Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Uhuru wa nchi hii utapatikana siku ambayo huyu tapeli akiwa chini futi 6
Unaweza kutangulia wewe kuifanya hiyo safari ukamuacha huyo Mzee anafunga mkanda angani kila kukicha.

Wale waheshimiwa wote waliomkejeli Lowassa walianguka mmoja baada ya mwingine baadae ndipo Mungu akamchukua.

Chuki zitaishia kuwarudi nyinyi wenyewe msipokuwa makini.
 
well done Jakaya Mrisho Kikwete, retired President of United Republic of Tanzania,

unafanya kazi nzuri na kubwa sana baba kwa maslahi mapana ya Taifa hata baada ya kustaafu :KasugaYeah:
1000130467.png

Wewe ni 👆
 
Mzee kagoma kustaafu kabisa, yuko front hatari. Watu tuko tofauti, huyo angetulia zake huko, akala pension yake kwa amani, zaidi angekuwa anapiga lectures za uongozi, experience za maisha ya utawala, kuimpact vijana wa kesho.
Wakina Ben Mkapa walipotea kabisa, wakina Mwinyi ndo kabisa, waliendelea na mambo yao.Angalia marais wastaafu Zanzibar - off media kabisa...
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

Ntu ya DILI
 
Kataa, Hapo Anakwenda Kuwapa Makaa Ya Liganga

Kama alivyoenda kwa Rihanna tu na 50cents miaka ile ya nyuma, hana lolote huyu anauza nyago na kututisha wabongo tujue bado yupo high profile anafikisha ujumbe kwa Trump tujue mamaduro atasalimika na ule mswada wa kureview mahusiano ya sisiemu na wamarekani!
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

Ameongea naye au amepiga naye picha?
 
Wasiompenda JK sijui...
 
Back
Top Bottom