Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

Kwamba suala la mo29, Trump amsamehe........
 
Sijuwi anateta nini nawo?!
Wameyaona na kushuhudia kupitia ma satellites yao...
Atakataa na kubisha nini?!
 
Kila mtu anataka kuuza tanganyika yetu chura aka kizimkazi amepata URUSI na JK amepata U.S.A mwenye Dau kubwa auziwe tu.watanganyika hawajielewi.
Kazi ni kipimo cha utu
Ndo akili za nyumbu zilipoishia. Bwana wao lissu anapofanya kazi na wa ulaya na marekani, ambako hata familia yake ipo huko ikiwa Ina uraia kabisa wa huko, haiuzi Tanzania
 
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati.

Mazungumzo hayo yamefanyika pembezoni mwa Mkutano wa Oslo Forum 2026 unaoendelea jijini Oslo, Norway, kuanzia leo Juni 10 hadi 12, 2026.

Mkutano huo umewakutanisha Viongozi, Wanadiplomasia Waandamizi na Wataalamu wa masuala ya amani na usuluhishi kutoka Nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili changamoto za usalama, diplomasia na juhudi za kuimarisha amani katika maeneo mbalimbali ya dunia.

Nimeona nembo ya jua ukutani! Kuna agenda za Siri kwenye mkutano huo!
 
Back
Top Bottom