Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Mada nzima imejaa chuki za wagalatia masikini na njaa kali huku wakiomba dua la kuku
Na mtakufa masikini hivyo hivyo hakuna kitakachobadilika
Dawa yenu ni hii hii, kushindiliwa hasa, hakuna kuinuka
 
Mada nzima imejaa chuki za wagalatia masikini na njaa kali huku wakiomba dua la kuku
Na mtakufa masikini hivyo hivyo hakuna kitakachobadilika
Dawa yenu ni hii hii, kushindiliwa hasa, hakuna kuinuka
Allah Kikwete oyeeeeeee
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

Anaonekana kaomba tu wapige picha
 
Zilipendwa. Maisha yanaendelea
Screenshot_20250823-084911~2.png
Screenshot_20251122-090658~2.png
 
Back
Top Bottom