TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,794
- 19,044
Mkuu, hebu rudia sijakusika sawawa,....... au elezea kwa kwa urefu kidoogo! Hii tsunami inadawa?
Mkuu, kuna dawa ATRIPLA... unapata kidonge kimoja kwa siku na ni first line ARV, ipo bongo na iko swafi... actually it reduces pill burden, improves compliance na unaweza pata more info kwa www.atripla.com ipo Tanzania na kwa jinsi watu wengi wasivyoitumia kwa kuwa haijapewa first line preference kuna hatari inaozea kwenye maghala!