005) akitarajia anguko la Kikwete lakini hali ikawa nyingine! Sasa hapa ndio mimi huwa nachoka ... fedha zooote walizokuwa wanahonga yeye alikuwa hana habari? Kwa nini hakutumia "njia za ziada" kumuondoa kwenye kinyanganyiro?
 
.................ukweli ni kwamba kazi ya ubunge ilikuwa imemshinda JK, sasa kitu cha ajabu kabisa wa-Tanzania kwa "werevu" wetu tukam-promote kuwa Raisi.

..kwa kuwa alikuwa ameshindwa kushirikiana na wananchi wa jimbo lake ktk kuwaletea maendeleo na ahueni za kimaisha, utaona kabisa kwamba kushiriki kwa JK ktk siasa kumetokana na ubinafsi[it is always about him], na siyo uchungu wa kutaka kuleta mabadiliko ya kijamii na kiuchumi kwa wapiga kura wake.

..tutalaumu sana washauri wa Raisi. tunashindwa kuelewa kazi ngumu inayowakabili of making/transforming JK into what he is not..............

Mkuu Joka mpaka hapo tuko ukurasa mmoja Mkuu.........again...inaudhi lakini ndio reflection yetu aisee.......
 
Tungemchagua ..SALIM AHMED SALIM.........

nafasi ya urais huu ilikuwa yake ..akadhulumiwa kwa kampeni chafu za maji ya taka za wanamtandao wakiwashirikisha zanzibar[na wanaojiita baraza la mapinduzi]....uchafu wa kampeni za wanamtandao na jk...zitaendelea kuwaandama wao kwani machozi ya waliochafuliwa kama kina ..malecela,kigoda,sumaye.,msuya....kitine,simba , na wengine wengi walioonekana tishio kwa mgombea wao...yataendelea kumuandama jk...kwa kufanya kiini macho watu na itazidi kumsaababishia laana...hasa kwa kufikia kutumia jina la mungu...kusema chaguo la mungu....JK anahitajika kutubu dhambi alizowafanyia wenzake ....kwa kuwaomba msamaha one in one....
 
akuna cha ugonjwa waulizeni waliokuwepo...wapendwa walikuwa wanakemea mapepo sasa hawakujua rais nae ndio anaanza kuhutubia...rais akiwa anaendelea jamaa huku wanaongeza moto..//loh!!!!!!rais akaona iswe tabu ikabidi kala chapa huyoo....sio wa kwanza ,rais kamuzu banda aliwahi kudondka pale chuo kikuu wakati vijana wako nje wanakemea na kusali....

nadhani tunataka kupotosha ukweli, kipindi cha kukemea pepo hakikuwepo ilikuwa ni kipindi tofauti kabisa kwani hata neno la mungu halikusomwa siku hiyo kutokana na ratiba kukimbizwa na maofisa wa usalama.
ila rais wetu ni mgonjwa kama hana kifafa basi! atakuwa na ugonjwa mwingine. Naomba angalieni dalili za kifafa na jinsi kinavyotokea na mtu anayepatwa nacho ana-recover baada ya muda gani?
 
Naomba niongee ukweli mtupu!

Amini Usiamini, hatima ya kero zote za nchi hii iko mikononi mwa wamwaminio Kristo, na kwaajili ya hilo watahukumiwa!

Mambo yote ya Ufisadi, umasikini, kutowajibika, mauaji ya albino nk, yote haya yako ndani ya uwezo wa maombi, ambapo ni wajibu wa wamwaminio Kristo Yesu kuyashughulikia mara moja! Hakuna wa kumlaumu hapa!

Pia kila aaminiye anapaswa kuiombe sana nchi ya Israel, maana ni taifa ambalo Mungu, kwa hiari yake alilichagua liwe Taifa lake.

Watu wote tunaagizwa kuiombea nchi hii takatifu, la sivyo mvua haitakunya kwetu, na njaa, laana na masumbufu mengineyo yataipiga nchi!

Mambo madogo madogo kama haya ya Rais kuanguka jukwaani yatashughulikiwa na Mungu mwenyewe, yawe ni ya uganga, au ya afya. Maana katika Biblia tunaambiwa `HAKUNA UGANGA JUU YA ISRAEL, WALA HAKUNA ULOZI KWA YAKOBO`!

Na tuwe chini ya Israel basi!

Wapendwa simamisheni sala iliyo kamilifu machoni pa Mungu, na nchi yetu hii itaponywa!
 
Mimi nitamlaumu kwa nguvu zoooote Mkapa! "Alimwachiaje" kiongozi dhaifu asiye na historia ya utendaji kama huyu atumie fedha kuingia ikulu? Usalama wa taifa ulikuwa wapi? Watu wanasema (sijui kama kuna ukweli) eti Mkapa alienda Dodoma (wakati wa uchaguzi wa mgombea wa CCM 2005) akitarajia anguko la Kikwete lakini hali ikawa nyingine! Sasa hapa ndio mimi huwa nachoka ... fedha zooote walizokuwa wanahonga yeye alikuwa hana habari? Kwa nini hakutumia "njia za ziada" kumuondoa kwenye kinyanganyiro?

Mlaumu Rostam Azizi na Lowasa. Wakati Mkapa anapiga whisky yake wao walishalainisha wajumbe wa NEC na Mkutano mkuu mikoani kote, na kwa kujua kwambe enzi ya mkapa imekwisha, hawakuheshimu chochote alichotaka kusema na hivyo hakuwa na nguvu tena ya kuweka chaguo lake. Sijui kama alikua ameandaa succesor wake, which is a big problem with our rullers.
 
dk shein kaa mkao wa kula.....

Mbona rais wetu bado yuko ngangari kiafya, na tunamuombea kwa Muumba wetu ampe afya njema hivyo aendelee kuchapa kazi akisaidiwa na Dr Shein na Mizengo Pinda. Hata likitokea lolote, Katiba yetu iko wazi itatuongoza. Inshallah
 
Naomba niongee ukweli mtupu!

Amini Usiamini, hatima ya kero zote za nchi hii iko mikononi mwa wamwaminio Kristo, na kwaajili ya hilo watahukumiwa!

Mambo yote ya Ufisadi, umasikini, kutowajibika, mauaji ya albino nk, yote haya yako ndani ya uwezo wa maombi, ambapo ni wajibu wa wamwaminio Kristo Yesu kuyashughulikia mara moja! Hakuna wa kumlaumu hapa!

Pia kila aaminiye anapaswa kuiombe sana nchi ya Israel, maana ni taifa ambalo Mungu, kwa hiari yake alilichagua liwe Taifa lake.

Watu wote tunaagizwa kuiombea nchi hii takatifu, la sivyo mvua haitakunya kwetu, na njaa, laana na masumbufu mengineyo yataipiga nchi!

Mambo madogo madogo kama haya ya Rais kuanguka jukwaani yatashughulikiwa na Mungu mwenyewe, yawe ni ya uganga, au ya afya. Maana katika Biblia tunaambiwa `HAKUNA UGANGA JUU YA ISRAEL, WALA HAKUNA ULOZI KWA YAKOBO`!

Na tuwe chini ya Israel basi!

Wapendwa simamisheni sala iliyo kamilifu machoni pa Mungu, na nchi yetu hii itaponywa!

Haya mambo yanasumbua na kuchanganya cha muhimu ni kumuombea Rais wetu hili Mungu amtunze na ampatie afya tele na uwezo wa kuongoza vyema.
Tumuombee Mungu anasikia maombi yetu.
 
Kwenye bold (emph is mine) nimeipenda sana.

KIkwete alikuwa hana mafanikio yoyote yale kiutendaji ili kujustfy kupewa the highest office on land. Haya yote ni matokeo ya changa la macho na kampeni ya nguvu sana iliyofanywa na vyombo vya habari kwa nguvu kubwa (na pesa) toka kwa Rostam Azizi.

Afikie hatua tu akubali kuwa hawezi kazi na kuwaachia wengine kwa manufaa yetu wote.

Kweli kabisa,

Apumzike tu na kuwaachia wengine.
 
Tungemchagua ..SALIM AHMED SALIM.........

nafasi ya urais huu ilikuwa yake ..akadhulumiwa kwa kampeni chafu za maji ya taka za wanamtandao wakiwashirikisha zanzibar[na wanaojiita baraza la mapinduzi]....uchafu wa kampeni za wanamtandao na jk...zitaendelea kuwaandama wao kwani machozi ya waliochafuliwa kama kina ..malecela,kigoda,sumaye.,msuya....kitine,simba , na wengine wengi walioonekana tishio kwa mgombea wao...yataendelea kumuandama jk...kwa kufanya kiini macho watu na itazidi kumsaababishia laana...hasa kwa kufikia kutumia jina la mungu...kusema chaguo la mungu....JK anahitajika kutubu dhambi alizowafanyia wenzake ....kwa kuwaomba msamaha one in one....

Unajua Kikwete angekuwa anasikiliza mashauri ya wazee ndani ya CCM, angemwachia Salim awe raisi kwa second term.
 
Kanda nakubalina na wewe nimeweka hicho kipande kukubaliana na wewe kuwa hakuanguka ila aliomba akae, kisha akakimbizwa chumba cha kupumzika, mpaka hapo tutasema kuwa alipumzika.

lakini sijaona picha zinazoonyesha
1. akitikiswa,
2. akiwa amezungukwa na wapambe,
3. amebebwa kupelekwa chumba cha kupumzika
4.anaporudi tena.

Inamaana mapaparazi wetu ni wale wa kusema semeni cheese ndio wapige picha??? Picha za hili tukio kama zingepigwa kwa utaalam na kwa ukaaribu mzuri tungeweza kuasses hata uso wake ulionekanaje na macho, midogo na hapo tungesema kitu. Wapiga picha mnapewa home matukio kama haya picha zenu zingemaliza ubishi

Kwa kuwa wewe ni tomaso angalia picha hizi, kisha nipe jibu, zimetoka kwa mwandishi huyo wa Mwananchi Mwanza

Caption:
1. JK 1: Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mlinzi wake ambaye inaaminika ndiye aliyeanza kumshauri kukaa baada ya kubaini hali mbaya, hapa ni kabla ya kuomba askofu wa kanisa kukaa.
2. JK 2: Rais Kikwete akimwomba Askofu mkuu Daniel Nungwana kuhutubiwa akiwa amekaa baada ya kuzidiwa kutokana na uchovu.
3. JK 6: Mkuu wa mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro pamoja na wasaidizi wa Rais wakimsaidia kuinuka baada ya kushindwa kabisa kuhutubiwa akiwa amekaa na kumuegemea akiwa amekaa mkuu wa mkoa.
5. JK 7: Rais Kikwete baada ya kuwa ameinuliwa na kuinuka anaonekana akiwa amekaa huku amelalia upande wake wa kushoto (anaonekana kichwa na miwani kulia) huku maofisa usalama wakianza kumzunguka kumkinga ili asionekane na watu.
6. JK 8: na JK 9: Akiwa ameinuliwa maofisa usalama wakijaribu kumuangalia iwapo atamudu kuendelea na mkutano.
7. JK 10: na JK 11: Baada ya kuona kuwa hajiwezi maofisa usama wakimnyanyua ili kumuondoa Jukwaa na kumkimbiza ndani ya chumba katika uwanja wa CCM Kirumba.
8. JK 12: Eneo la Jukwa kuu la uwanja ambako Rais Kikwete alikaa likiwa limezungukwa na walinzi na maofisa usalama mara baada ya kuzidiwa ghafla akihutubiwa katika jubilee ya miaka 100 ya kanisa la AICT.
9. JK 13: na JK 14: Rais Kikwete akiwa amebebwa na akiondolewa ndani ya uwanjwa huo na maofisa usalama. (Picha zote Kwa hisani ya Mdau Frederick Katulanda)
 
Attachments

  • JK 1..jpg
    JK 1..jpg
    32.1 KB · Views: 70
  • JK 3..jpg
    JK 3..jpg
    32.6 KB · Views: 66
  • JK 4..jpg
    JK 4..jpg
    47.4 KB · Views: 62
  • JK 5..jpg
    JK 5..jpg
    42.3 KB · Views: 63
  • JK 6..jpg
    JK 6..jpg
    42.8 KB · Views: 62
  • JK 7..jpg
    JK 7..jpg
    49.4 KB · Views: 71
  • JK 8..jpg
    JK 8..jpg
    40.5 KB · Views: 64
  • JK 9..jpg
    JK 9..jpg
    47.6 KB · Views: 70
  • JK 10..jpg
    JK 10..jpg
    76.1 KB · Views: 65
  • JK 11..jpg
    JK 11..jpg
    80.6 KB · Views: 64
Nakua wewe ni tomaso angalia picha hizi, kisha nipe jibu, zimetoka kwa mwandishi huyo wa Mwananchi Mwanza

Caption:
1. JK 1: Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mlinzi wake ambaye inaaminika ndiye aliyeanza kumshauri kukaa baada ya kubaini hali mbaya, hapa ni kabla ya kuomba askofu wa kanisa kukaa.
2. JK 2: Rais Kikwete akimwomba Askofu mkuu Daniel Nungwana kuhutubiwa akiwa amekaa baada ya kuzidiwa kutokana na uchovu.
3. JK 6: Mkuu wa mkoa wa Mwanza Abbas Kandoro pamoja na wasaidizi wa Rais wakimsaidia kuinuka baada ya kushindwa kabisa kuhutubiwa akiwa amekaa na kumuegemea akiwa amekaa mkuu wa mkoa.
5. JK 7: Rais Kikwete baada ya kuwa ameinuliwa na kuinuka anaonekana akiwa amekaa huku amelalia upande wake wa kushoto (anaonekana kichwa na miwani kulia) huku maofisa usalama wakianza kumzunguka kumkinga ili asionekane na watu.
6. JK 8: na JK 9: Akiwa ameinuliwa maofisa usalama wakijaribu kumuangalia iwapo atamudu kuendelea na mkutano.
7. JK 10: na JK 11: Baada ya kuona kuwa hajiwezi maofisa usama wakimnyanyua ili kumuondoa Jukwaa na kumkimbiza ndani ya chumba katika uwanja wa CCM Kirumba.
8. JK 12: Eneo la Jukwa kuu la uwanja ambako Rais Kikwete alikaa likiwa limezungukwa na walinzi na maofisa usalama mara baada ya kuzidiwa ghafla akihutubiwa katika jubilee ya miaka 100 ya kanisa la AICT.
9. JK 13: na JK 14: Rais Kikwete akiwa amebebwa na akiondolewa ndani ya uwanjwa huo na maofisa usalama. (Picha zote Kwa hisani ya Mdau Frederick Katulanda)

Hii ni hatari sasa
 
hinya hinyaaa..watu mwishoo...maana hizi picha zilikuwa zinatafutwa kama alamasi...na media za bongo aidha hawakuwa na hivi picha ama walikuwa wanaogopa kuzichapisha!!!
 
Ni kweli picha hizi zilikuwa zinatafutwa sana, kwanza tumpongeze aliyetuweka humu Jamvini na huyo Frederick Katulanda kwani wakati hilo 'Timbwili timbwili la JK na kuishiwa nguvu' Watu wa usalama walipita na kuzima Kamera zote katika uwanja wa CCM Kirumba aliwezaje kupata tumuachie yeye, lakini angalau nilimsii tuweke humu kwa ajili ya kutoa taswira kwa mjadala huu na bahati Taarifa ya Daktari pia imetoka, sasa kazi kwenu kuchangia.
 
Mbona rais wetu bado yuko ngangari kiafya, na tunamuombea kwa Muumba wetu ampe afya njema hivyo aendelee kuchapa kazi akisaidiwa na Dr Shein na Mizengo Pinda. Hata likitokea lolote, Katiba yetu iko wazi itatuongoza. Inshallah

mama weeee huyu Pinda si ndo anakataza tusivae suti wakati juzi yuko Geneva kwenye maonyesho ya teknolojia ya kompyuta kapiga suti na tai juuu.dahhh Pindaaaaaaaa unanipa raha kweli mie babu yako
 
Back
Top Bottom