KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Kikwete ang'ara huku Mkapa akifungua foundation yake ! Mkapa and fellows, weweeeeeeeeeeeeeee ! Ndio mheshimiwa mstaafu, keep your head up ! fanya biashara kokote utakapoweza babu !
mtu wa pwani, Said Mwema jana kasema ana majina 225 ya wauza madawa na kati yao 78 ni "vigogo". Akasema kuwa hayo 78 anayepeleka Ikulu....
Hivi waungwana mnategemea nini? Mambo yanapokuwa magumu Administration huwa inajaribu ku spin na kuja na habari nzuri ambazo zinaweza kumwongezea kiongozi popularity ama kuua habari mbaya. Hoping that they will catch a break.
Nchi kama MAREKANI wana FOX NEWS kwa ajili ya serikali ya Bush na GOP wote. Nyumbani (TZ) tuna Daily News na Uhuru. Kwa hiyo, this is a SPIN.
Hebu tuongeze petroli kwenye huu moto wa Ufisadi na kutokuwajibika.
Juzi tu mwingine kasifiwa na WB sababu ya uchumi ulioendeleaYale yale ya Mkapa kusifiwa na WB na IMF! wakati Watanzania wanalalamika kila kona ya nchi. Hii sinema tumeshaiona Watanzania na mwisho wake hatukuupenda!
Juzi tu mwingine kasifiwa na WB sababu ya uchumi ulioendelea